Ushabiki wa Simba na Yanga ndiyo tumefikia huku????

Attachments

  • %E2%9D%8C+%D8%B7%D8%B1%D8%AF+%D9%85%D8%B4%D8%AC%D8%B9+%D8%AA%D9%86%D8%B2%D8%A7%D9%86%D9%8A+%D9...mp4
    1.6 MB
TFF watoe adhabu? Mkuu hebu kuwa serious hilo sio jambo la TFF kuadhibu ni suala la Caf wenyewe na serikali kama wataona inastahili.
Mimi nasema na wapigwe tu hakuna mtu atakayekujua wewe ni yanga kama hutavaa jezi ya yanga
 
Sio jambo jemba hata kidgo, msemaji wa Simba na boss wake wanatakiwa kuwajibishwa ikiwa Kuna maafa yatatokea
 
Mbona Yanga mlishaanzaga kitambo hizi mambo
 
Nendeni mkashtaki CAS
 
Wote hawana akili, hao Yanga walioenda na hao madunduka yanayofukuza watu uwanjani. Kwa Yanga wangewaelewa hao mapuyeze, wameshakalia viwili vya faster huko Morocco.

Wana hasira na hawana tumaini, wangeachana nao wakalie viwili, vitatu na leo washike adabu. Na nyie mapuyeze kila mtu yuko huru kwenda uwanjani, haijalishi si timu yake inacheza, ilimradi ni mpenzi wa kabumbu ni haki yake.

Niko hapa nashushia Brutal zangu bariiidiiii, nikisubiria watu wamepeleka waukalie. Ukiona imekuuma lamba sumu.

#teamrsbberkane#
🧡🧡🧡
 
Tuendelee kufurahi lakini hali hii itakapofikia ni kubaya
 

Attachments

  • Facebook_1748177486388(360p).mp4
    3.6 MB
Waliopigwa waende polisi kutoa taarifa.
 
Chomoa sasa huo MWIKO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…