Uliwahi kuona wapi Simba au yanga ikaongozwa na kiongozi toka upinzani?
Chadema mjikite kwenye Sera acheni kuhangaika na Mambo madogo,Kura Ni Siri yangu siwezi kuiacha Simba kisa Mo Ni ccm
Hata yanga akina mwakalebela na Mahindi msola wamezindua wiki ya wananchi huko Dodoma Ni siasa tu,lakini Mbowe mnazi wa Yanga hajajitoa yanga
Ulishangazwa na nini bwashee?Jana kanishangaza sana kufanya kampeni taifa hakika.
Aliposema CCM hoye watu kmy wakaitikia kama 500 kwenye uwanja unaobeba watu elf 6
Huyu jamaa afukuzwe simba kama kuna mtu anajua sheria za FIFA au kanunu alizo vunja aziweka hapa ili zitumwe FIFA kuanzia leo sio shabiki wa simba
soma post#28Chadema amjiamini kabisa.kilasiku nyinyi ni malalamiko tu.Simba na Yanga ni mali za CCM utake usitake.
Kajifunze kiswahili kwanza,lasimi ndio NiniUnazijua Sheria za FIFA haziruhusu alicho fanya MO, malalamiko lasimi takitua FIFA jamaa jamaa anaweza pigwa burn, FIFA sio wa mchezo mchezo
ila naamini mwezi wa 8mwakan km T.L akishanda hatosema ccm oyee niamian nakwambiaJana kanishangaza sana kufanya kampeni taifa hakika.
Aliposema CCM hoye watu kmy wakaitikia kama 500 kwenye uwanja unaobeba watu elf 60
Nilikuwa pia baa moja alivyosema Magufuli hoye watu wote wakaguna mle ndani ..
Ndio mjuwe uhalisia uliopo mtaani kwa sasa kuhusu CCM ...
Watu hawako tayari kutumiwa kwa namna yeyote..
Na bado CCM hawataki kukubali huo ukweli. Kama masikio ya kusikia hawana hata macho hawaoni?Jana kanishangaza sana kufanya kampeni taifa hakika.
Aliposema CCM hoye watu kmy wakaitikia kama 500 kwenye uwanja unaobeba watu elf 60
Nilikuwa pia baa moja alivyosema Magufuli hoye watu wote wakaguna mle ndani ..
Ndio mjuwe uhalisia uliopo mtaani kwa sasa kuhusu CCM ...
Watu hawako tayari kutumiwa kwa namna yeyote..
bMpaka sasa yeye ndio mmiliki, hakuna mwanachama hata mmoja aliyetoa japo kijiko kama sehemu ya hisa 51% za wanachama. Mo kaweka mezani 20B, jaribu kumpinga uone.Wewe ni mwekezaji tuu, na unahisa sizizozidi 49% hivyo Simba haiwezi kuwa Mali yako completely na kufanya utakalo bila ridhaa ya wengine.
Nani kakutuma umpigie kampeni Magufuli katika shughuli rasmi za club bila ridhaa ya wanachama?
Club yetu haina itikadi ya kisiasa wala kidini hivyo ukome na usirudie tena tabia hiyo.
Yule alilewa.... hata uongeaji wake si kawaida.... hadi mkude akashika mdomi akijua muda c mrefu bosi analitimbangaMo Jana alipuyanga..nahisi alilewa!
#Nguvumoja
Kwanini msikusanye ushahidi mkaupeleka Fifa na kufungua kesi rasmi??Unazijua Sheria za FIFA haziruhusu alicho fanya MO, malalamiko lasimi takitua FIFA jamaa jamaa anaweza pigwa burn, FIFA sio wa mchezo mchezo
Kweli asee hsta mm nlikua mahal watu kibao waliposikia maguful kila mtu akatoa neno lake ukawa mjadala....Jana kanishangaza sana kufanya kampeni taifa hakika.
Aliposema CCM hoye watu kmy wakaitikia kama 500 kwenye uwanja unaobeba watu elf 60
Nilikuwa pia baa moja alivyosema Magufuli hoye watu wote wakaguna mle ndani ..
Ndio mjuwe uhalisia uliopo mtaani kwa sasa kuhusu CCM ...
Watu hawako tayari kutumiwa kwa namna yeyote..
"Nataka mabao, pigeni mabao ndio kazi yenu"Yule alilewa.... hata uongeaji wake si kawaida.... hadi mkude akashika mdomi akijua muda c mrefu bosi analitimbanga