Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio.We chawa kumbe TICTS waliletwa na Chadema?
Mmezoeleka ninyi kuapa,kupiga magoti,kupika ubwabwa na kula na "wanyonge",kuwanunulia wanyonge kapelo na tisheti na hata kuwasanifu wanyonge kwa kujibebesha tutofali kwenye ujenzi wa ma-halls ya kusomea.Mkuu HAKI YA MUNGU ni kweli tu hiki nilicholeta hapa
WEWE ACHANA NA CCM watu wametumwa hela; ogopa hela watu waliuuza ugombea urais kwa tiketi ya CHADEMA kwa Lowassa mwaka 2015, wewe sijui ulikuwa wapiKwamba Wamiliki wa TICTS ambao umewataja ni Wanaccm ,na kwamba Wanaccm wa TICTS wamewanunua CHADEMA? Labda mimi niwe fala kama anavyojichora mleta mada, hili halitaniingia akilini kamwe.Hoja ni Terms za Mkataba mbona hapo mnapakwepa kupasemea?
Ni vema ukaweka ushahidi wa uanachama wao na utoaji mapesa wewe mwenyewe hapahapa.Ndio.
Wamiliki wa TICTS walikuwa.wanachama wa Chadema fuatlia uchaguzi 2015 utawajua walichangia pesa nyingi mno Chadema 2015
Mgombea wao aliposhindwa kupitishwa na CCM mmoja wa wamiliki wakaenda Chadema
Unamaanisha wananchi hawana akili za kujitegemea hadi wawe wana CDM?Dharau hii unajua?wananchi wamefuata upepo, ila tunaanza kutoboa tanga kama hivi
Mjadala umetokana na kuwepo mikononi mwa Jamii nyaraka yenye kichwa cha habari Inter Governmental Agreement between the United Republic of Tanzania and The Emirate of Dubai Concerning the economic and social partnership for the development and improving performance of sea and lake ports in Tanzania. Nyaraka (IGA) hiyo ilisainiwa kwa maridhio ya rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na mtawala wa The Emirate of Dubai Oktoba, 2022. Kwa kuzingatia matakwa ya utawala bora na vifungu vya IGA, serikali iliipeleka IGA katika bunge ili kupata baraka na siyo ridhaa.Kwamba Wamiliki wa TICTS ambao umewataja ni Wanaccm ,na kwamba Wanaccm wa TICTS wamewanunua CHADEMA? Labda mimi niwe fala kama anavyojichora mleta mada, hili halitaniingia akilini kamwe.Hoja ni Terms za Mkataba mbona hapo mnapakwepa kupasemea?
Kwa namna ninavyokuwa sipo upande wa CCM mara nyingi kutokana na ulaghai wenu,basi ukahitimisha mimi ni CDM?Nikiwa na kadi ya mwaka gani yenye namba gani?Umejidharaulisha sana kwa kutoa suluhisho lenye kuonesha unavyowaza mwisho wa pua yako.wewe wa kwanza , ulishaanza kutojitegemea ki akili siku nyingi ulipojiunga na CHADEMA
Matthew 7:1-5TICTS walipewa kazi ya kuendeleza, kuboresha, na kuendesha shughuli za upakuwaji na upakiaji wa makasha ya mizigo kwenye bandari ya Dar as salaam kuanzia mwaka 2000.
Walipewa magati 08,09,10 na 11 na bandari kavu za kurasini na Ubungo amabo ni 75% ya ukubwa wa biashara ya bandariya Dar es Salaam. TICTS kampuni tanzu ya kampuni ya Hutchison Port Holding Limited (HPH) ya Singapore na imesajiliwa British Virgin Islands Hutchison Port Holding Limited (HPH)nayo ni kampuni tanzu ya CK Hutchison Holdings Limited.
Mpaka sasa TICTS imewekeza USD 100 M kwa kununua kwa kuleta 11 RTGCs (Rubber-tyred Gantry Cranes), 4 Reach stackers, 2 Mobile Harbour Cranes, 17 terminal tractors and 2 empty handlers na ujenzi wa miiundo mbinu. Mh. Nazir Karamagi alikuwa mwenyekiti wa bodi ya TICTS hadi Mei, 2008 nafasi yake ilipochukuliwa na John Meredith.
