ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,837
- 3,027
Mungu anawaona wabadhirifu wa mali za Nchi hii iliyobarikiwa na Mungu wa mbinguni 🙏Huna mamlaka na waacheni vijana watulize akili zao kwenye ushabiki wa mpira, kero ni nyingi na wakiendelea kuzifikiria tutatengeneza kundi kubwa la wenda wazimu huko mitaani.
Hawana pesa, hawana michongo ya kuingiza pato na bado wakiushabikia mpira mnakuja na makelele yetu ya kuwalalamikia wakati hamna uwezo wowote wa kuwapunguzia machungu yao.
Acheni upuuzi huu.
Hakika kila atakayezikwapua mali hizo hatokaa aishi kwa Amani na kizazi chake choteee. 🙌🙏🙏🙏