Ushabiki wa Simba na Yanga umewapumbaza Watanganyika

Ushabiki wa Simba na Yanga umewapumbaza Watanganyika

Heshima sana wanajamvi,

Katika miaka ya karibuni ( labda 2020 - 2024) umekuwepo ushabiki mkubwa wa mpira baina ya Club mbili kubwa Simba Na Dar Young Africa.

Ushabiki wa mpira,ngoma,kwaya,sarakasi,sana saana nyinginezo si jambo baya hasa katika kuburudisha na kuboresha afya ya akili.

Nimeanza kubaini kupitia ushabiki wa Simba na Yanga limezaliwa tatizo lingine jipya,Vijana hawajui au hawataki kufahamu kuhusu nchi yao.
Hawajui Bandari zimeuzwa kwa Waarabu.
Hawajui Uwanja wa ndege wa Kimatiafa Kilimanjaro umeuzwa.
Hawajui Ngorngoro imeuzwa kwa waarabu.
Hawajui Zanzibar inaitawala Tanganyika (Tanzania Bara)
Hawajui Ardhi ya nchi yao Tanganyika inauzwa kwa wageni.
Hawajui lolote kuhusu nchi yao.
Wakilala wakiamka Simba day,Yanga day huu upuuzi wa hizi team umewadumaza vijana wengi wa kiTanganyika badala ya kufikiri kuhusu nchi yao inavyoporwa kama wenzao wa Kenya wao wanakuambia "UBAYA UBWELA" siku wakistuka watakuta kila kitu kimeuzwa.

Ngongo kwasasa Gairo.
Klabu za Simba na Yanga ni nusu kaputi (general anesthetic) wanayoitumia serikali ya ccm kuwapumbaza Watanzania.
 
T
Hakika hunishindi mimi ninavyochukia ,.kuna broh mmoja yule hata ukimuuliza mkuu wa Mkoa anaitwa nani hajui,kunaendelea nini kimataifa hajui muda woooote yeye ni Yaaaanga eeenh Yangaaa akipiga nyimbo ni za Yanga akiwasha tv anataka habari za yanga akipiga stori yanga akiingia you tube anamsikiliza Manara tuuuh

Hakika hunishindi mimi ninavyochukia ,.kuna broh mmoja yule hata ukimuuliza mkuu wa Mkoa anaitwa nani hajui,kunaendelea nini kimataifa hajui muda woooote yeye ni Yaaaanga eeenh Yangaaa akipiga nyimbo ni za Yanga akiwasha tv anataka habari za yanga akipiga stori yanga akiingia you tube anamsikiliza Manara tuuuh nachukia mbaya yani
Inasikitisha. Jamaa anahitaji ukombozi wa kifikra.
 
Hakika hunishindi mimi ninavyochukia ,.kuna broh mmoja yule hata ukimuuliza mkuu wa Mkoa anaitwa nani hajui,kunaendelea nini kimataifa hajui muda woooote yeye ni Yaaaanga eeenh Yangaaa akipiga nyimbo ni za Yanga akiwasha tv anataka habari za yanga akipiga stori yanga akiingia you tube anamsikiliza Manara tuuuh

Hakika hunishindi mimi ninavyochukia ,.kuna broh mmoja yule hata ukimuuliza mkuu wa Mkoa anaitwa nani hajui,kunaendelea nini kimataifa hajui muda woooote yeye ni Yaaaanga eeenh Yangaaa akipiga nyimbo ni za Yanga akiwasha tv anataka habari za yanga akipiga stori yanga akiingia you tube anamsikiliza Manara tuuuh nachukia mbaya yaniHalafi wanafikiri

Your are brave.
Taifa la wajinga ni mtaji na furaha kwa watawala.
By Deep State
 
Je ameshawahi kukuomba umpe chakula au ulipie watoto wake ada?...Wewe fuata mambo yako.
By the way ni vizuri mtu kujua yanayoendelea nchini kwako ila kubwa zaidi kila mtu apambanie maisha yake anavojua
Wabadilishe mapaa ya nyumba basi,maana dar ni kutu tu kwenye mabati
 
Wewe ambaye hupendi umewashinda nini wanaopenda?
Sina nilichowashinda, sijawahi kushindana nao na sitarajii kushindana nao kwani najua kwa ubishi wa mipirq ya Yanga na Simba ukithuhutu kushindana nao huwawezi. Hao wako tayari kubishana kuanzia Asubuhi mchana hata usiku
 
Taifa la wajinga ni mtaji na furaha kwa watawala.
By Deep State
Kenya itazidi kutuacha mbali kwasababu Vijana na Wazee wanajitambua.Sisi utasikia Simba day mara ubaya ubwela sijui Yanga day.

Press conference ya Manara utashangaa media zote wanapeleka wanahabari,media hizo hizo hazina habari na Wamaasai wa Ngorongoro wanafukuzwa katika maeneo yao ya asili.

