Ushabiki wa mpira umekuongezea au kukupunguzia nini?

Tatizo Tanzania viongozi wetu wa serikali wanatumia nafasi hii ya watu kujikita kwenye simba na yanga kama njia ya kutufanya maboya na watu wasio kuwa na akili
 
Mbona kama ni kujichosha sana
 
Weekend hii nimeamua kumuacha mpenzi wangu kwa sababu ya ushabiki wa mpira uliopitiliza ambao ulikuja na ulevi kupindukia na marafiki wasiofaa.

Mashabiki wa mpira, muje muniambie huwa mpira unawapa faida gani?
Aisee hamna sihemu rahisi ya kupata mbususu kama kwenye mpira kwanza ile burudani wakati goli linafungwa warembo wanavyoruka na matiti kurukaruka full burudani.

Tukija kwenye timu kushinda hapo ndio unasusiwa yoteeee
Wee waulize Shadeeya na Kalpana wanavyowapa raha wenza wao yanga au simba ikishinda
 
Kweli kabisa
 
Sawa
 
Ukiwa jobless alafu ukashibikia mpira lazima uwe shabiki kindakindaki au shabiki mandazi haswa ukishabikia mpira wa simba na yanga.
 
Kwahiyo wewe kaka kila mahali ni sehemu ya kutafutia wanawake tu???
 
Time wasting kuna time nili spend sana i used to travel san for football games, lkn at the end i think ule muda ningekua nime focus even in a single Niche maybe now ningekua in my way building my own brandy
 
Weekend hii nimeamua kumuacha mpenzi wangu kwa sababu ya ushabiki wa mpira uliopitiliza ambao ulikuja na ulevi kupindukia na marafiki wasiofaa.

Mashabiki wa mpira, muje muniambie huwa mpira unawapa faida gani?
Kumjua Manara

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…