Mtunza siri zako
JF-Expert Member
- Apr 11, 2025
- 586
- 975
Sawa, basi na mimi X wangu atakua alikuwa oya oyaNi burudani tu , sema nyie washabiki oya oya mlioletwa na upepo wa kubeti mnaharibu ladha ya kuwa mshabiki wa mpira.
Hiiiii bhebhe 😁😁Karibu kwangu mpenzi sipendi mpira sina marafiki sinywi pombe yaani nakushabikia we tu yaani bebe doho mwanike.
NimekuelewaAsilimia Kubwa Wanaume tumecheza mpira utotoni.
Kuna namna tuko bond na huu mchezo.
Ila kila kitu kikizidi kinaleta maafa.
Ushabiki uwe na Kikomo na wastani...
X boyfrnd wako ni mlevi na anamarafiki Toxic. Dah! Hali ngumu ulipitia Shemej maana huyo atakuwa anakesha Bar na visingizio anavyo..
Hajakuoa, kwahiyo jikaze kikike shemej angu na achana naeNimekuelewa
Nilipitia magumu sana na vipigo juu 🥲🥲
Nimemuacha tayariHajakuoa, kwahiyo jikaze kikike shemej angu na achana nae
Mkuu mm ni kama wewe, kila nilipojaribu naishia kuona upuuzi mtupu...Kwa sasa nimeamua kuuchukia kbs mchezo huo, hasa ninapoona wanasiasa wa kibongo wameamua kuutumia mchezo huo kama kete ya kusakia umaarufu na kupata support ya wajinga walio wengi ndo kbs!Nilishajilazimisha niwe shabiki wa mpira lakini wapi... Nikiangalia kwenye TV nasinzia 😁
Starehe ni maalum kwa Mtu husika japo naye huona starehe za Watu wengine sawa na upumbavu au ukichaa kwake yeye, na kinyume chake ni sawa.Weekend hii nimeamua kumuacha mpenzi wangu kwa sababu ya ushabiki wa mpira uliopitiliza ambao ulikuja na ulevi kupindukia na marafiki wasiofaa.
Mashabiki wa mpira, muje muniambie huwa mpira unawapa faida gani?
Akina nani wanakuja???