Mkuu kwahiyo unataka kusema Mo alikuwa sawa?Unajua maana ya mwenyekiti? Au unabwabwaja tu? Yeye ndiye alfa na omega. Leo akitoa mguu tu mtajikojolea mapajani. Aliwabeep tu kidogo kwamba anajihuzuru si mlimlamba miguu nyie nyie?
Kwahiyo Mo alikuwa sawa mkuu?Unaachaje kula ugali wa Mo sembe?
Bavicha mlipiga kampeni kususia line za voda lakini michango yenu yote inapitia M pesa
Ninyi ni hovyo tu, viongozi wenu walitangaza kususia Vodacom lakini baadae wakasema mtumie M-pesa kuchangia viongozi.... Sasa ni hovyo tu hamna msimamoSoma na hii
View attachment 1545809
Nimukukubali mkuu!How FIFA Defines "Political" in Ban on "political...slogans, statements or images"
[https://static][https://static]
The rules of soccer are published in a document called The Laws of the Game. According to the Laws of the Game (2018/2019), Law 04, Section 5:
"Equipment must not have any political, religious or personal slogans, statements or images...For any offence the player and/or the team will be sanctioned by the competition organiser, national football association or by FIFA.”
"Whilst ‘religious’ and ‘personal’ are relatively easily defined,‘political’ is less clear but slogans, statements or images related to the following are not permitted:
any person(s), living or dead
any local, regional, national or international political party/organisation/group, etc.
any local, regional or national government or any of its departments, offices or functions
any organisation which is discriminatory
any organisation who [whose] aims / actions are likely to offend a notable number of people
any specific political act / event
"When commemorating a significant national or international event, the sensibilities of the opposing team (including its supporters) and the general public should be carefully considered."
Je Mo alikuwa sahihi?bMpaka sasa yeye ndio mmiliki, hakuna mwanachama hata mmoja aliyetoa japo kijiko kama sehemu ya hisa 51% za wanachama. Mo kaweka mezani 20B, jaribu kumpinga uone.
Busara ilitumika. Hata hapa ni onyo tu. Hawajasema watu wasusie. Usijaribu kuwachokoza chadema.Ninyi ni hovyo tu, viongozi wenu walitangaza kususia Vodacom lakini baadae wakasema mtumie M-pesa kuchangia viongozi.... Sasa ni hovyo tu hamna msimamo
Siongelei matamshi mkuu, naongelea umiliki wa timu. Kwa upande wa matamshi, timu ya mpira ni kama taasisi za kidini tu, zina waumini wenye itikadi tofauti. Nadhani umeelewaJe Mo alikuwa sahihi?
Usijaribu kuhalalisha haramu!
Huwezi kuona kasoro, ilihali hukwenda shule. Ndo mana mtaji wa CCM ni kuwafanya watanzania kubaki kwenye ujingaukiwa nje ya jf hali ni shwari.
Ila humu[emoji114][emoji114] Kila kitu kinakasoro
Hahahahaha, kwa nini!ukiwa nje ya jf hali ni shwari.
Ila humu[emoji114][emoji114] Kila kitu kinakasoro
Kabisaukiwa nje ya jf hali ni shwari.
Ila humu[emoji114][emoji114] Kila kitu kinakasoro
Wewe hujui unachokiongea maana hata shule hukwenda. Hujui mamlaka ya FIFA wewe..Pambana upate pesa wewe, Mo ni level nyingine. Siasa za CDM na CCM zinawafanya vijana wa Tanzania muwe wajinga wajinga, nani aende FIFA kuongea huo upuuzi wako?, baada ya kufatilia mambo ya maana mnahangaika na vitu vilivyo nje ya uwezo wenu. Hamna wa kumfanya lolote Mo, sio Simba,TFF wala FIFA.
Hiyo bado sio tiketi ya kutuletea siasa kwenye mpira. Uzuri sheria za FIFA zipo wazi.Kwani uwanjani mlilipa kiingilio hadi mnalalamika?
Mmeingia uwanjani bure kwa ufadhili wa mwanaccm Mo.....sasa kuna ubaya gani akiwaomba muisapoti CCM?
Bure gharama bwashee!
Kwahiyo CCM ndo wamefadhili Simba day? Acha kujitoa ufahamuUkiwa masikini acha wenye pesa wajimwambafai.
Hilotamasha la simba day unafahamu limegharimu kiasi gani?
Wewe ni shabiki tu wa simba hufahamu biyo simba unayoishabikia imetengenezwa na nani.
Amlipaye mpiga zumari ndiye mchagua wimbo