Mwaka 2017 utendaji wa TICTS uliingizwa kwenye mpango mpya wa kupima ufanisi ili kuona kama unaendena na ushindani wa sasa katika biashara ya bandari. Upimaji ulikuwa wa miaka 5 na ilishindwa kukidhi vigezo na mkataba wake kutohuishwa mwaka 2022.
Wakati TICTS ikitathimiwa, TPA ilianza mchakato wa kupata mbadala na wake na akapatikana DP World. Kupoteza biashara kubwa kama ya kuendesha biashara, TICTS ilitafuta namna ya kuzuia kuja kwa mwendeshaji mwingine ukizingatia kuwa bado wanaendelea na biashara kwenye kipindi cha mpito. TICTS ikawaingiza CHADEMA kwenye vita yao kama askari mamluki.
Mazingiara haya yanaonyesha ndoa ya TICTS na CHADEMA. Kati kati ya mjadala wa DP World, Mdude Chadema na social network worriers wa CHADEMA walipost MEMO ya TICTS ambayo pamoja na kwamba ilikuwa inatoboa hoja yao ya upotoshaji kuwa WAARABU tayari wako bandari ya Dares Salaam, lakini ilikuwa inawasidia kuwaonyesha TICTS kuwa wako kazini wanapambana na kuhalaisha pesa walizolipwa.
View attachment 2689848
Tukio jingine ni kuhuishwa na kuboreshwa kwa +255 Kutoka KATIBA MPYA na kuwa KATIBA MPYA NA OKOA BANDARI ZETU.
Kampeni hii inakwenda kuzindukia Kagera ambako ndiko kwao mhusika wa TICTS anakotoka. +255 ilikuwa imesimama kwa kukosa pesa, tatizo hilo liletatuliwa na pesa za TICTS za kupinga DP World.
Huwa wanasoma vitabu vya dini na kuvielewa hao zaidi ya kuvinajisi wanapoapa hadharani kuwa walaghai na wezi?Matthew 7:1-5
[1]Judge not, that ye be not judged.
Msihukumu, msije mkahukumiwa ninyi.
[2]Kwa kuwa hukumu ile mhukumuyo, ndiyo mtakayohukumiwa; na kipimo kile mpimiacho, ndicho mtakachopimiwa.
[3]
Basi, mbona wakitazama kibanzi kilicho ndani ya jicho la ndugu yako, na boriti iliyo ndani ya jicho lako mwenyewe huiangalii?
[4]Au utamwambiaje nduguyo, Niache nikitoe kibanzi katika jicho lako; na kumbe! Mna boriti ndani ya jicho lako mwenyewe?
[5]Mnafiki wewe, itoe kwanza ile boriti katika jicho lako mwenyewe; ndipo utakapoona vema kukitoa kile kibanzi katika jicho la ndugu yako. Kutweza Kitakatifu
Na wewe ni miongoni mwa wezi wa mali za umma kwa nini utetee huu mkataba wa wizi wa mchana kweupe hata duniani wanashangaa huo muda unaupata wapi ila ni kwa sababu unalipwa.TICTS walipewa kazi ya kuendeleza, kuboresha, na kuendesha shughuli za upakuwaji na upakiaji wa makasha ya mizigo kwenye bandari ya Dar as salaam kuanzia mwaka 2000.
Walipewa magati 08,09,10 na 11 na bandari kavu za kurasini na Ubungo amabo ni 75% ya ukubwa wa biashara ya bandariya Dar es Salaam. TICTS kampuni tanzu ya kampuni ya Hutchison Port Holding Limited (HPH) ya Singapore na imesajiliwa British Virgin Islands Hutchison Port Holding Limited (HPH)nayo ni kampuni tanzu ya CK Hutchison Holdings Limited.
