Ushabiki wa mpira umekuongezea au kukupunguzia nini?

Ushabiki wa mpira umekuongezea au kukupunguzia nini?

Tatizo Tanzania viongozi wetu wa serikali wanatumia nafasi hii ya watu kujikita kwenye simba na yanga kama njia ya kutufanya maboya na watu wasio kuwa na akili
 
Furaha isiyo na utofauti na nusu uchizi pale timu inapopata mafanikio,

Roho ya kichawi ya kuombea timu pinzani zishindwe, anguko la wapinzani ni furaha kwangu,

Stress na kukosa furaha wapinzani wanapofanikiwa, timu yangu inaposhushiwa vipigo, kukosa makombe, n.k.
Mbona kama ni kujichosha sana
 
Weekend hii nimeamua kumuacha mpenzi wangu kwa sababu ya ushabiki wa mpira uliopitiliza ambao ulikuja na ulevi kupindukia na marafiki wasiofaa.

Mashabiki wa mpira, muje muniambie huwa mpira unawapa faida gani?
Aisee hamna sihemu rahisi ya kupata mbususu kama kwenye mpira kwanza ile burudani wakati goli linafungwa warembo wanavyoruka na matiti kurukaruka full burudani.

Tukija kwenye timu kushinda hapo ndio unasusiwa yoteeee
Wee waulize Shadeeya na Kalpana wanavyowapa raha wenza wao yanga au simba ikishinda
 
Another maturity katika hii dunia ni kuwa na uwezo wa kujizuia na starehe au kuwa na uwezo wa kubalance starehe isiathiri utaratibu wako wa maisha na misingi yako ya kikazi pamoja na kifamilia.
Haijalishi utakuwa na ushabiki kiasi gani unapaswa kuzingatia hauangukii kwenye uraibu. La sivyo hata waje washauri kutoka Cuba utahisi wanaropoka tu.
Kweli kabisa
 
Starehe ni maalum kwa Mtu husika japo naye huona starehe za Watu wengine sawa na upumbavu au ukichaa kwake yeye, na kinyume chake ni sawa.

Mfano; Mvuta sigara au bangi humpuuza sana mnywa pombe, halikadhalika mnywa pombe humshangaa sana Mvuta sigara au bangi. Kicheche/Womanizer au Mtu asiyejihusisha na ngono na kinyume chake ni sawa kwa mcheza draft au bao.

Piga, ua, garagaza ila sijawahi na sitakaa kuuelewa ushabiki wa masumbwi ila soka na sarakasi ni ugonjwa wangu haswa.

MUHIMU:
Tusipangiane maisha maana kila Mtu huvuja jasho na kufurahia alichovuna.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Sawa
 
Ukiwa jobless alafu ukashibikia mpira lazima uwe shabiki kindakindaki au shabiki mandazi haswa ukishabikia mpira wa simba na yanga.
 
Aisee hamna sihemu rahisi ya kupata mbususu kama kwenye mpira kwanza ile burudani wakati goli linafungwa warembo wanavyoruka na matiti kurukaruka full burudani.

Tukija kwenye timu kushinda hapo ndio unasusiwa yoteeee
Wee waulize Shadeeya na Kalpana wanavyowapa raha wenza wao yanga au simba ikishinda
Kwahiyo wewe kaka kila mahali ni sehemu ya kutafutia wanawake tu???
 
Time wasting kuna time nili spend sana i used to travel san for football games, lkn at the end i think ule muda ningekua nime focus even in a single Niche maybe now ningekua in my way building my own brandy
 
Weekend hii nimeamua kumuacha mpenzi wangu kwa sababu ya ushabiki wa mpira uliopitiliza ambao ulikuja na ulevi kupindukia na marafiki wasiofaa.

Mashabiki wa mpira, muje muniambie huwa mpira unawapa faida gani?
Kumjua Manara

1744655936304.png
 
Back
Top Bottom