Media hizo hizo hatukuziona zikitoa coverage kubwa wakati wa uporaji wa Bandari.

Tanzania imekuwa nchi ya ajabu ajabu,ujinga ujinga umekuwa sehemu ya maisha yetu.
 
Ku
Mkuu uko sahihi sana elimu kabisaa huyo broh naheshimiana nae sana ila elimu hana,
Jana tumekaa ofisini kuna katv huwa mara nyingi naangalia bbc news au aljazeera nione maostaadhi wakitafunwa vichogo duh broh kapaniki huyoo " Manara ana press leo weka sijui tv nini huko nilichukia balaa alafu mshipa wa aibu wanakua hawana

Ukiwasahihisha utasikia " atakua simba huyu" yani kero vibaya mnooo
Kuna wanaume wanatega kabisa masikio kumzikiliza jumapili akiongea kisha waanzishe mjadala ni aibu.
 
Kenya itazidi kutuacha mbali kwasababu Vijana na Wazee wanajitambua.Sisi utasikia Simba day mara ubaya ubwela sijui Yanga day.

Press conference ya Manara utashangaa media zote wanapeleka wanahabari,media hizo hizo hazina habari na Wamaasai wa Ngorongoro wanafukuzwa katika maeneo yao ya asili.

Media hizo hizo hatukuziona zikitoa coverage kubwa wakati wa uporaji wa Bandari.

Tanzania imekuwa nchi ya ajabu ajabu,ujinga ujinga umekuwa sehemu ya maisha yetu.
Wewe kwenye Uporaji wa Bandari ulifanya nini? Na kama kuna kitu ulifanya basi inatosha kwa wewe kufanya hawawezi kufanya Watz wote.
Wabongo wajuaji kama ww wengi wenu ni keyboard warrior ila uhalisia unakuta ni bora anayebishana simba na yanga.
 
Ni woga jombaa, hata wewe nje ya hii fake id huna lolote unalofanya huko uraiani, fanya tofauti ufyekwe..

Shida ndo iko hapo, vitisho vinaanza tangu huko juu, wa juu anamtisha/kumlipa wa chini. Vyomba vya habari vinalipwa au vinatishwa au vyote kwa pamoja..
Na vyombo vya habari ndo wapasha habari namba moja nchini, watakachopromote ndo hicho kinaaminiwa na kukaa akilini mwa umma.

Wahadithiane nini habari zilizopo redioni ni hizo simba na yanga.
Ona media za kenya zilivyokua zinareport bila woga, media gani bongo inaweza hayo bila kufungiwa usajili na kupewa mikesi lukuki??

Watu hawana uelewa, watu hawana elimu. Usiwalaumu bure tu.
Nimekumbuka maneno ya Hayati Jomo Kenyatta wa Kenya kuhusu watu wa Zile Nchi tatu zilizounda Afrika ya Mashariki wakati ule kwamba ni watu wa aina gani. !
😅😅🤦🏽‍♂️.
 
Kuna midingi huwa inakaa pale Posta mpya, yaani saa 12 asubuhi inakunywa tangawizi na kubishana bishana habari za Simba na yanga. Yaani siyo Gen Z tu, hata hizo generation nyingine katika hii nchi ni za hovyo kupindukia.
Hizo past generations ndo kawaida yao hata kabla ya uhuru. Ila hii kasi ya kuwa-brain wash Gen Z na millennials ni maelekezo maalum ya ccm!
 
Wewe kwenye Uporaji wa Bandari ulifanya nini? Na kama kuna kitu ulifanya basi inatosha kwa wewe kufanya hawawezi kufanya Watz wote.
Wabongo wajuaji kama ww wengi wenu ni keyboard warrior ila uhalisia unakuta ni bora anayebishana simba na yanga.
Anayebishana Simba na Yanga ni mfinyu wa akili, aliyekata tamaa, anayetumika ku fanikisha ndoto za wajanja wachache au anayelazimisha furaha!
Keyboard warriors wengi ni time bombs 💣
Rejea kulipuka kwa Arab spring... Gen Z n.k
 
Hizo past generations ndo kawaida yao hata kabla ya uhuru. Ila hii kasi ya kuwa-brain wash Gen Z na millennials ni maelekezo maalum ya ccm!
Mungu anawaona na atatenda na hawatakuwa na peace of mind maisha yao yote kama hawatafanya vile vinavyostahili kutendewa Wananchi wa Nchi hii na mali Asili zao walizobarikiwa na Mungu wa Mbinguni !!

They will have to bear it in their minds kwamba Mungu yupo na anawaona na pia anawasikia !!
 
Heshima sana wanajamvi,

Katika miaka ya karibuni ( labda 2020 - 2024) umekuwepo ushabiki mkubwa wa mpira baina ya Club mbili kubwa Simba Na Dar Young Africa.