Mpaka sasa TICTS imewekeza USD 100 M kwa kununua kwa kuleta 11 RTGCs (Rubber-tyred Gantry Cranes), 4 Reach stackers, 2 Mobile Harbour Cranes, 17 terminal tractors and 2 empty handlers na ujenzi wa miiundo mbinu. Mh. Nazir Karamagi alikuwa mwenyekiti wa bodi ya TICTS hadi Mei, 2008 nafasi yake ilipochukuliwa na John Meredith.
Mwaka 2017 utendaji wa TICTS uliingizwa kwenye mpango mpya wa kupima ufanisi ili kuona kama unaendena na ushindani wa sasa katika biashara ya bandari. Upimaji ulikuwa wa miaka 5 na ilishindwa kukidhi vigezo na mkataba wake kutohuishwa mwaka 2022.
Wakati TICTS ikitathimiwa, TPA ilianza mchakato wa kupata mbadala na wake na akapatikana DP World. Kupoteza biashara kubwa kama ya kuendesha biashara, TICTS ilitafuta namna ya kuzuia kuja kwa mwendeshaji mwingine ukizingatia kuwa bado wanaendelea na biashara kwenye kipindi cha mpito. TICTS ikawaingiza CHADEMA kwenye vita yao kama askari mamluki.
Mazingiara haya yanaonyesha ndoa ya TICTS na CHADEMA. Kati kati ya mjadala wa DP World, Mdude Chadema na social network worriers wa CHADEMA walipost MEMO ya TICTS ambayo pamoja na kwamba ilikuwa inatoboa hoja yao ya upotoshaji kuwa WAARABU tayari wako bandari ya Dares Salaam, lakini ilikuwa inawasidia kuwaonyesha TICTS kuwa wako kazini wanapambana na kuhalaisha pesa walizolipwa.
View attachment 2689848
Tukio jingine ni kuhuishwa na kuboreshwa kwa +255 Kutoka KATIBA MPYA na kuwa KATIBA MPYA NA OKOA BANDARI ZETU.
Kampeni hii inakwenda kuzindukia Kagera ambako ndiko kwao mhusika wa TICTS anakotoka. +255 ilikuwa imesimama kwa kukosa pesa, tatizo hilo liletatuliwa na pesa za TICTS za kupinga DP World.
wewe unatetea huu wa TICTSNa wewe ni miongoni mwa wezi wa mali za umma kwa nini utetee huu mkataba wa wizi wa mchana kweupe hata duniani wanashangaa huo muda unaupata wapi ila ni kwa sababu unalipwa.
Mkuu umesema vizuri na asante kwa kuleta vifungu vya biblia, inayogusa kote kote kama msumemoMatthew 7:1-5
[1]Judge not, that ye be not judged.
Msihukumu, msije mkahukumiwa ninyi.
[2]Kwa kuwa hukumu ile mhukumuyo, ndiyo mtakayohukumiwa; na kipimo kile mpimiacho, ndicho mtakachopimiwa.
[3]
Basi, mbona wakitazama kibanzi kilicho ndani ya jicho la ndugu yako, na boriti iliyo ndani ya jicho lako mwenyewe huiangalii?
[4]Au utamwambiaje nduguyo, Niache nikitoe kibanzi katika jicho lako; na kumbe! Mna boriti ndani ya jicho lako mwenyewe?
[5]Mnafiki wewe, itoe kwanza ile boriti katika jicho lako mwenyewe; ndipo utakapoona vema kukitoa kile kibanzi katika jicho la ndugu yako. Kutweza Kitakatifu
Walau nawaza urefu wa pua yangu asante; ila wewe huwazi kabisa poleKwa namna ninavyokuwa sipo upande wa CCM mara nyingi kutokana na ulaghai wenu,basi ukahitimisha mimi ni CDM?Nikiwa na kadi ya mwaka gani yenye namba gani?Umejidharaulisha sana kwa kutoa suluhisho lenye kuonesha unavyowaza mwisho wa pua yako.
Sipendi kukuvunja moyo.Lakini,amini nikianzisha uzi kutaka kujua members wenye akili zilizopooza huwezi kukosa kujitwalia maksi nyingi sana.Walau nawaza urefu wa pua yangu asante; ila wewe huwazi kabisa pole