Ushabiki wa Simba na Yanga umewapumbaza Watanganyika

Bwaaah bwahaaa nimecheka kwa nguvu vibaya. Ole wako sasa umuambie apunguze huo ushabiki, aangalie mambo ya msingi, huo ugomvi wake utajua hujui.
 
Wewe fuatilia hata kwenye vyombo vya habari utashangaa chambuzi za michezo zinapewa vipindi vingi sana na muda mrefu utafikiri hii nchi uchumi wake unategemea mpira.
 
Mpaka na wao wenyewe wauzwe tu. Hawana faida
 
Bora ushabiki wa simba na yanga uwaliwaze, tatizo ni jamii yetu kushindwa kuhoji wakipata akili watahoji
 
Ukienda masokoni mada ni Mpira,kwenye daladala mada ni mpira.
 
Wakati wafanyabiashara wa kariakoo wangoma chama alisajiliwa yanga. Kuna mech ya Simba na yanga iliahirishwa palipangwa kuwa na mechi ya Simba na yanga iliahirishwa. Siku ambayo kul
Yaani mi jitu muda wote ni mipira tu, haiwazi mambo mengine juu ya hatima ya maisha, yao.
Ghafla laaa mechi ya maridiano mbowe na mwigulu wanagonga julwaan.
 
Heshima sana wanajamvi,

Katika miaka ya karibuni ( labda 2020 - 2024) umekuwepo ushabiki mkubwa wa mpira baina ya Club mbili kubwa Simba Na Dar Young Africa.
Tangu kitambo sana. Na matapeli ya ccm yanatumia umbumbumbu wa mashabiki wa soka kuwa-brain wash zaidi.
Watu wana matatizo chungu mbovu lakini wapo radhi kuandamana kupinga madudu ndani ya timu zao kulikoni kupinga maovu kwenye siasa za Taifa!
 
Umeniwahi nilitaka kuanzisha uzi kama huu huu!

Nadhani pia kinachosababisha wengi hasa vijana kutojua lolote linalowahusu ni ELIMU vijana Wakenya ni wasomi! wanajua Generation Z tulitakiwa tutendewe nini kitaifa, sisi tunajua ubaya ubwela
Wenye elimu duni ni mtaji wa ccm!
 
Ili kuwachanganya zaidi wananunua kila goli Mil 5 au 10
 
Media houses ni kama Yale makanisa ya upako! Zina maelekezo kuwa-brain wash wadanganyika!
 
Tanzania ina raia zaidi ya milioni sitini, Sina hakika kama ni jambo rahisi kutaka kuwapangia watu wote hao nini wafanye au wasifanye.

Kama hilo ndio jambo wanaloona linawapa furaha waache wafurahie. Kula si ni juu yao wenyewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…