Unaanza kuita watu chawa kwa sababu ya vihoja uchwara.Nipe faida and you produce nothing ? Unless you have industrial economy makes sense . We sell nothing compared what’s we imports
Machawa akili amna
Chawa akili hunaHaina athari yoyote kiuchumi, huku Maswa bei ya mchele, maharage,unga ni ile ile, hatuhitaji hayo madola yenu
Kwani umesikia Tanzania Haina Dola?Deni la taifa analipa importers ??
Inflation last year was 19 % up .
Ndani Inchi ya importers sio . We produce nothing . Means dollars are our life support
Chawa mna matatizo ya akili
Na pia tukumbuke tulipopata uhuru USD Ilikuwa Shs 70.Angalia records zako vizuri, mwaka jana iliwahi kufika zaidi ya 2800
Tanzania debt is in usd currency you can’t pay it in yuan . Also China doesnt take other currencies its yuan and usd . Some euros .Sehemu kubwa ya ya imports ya Tanzania ni kutoka China
Kwa nini tusifanye currency swap na China kati ya Tshs na Yuan? Ili tuanze kulipia imports kwa sarafu ya Yuan kwa bidhaa za China
Lengo tupunguze huu utumwa wa U.S dollars na exchange rate fluctuations
Luca hata anajua Kama hili ni tatizo? Yeye ni kusifu na kuabuduNilitegemea habari kama hii iletwe na ChoiceVariable ila hapa atapita kama anaaga maiti
Maswa gani mimi niko hapa nguzo nane vitu bei juu pia mvua mwaka huu iligoma kabisa hapa maswa na kuna hatari vyakula vikapanda zaidi.karibu hapa mnadani nguzo nane tule nyama choma uone ugumu wa maisha.Haina athari yoyote kiuchumi, huku Maswa bei ya mchele, maharage,unga ni ile ile, hatuhitaji hayo madola yenu
Ndio maana nikaanza na maneno currency swapTanzania debt is in usd currency you can’t pay it in yuan . Also China doesnt take other currencies its yuan and usd . Some euros .
We are fckd
Kama haitumiki kununua unga wa ugali hakuna shida itasaidia sana kujenga Kwa viwanda vya import substitutesMAMA ANAUPIGA MWINGI. MPAKA 2030 $1 ITAKUWA 10,000.
whats wrong with that?I will be short
Today markes the highest record of usd to t shillings . Tanzania currency reaches lowest levels since independence . Marking the worst inflation since independence
Leo shillings imekuwa taka taka . Anyway akikisha by the end of the year unalipwa kwa dollar .
USIseme atukukwambia. .
We kweli kilaza wa Macro... embu define Inflation ujione ulivyo mjinga mjuajiElimu ndogo sana . With poor purchasing power means you need to print a lot of money . That is inflation . Wewe chawa
Angalia records vizuri mkuu ilishawahi kufika 2800I will be short
Today markes the highest record of usd to t shillings . Tanzania currency reaches lowest levels since independence . Marking the worst inflation since independence
Leo shillings imekuwa taka taka . Anyway akikisha by the end of the year unalipwa kwa dollar .
USIseme atukukwambia. .
Anasema uchumi wetu ni himilivu na shikilivu. hahaDaktari wa uchumi anasemaje?
1USD = 7 YUANWajuvi hivi dolar moja ya Marekani ni sawa na yuan ngapi ya China?