MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,537
- 8,824
Unazijua Sheria za FIFA haziruhusu alicho fanya MO, malalamiko lasimi takitua FIFA jamaa jamaa anaweza pigwa burn, FIFA sio wa mchezo mchezo
Uliwahi kuona wapi Simba au yanga ikaongozwa na kiongozi toka upinzani?
Chadema mjikite kwenye Sera acheni kuhangaika na Mambo madogo,Kura Ni Siri yangu siwezi kuiacha Simba kisa Mo Ni ccm
Hata yanga akina mwakalebela na Mahindi msola wamezindua wiki ya wananchi huko Dodoma Ni siasa tu,lakini Mbowe mnazi wa Yanga hajajitoa yanga