Ushabiki wa mpira,ngoma,kwaya,sarakasi,sana saana nyinginezo si jambo baya hasa katika kuburudisha na kuboresha afya ya akili.

Nimeanza kubaini kupitia ushabiki wa Simba na Yanga limezaliwa tatizo lingine jipya,Vijana hawajui au hawataki kufahamu kuhusu nchi yao.
Hawajui Bandari zimeuzwa kwa Waarabu.
Hawajui Uwanja wa ndege wa Kimatiafa Kilimanjaro umeuzwa.
Hawajui Ngorngoro imeuzwa kwa waarabu.
Hawajui Zanzibar inaitawala Tanganyika (Tanzania Bara)
Hawajui Ardhi ya nchi yao Tanganyika inauzwa kwa wageni.
Hawajui lolote kuhusu nchi yao.
Wakilala wakiamka Simba day,Yanga day huu upuuzi wa hizi team umewadumaza vijana wengi wa kiTanganyika badala ya kufikiri kuhusu nchi yao inavyoporwa kama wenzao wa Kenya wao wanakuambia "UBAYA UBWELA" siku wakistuka watakuta kila kitu kimeuzwa.

Ngongo kwasasa Gairo.
Umeandika upuuzi mtupu, haswa baada ya kulishwa matanga pori na media zenye kuongozwa na chuki.

Unaweza ukaweka hadharani ushahidi wa kuuzwa kwa bandari? Samia kaamua twende mazima kwenye uchumi wa kibepari sasa nyinyi wenye ukoko wa ujamaa vichwani ni wa kupewa pole nyingi sana.

Unataka watu wafikirie siasa muda wote ili wawe na machungu vichwani mwao kama ulivyo wewe!. Maisha haya ni mafupi sana hakuna sekunde hata moja yenye haki ya kumpa sababu mtu ya kuishi na maumivu ya moyo.

Tafuta uelewa mpana wa nini kinachofanyika, hizi akili za kipumbavu kwamba SSH anauza nchi haziwezi kukusaidia.
 
Sio vijana tu, hata watu wazima wakiweko wabunge.
Ningekuwa na Mamlaka mimi ningezifutilia mbali hizo Yanga na Simba
Huna mamlaka na waacheni vijana watulize akili zao kwenye ushabiki wa mpira, kero ni nyingi na wakiendelea kuzifikiria tutatengeneza kundi kubwa la wenda wazimu huko mitaani.

Hawana pesa, hawana michongo ya kuingiza pato na bado wakiushabikia mpira mnakuja na makelele yetu ya kuwalalamikia wakati hamna uwezo wowote wa kuwapunguzia machungu yao.

Acheni upuuzi huu.
 
Heshima sana wanajamvi,

Katika miaka ya karibuni ( labda 2020 - 2024) umekuwepo ushabiki mkubwa wa mpira baina ya Club mbili kubwa Simba Na Dar Young Africa.

Ushabiki wa mpira,ngoma,kwaya,sarakasi,sana saana nyinginezo si jambo baya hasa katika kuburudisha na kuboresha afya ya akili.

Nimeanza kubaini kupitia ushabiki wa Simba na Yanga limezaliwa tatizo lingine jipya,Vijana hawajui au hawataki kufahamu kuhusu nchi yao.
Hawajui Bandari zimeuzwa kwa Waarabu.
Hawajui Uwanja wa ndege wa Kimatiafa Kilimanjaro umeuzwa.
Hawajui Ngorngoro imeuzwa kwa waarabu.
Hawajui Zanzibar inaitawala Tanganyika (Tanzania Bara)
Hawajui Ardhi ya nchi yao Tanganyika inauzwa kwa wageni.
Hawajui lolote kuhusu nchi yao.
Wakilala wakiamka Simba day,Yanga day huu upuuzi wa hizi team umewadumaza vijana wengi wa kiTanganyika badala ya kufikiri kuhusu nchi yao inavyoporwa kama wenzao wa Kenya wao wanakuambia "UBAYA UBWELA" siku wakistuka watakuta kila kitu kimeuzwa.

Ngongo kwasasa Gairo.
SSH kaunda tume ya wataalam wa uchumi ili waupitie kwa kina mfumo wa kodi, lengo ni kuongeza wigo wa wafanyabiashara Tanzania, lengo ni kurahisisha mazingira ya uwekezaji wa ndani na wa nje.

Hayo ni masuala mazito ambayo tunapaswa kumuunga mkono kwani yanakwenda kugusa moja kwa moja ustawi wa kijamii wa leo na wa kesho.

Tuwaache vijana wafurahie kile wanachokipenda bila ya kuwakwaza kwa namna yoyote ile kwani hatuna chochote cha maana cha kuwasaidia wakaweza kurahisisha maisha yao!.

Kama wewe hupendi mpira hilo ni suala lako na familia yako.
 
Back
Top Bottom