Anajadiliwa kwa sababu hiyo posho anayolipwa ni matokeo ya makato yatokanayo na jasho letu tunapolipa kodi kutoka kwenye vyanzo vyetu halali vya mapato....Nyie wenye akili endeleeni kujadili watu labda mtawapunguzia posho zao
Ok. Basi sawa nyie endeleeni kujadili watuAnajadiliwa kwa sababu hiyo posho anayolipwa ni matokeo ya makato yatokanayo na jasho letu tunapolipa kodi kutoka kwenye vyanzo vyetu halali vya mapato....
Nimuajiri fundi anijengee nyumba yangu, akivurunda nisimseme? Kweli inawezekana hiyo? 😳
Wacha weee! Watoeni basiIt's more than just important, it's necessary ukizingatia wakivurunda nchi inakuwa ndivyo sivyo and everyone gets affected. Maisha yao, matendo yao, maneno yao na maamuzi yao vinaathiri jamii nzima ya Watanzania(Watanganyika).
Usiweke matumaini makubwa kwa binadamuTuliosomeshwa na huyu nguli pamoja na mwenzake aliyewahi kusema alitolewa jalalani-pale UDSM miaka ile ya 90 tunamasikitiko makubwa sana! Walichokuwa wanatufundisha na kukisimamia wakati ule na sasa.. mhhh! Basi tu🥹😢
Amemsaliti nani au kasalitiwa na nani katika lipi?View attachment 3607109
Msikilize vizuri utagundua ana changamoto ya utimamu. Pale bungeni yupo mwili tu