Ushabiki wa Simba na Yanga ndiyo tumefikia huku????

Issue ni dress code. Shughuli zote huwa zina dress code. Leo ni aidha kuvaa uzi wa Simba au Berkane
 
Safi sana Hawa walitakiwa wapigwe sana ili siku nyingine ujinga uwaishe. Hapo haichezi yanga ni Simba &berka NE sasa hizo jezi za yanga ili iwaje?? Tukiendelea kulea huu ujinga wa kuhujumiana eti kisa utani wa jadi ipo siku tutafika kibaya
 
Mechi ya TP Mazembe walingia bure na wakavaa jezi za Mazembe na hawakufanywa chochote, hivyo hivyo mechi na Mamelodi kuna watu walikubali mpaka kuvaa jezi za njano za Mamelodi na hawakuguswa.Mechi ya Al Ahly juzi walipanda mpaka kwenye viti na kuvunja viti.

View: https://www.instagram.com/reel/DKEyjDwKoGX/?igsh=MWtrZHg3bmV2bHRodw==
 
Kwann uende na jez ya Yanga ? unapokuwa mtu mzima jifunze ustaraab , jaribu kuweka mipaka kweny namna unafanya mamb , bora avae jez ya mpinzan anaecheza kuliko kuvaa jez ya timu haipo uwanjan


Kwa watu wa Yanga huwa wanakupiga kabisa bora hawa mashabiki wa Simba ni wastaraabu
 
Mechi ya TP Mazembe walingia bure na wakavaa jezi za Mazembe na hawakufanywa chochote, hivyo hivyo mechi na Mamelodi kuna watu walikubali mpaka kuvaa jezi za njano za Mamelodi na hawakuguswa.
Kwan unataka wote washabikie Yanga ? Kosa ni kuingia uwanjan na jez ya timu haichez ila ukivaa jez ya moja kati ya zilizo uwanjan hilo sio kosa
 
Kwan unataka wote washabikie Yanga ? Kosa ni kuingia uwanjan na jez ya timu haichez ila ukivaa jez ya moja kati ya zilizo uwanjan hilo sio kosa

View: https://www.instagram.com/reel/DKEyjDwKoGX/?igsh=MWtrZHg3bmV2bHRodw==Kwa hiyo wewe unataka wote washabikie Kolo FC.

Wewe umekuja juzi nini? Uliona mechi ya Mamelod,uliona na Mazembe, uliona ya juzi na Al Ahly walishagilia mpaka wakapanda juu ya viti na baadhi ya viti walivunja.Huwezi kumpangia mtu cha kuvaa na hamna kosa la mtu kuvaa jezi ya timu pinzani.Mamelod mlijazana mkiwa na jezi za Mamelod na Mazembe, Manji alilipa viingilio mliingia bure na kuvaa jezi za Mazembe au hawa kwa mtizamo wako walikuwa sawa?
 
Nyinyi mlikuwa mnaenda airport kuwapokea wageni waliokuja kucheza na simba mlikuwa mnapigwa kila kitu kina mipaka yake mkuu ila yanga mna utoto mwingi sana.
 
Bahati mbaya sikutazama mechi nilikuwa na online meeting. Ila pale Simba iliponyimwa goli nilisikia sauti kubwa ya kushangilia nikajua Simba kafunga tena kumbe ilikuwa ni No Goal. Hivyo hivyo kadi ya Kagoma na goal la Berkane.

Kwa hiki nilichosikia. Naunga mkono kipigo hiki kwa mashabiki wa Yanga. Hata angevunjwa mguu mtu ingekuwa sawa tu
 
Watazitumia tiketi zao Simba Day
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…