AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Shida sana yaan dah hadi aibu naona mimiHayo majinga yanayogonga meza yanamaanisha nini?
Shida sana yaan dah hadi aibu naona mimiHayo majinga yanayogonga meza yanamaanisha nini?
KashesheView attachment 3607109
Msikilize vizuri utagundua ana changamoto ya utimamu. Pale bungeni yupo mwili tu
Why did you trust him? He has never been trustworthy.One of man I have trusted to the top,
Unfortunately,the system absorbed him.
...Nitakuwa na nafasi ya kumwamini tena.
Unaamini watu kirahisi sana mkuu. Alinifundisha kidogo pale UDSM. Kimaadili ni mtu wa porojo tangu siku nyingi sana tu. Labda kama ulikua unavutiwa na itikadi yake ya kijamaa na uongeaji wake kama Nyerere.Hata mimi nilimwamini sana. Sijui huko ndani huwa wanalishwa nini mpaka wanakengeuka hivi?
Kamsaliti nani??View attachment 3607109
Msikilize vizuri utagundua ana changamoto ya utimamu. Pale bungeni yupo mwili tu
Ni sawa na mtu aliyevunja ndoa yake kushinda kutwa nzima kumjadili wema sepetuMnamjadili mtu anayrkula mema ya nchi tena hata hawajui. Huo nao ni Umbeya tu
Discussing about people of all spheres of life ndiyo ingredient namba moja kwenye mitandao, haijalishi anakula mema ya nchi au la. Freedom of speech ndiyo inayofanya hili jukwaa kuwa maarufu.Mnamjadili mtu anayrkula mema ya nchi tena hata hawajui. Huo nao ni Umbeya tu
Wanafurahia alivyopatwa na kigugumizi, sera namba moja ya CCM ni kupiga makofi hata kama mambo yanaenda shaghalabagala.Kwa nini wanapiga makofi??
Mbona kama mazombi!
Mzee kawa muoga sio kidogo sijui anaogopa nini sijaelewaHapo mjengoni , ni Kuna mabalaa mengi sana, sema nyinyi wananchi hamjui
Kweli ht mimi naona mna freedom of speechDiscussing about people of all spheres of life ndiyo ingredient namba moja kwenye mitandao, haijalishi anakula mema ya nchi au la. Freedom of speech ndiyo inayofanya hili jukwaa kuwa maarufu.
Hayo huwa ni desturi yao kufanya hivyo, mengine ni yale ya samuya...hata siku ile akiongea ujinga kwamba bei ya lita moja ya mafuta USA ni dola 8000 yalipiga makofi!.Hayo majinga yanayogonga meza yanamaanisha nini?
Sijui wanafunzi wake aliofundisha pale UDSM wanajisikiaje kumuona akiwa zezeta vile.Ana bahati ya kuteuliwa kuwa Mbunge! Then akateuliwa tena kuwa Waziri! Na hayo ndiyo malipo yake ya kuyasaliti mabadiliko ya Kidemokrasia nchini.
Akili yake yote kwa sasa iko tumboni. Siku akitumbuliwa ndiyo akili zitarejea kichwani.
That's the reason this forum(JF) is very important.Kweli ht mimi naona mna freedom of speech
Wazee hapo mjengoni wanapata asali lakini, wanavo ishi humo ni kama msituni full kuwindanaMzee kawa muoga sio kidogo sijui anaogopa nini sijaelewa
Duh, very important kujadili maisha ya watu!That's the reason this forum(JF) is very important.
It's more than just important, it's necessary ukizingatia wakivurunda nchi inakuwa ndivyo sivyo and everyone gets affected. Maisha yao, matendo yao, maneno yao na maamuzi yao vinaathiri jamii nzima ya Watanzania(Watanganyika).Duh, very important kujadili maisha ya watu!
Usaliti kikawaida unadhalilisha.
Watu wasaliti hawawezi kuongea wakiwa wanatazama kamera, machoni