Ushabiki wa mpira umekuongezea au kukupunguzia nini?

Time wasting kuna time nili spend sana i used to travel san for football games, lkn at the end i think ule muda ningekua nime focus even in a single Niche maybe now ningekua in my way building my own brandy
Pole kwa kupoteza mudah
 
Kushabikia mpira kulinisaidia sana kwenye mitihani yangu . Majina ya wachezaji yalinisaidia kujua kiongozI akiwa na jina hili basi atakuwa anatoka nchi flani, miji ilinipa sana alama mfano kwwnye ese unafunguka mifano , Liverpool railyway line, bolton city , barmghm city , manchester town, stock city , japani huko Honder, china shanghai sheshua, Guanzou , yani full burudani
 
Weekend hii nimeamua kumuacha mpenzi wangu kwa sababu ya ushabiki wa mpira uliopitiliza ambao ulikuja na ulevi kupindukia na marafiki wasiofaa.

Mashabiki wa mpira, muje muniambie huwa mpira unawapa faida gani?
Radha
 
Hongera sana, uliutumia mpira vizuri siyo kama wenzako wanaofanya ulevi tu.
 
Na wasioshabikia umewaongezea nini ? Hio ni Burudani kama burudani nyingine sasa wewe kama unatafuta na unachutafuta hakikupatii unachokipenda itakuwa wewe you are living to die....

To Each their Own....
 
Nimekuelewa
Nilipitia magumu sana na vipigo juu 🥲🥲
Kuna baadhi ya wanaume wanatumia mpira kama kisingizio cha kufanya mambo mengine. Kama ni mpira mbona hata nyumbani mtu anaweza kuangalia? Mimi ni mwanaume na ni shabiki kindakindaki wa mpira na napenda kuangalia nikiwa nyumbani. Kwa kifupi mpira naopenda kuangalia nikiwa kwenye umati eg bar ni zile fainali kubwa au derbies za timu kubwa. NB: Mpira wa Tanzania siangalii hata kufuatilia. Zamani nilikuwa mshabiki kweli kweli lakini baada ya wahindi na waarabu kutumia mpira kupumbaza jamii kisiasa na ''mama'' kununua magoli, nikaamua kuacha nao kabisa.
 
Weekend hii nimeamua kumuacha mpenzi wangu kwa sababu ya ushabiki wa mpira uliopitiliza ambao ulikuja na ulevi kupindukia na marafiki wasiofaa.

Mashabiki wa mpira, muje muniambie huwa mpira unawapa faida gani?
Ushabiki wa mpira na ulevi au umalaya havina tofauti
 
Umeiweka vizuri sana, tabia za hovyo ni visingizio tu
 
Weekend hii nimeamua kumuacha mpenzi wangu kwa sababu ya ushabiki wa mpira uliopitiliza ambao ulikuja na ulevi kupindukia na marafiki wasiofaa.

Mashabiki wa mpira, muje muniambie huwa mpira unawapa faida gani?
Mwanamke mshabiki wa mpira halafu mlevi uliyepindukia!
Hujamalizia sentence kwamba hata ukilewa hukumbuki chupi ulivulia wapi.
 
Aisee hamna sihemu rahisi ya kupata mbususu kama kwenye mpira kwanza ile burudani wakati goli linafungwa warembo wanavyoruka na matiti kurukaruka full burudani.

Tukija kwenye timu kushinda hapo ndio unasusiwa yoteeee
Wee waulize Shadeeya na Kalpana wanavyowapa raha wenza wao yanga au simba ikishinda
Pambafuuuuuuuu hahahahahah
 
Weekend hii nimeamua kumuacha mpenzi wangu kwa sababu ya ushabiki wa mpira uliopitiliza ambao ulikuja na ulevi kupindukia na marafiki wasiofaa.

Mashabiki wa mpira, muje muniambie huwa mpira unawapa faida gani?
Faida pekee ni furaha ya kumzomea kolo wizard tu.
 
Back
Top Bottom