Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Good!! Na viongoz wa dini, wanasheria, Mzee WARIOBA, BUTIKU, Shivji wanatumiwa na nan? NB; Nitoe ushauri CCM wafanye vetting process ya kuleta watu weny akili na uelewa kuliko machawa majingajinga!!!TICTS walipewa kazi ya kuendeleza, kuboresha, na kuendesha shughuli za upakuwaji na upakiaji wa makasha ya mizigo kwenye bandari ya Dar as salaam kuanzia mwaka 2000.
Walipewa magati 08,09,10 na 11 na bandari kavu za kurasini na Ubungo amabo ni 75% ya ukubwa wa biashara ya bandariya Dar es Salaam. TICTS kampuni tanzu ya kampuni ya Hutchison Port Holding Limited (HPH) ya Singapore na imesajiliwa British Virgin Islands Hutchison Port Holding Limited (HPH)nayo ni kampuni tanzu ya CK Hutchison Holdings Limited.
Mpaka sasa TICTS imewekeza USD 100 M kwa kununua kwa kuleta 11 RTGCs (Rubber-tyred Gantry Cranes), 4 Reach stackers, 2 Mobile Harbour Cranes, 17 terminal tractors and 2 empty handlers na ujenzi wa miiundo mbinu. Mh. Nazir Karamagi alikuwa mwenyekiti wa bodi ya TICTS hadi Mei, 2008 nafasi yake ilipochukuliwa na John Meredith.
Mwaka 2017 utendaji wa TICTS uliingizwa kwenye mpango mpya wa kupima ufanisi ili kuona kama unaendena na ushindani wa sasa katika biashara ya bandari. Upimaji ulikuwa wa miaka 5 na ilishindwa kukidhi vigezo na mkataba wake kutohuishwa mwaka 2022.
Wakati TICTS ikitathimiwa, TPA ilianza mchakato wa kupata mbadala na wake na akapatikana DP World. Kupoteza biashara kubwa kama ya kuendesha biashara, TICTS ilitafuta namna ya kuzuia kuja kwa mwendeshaji mwingine ukizingatia kuwa bado wanaendelea na biashara kwenye kipindi cha mpito. TICTS ikawaingiza CHADEMA kwenye vita yao kama askari mamluki.
Mazingiara haya yanaonyesha ndoa ya TICTS na CHADEMA. Kati kati ya mjadala wa DP World, Mdude Chadema na social network worriers wa CHADEMA walipost MEMO ya TICTS ambayo pamoja na kwamba ilikuwa inatoboa hoja yao ya upotoshaji kuwa WAARABU tayari wako bandari ya Dares Salaam, lakini ilikuwa inawasidia kuwaonyesha TICTS kuwa wako kazini wanapambana na kuhalaisha pesa walizolipwa.
View attachment 2689848
Tukio jingine ni kuhuishwa na kuboreshwa kwa +255 Kutoka KATIBA MPYA na kuwa KATIBA MPYA NA OKOA BANDARI ZETU.
Kampeni hii inakwenda kuzindukia Kagera ambako ndiko kwao mhusika wa TICTS anakotoka. +255 ilikuwa imesimama kwa kukosa pesa, tatizo hilo liletatuliwa na pesa za TICTS za kupinga DP World.
Ajenda ya Bandari Chadema imedandia tu. Kashifa ya DP world ni ya wasomi na waelevu wa nchi hii VS wajinga wa nchii hi.TICTS walipewa kazi ya kuendeleza, kuboresha, na kuendesha shughuli za upakuwaji na upakiaji wa makasha ya mizigo kwenye bandari ya Dar as salaam kuanzia mwaka 2000.
Walipewa magati 08,09,10 na 11 na bandari kavu za kurasini na Ubungo amabo ni 75% ya ukubwa wa biashara ya bandariya Dar es Salaam. TICTS kampuni tanzu ya kampuni ya Hutchison Port Holding Limited (HPH) ya Singapore na imesajiliwa British Virgin Islands Hutchison Port Holding Limited (HPH)nayo ni kampuni tanzu ya CK Hutchison Holdings Limited.
Mpaka sasa TICTS imewekeza USD 100 M kwa kununua kwa kuleta 11 RTGCs (Rubber-tyred Gantry Cranes), 4 Reach stackers, 2 Mobile Harbour Cranes, 17 terminal tractors and 2 empty handlers na ujenzi wa miiundo mbinu. Mh. Nazir Karamagi alikuwa mwenyekiti wa bodi ya TICTS hadi Mei, 2008 nafasi yake ilipochukuliwa na John Meredith.
Mwaka 2017 utendaji wa TICTS uliingizwa kwenye mpango mpya wa kupima ufanisi ili kuona kama unaendena na ushindani wa sasa katika biashara ya bandari. Upimaji ulikuwa wa miaka 5 na ilishindwa kukidhi vigezo na mkataba wake kutohuishwa mwaka 2022.
Wakati TICTS ikitathimiwa, TPA ilianza mchakato wa kupata mbadala na wake na akapatikana DP World. Kupoteza biashara kubwa kama ya kuendesha biashara, TICTS ilitafuta namna ya kuzuia kuja kwa mwendeshaji mwingine ukizingatia kuwa bado wanaendelea na biashara kwenye kipindi cha mpito. TICTS ikawaingiza CHADEMA kwenye vita yao kama askari mamluki.
Mazingiara haya yanaonyesha ndoa ya TICTS na CHADEMA. Kati kati ya mjadala wa DP World, Mdude Chadema na social network worriers wa CHADEMA walipost MEMO ya TICTS ambayo pamoja na kwamba ilikuwa inatoboa hoja yao ya upotoshaji kuwa WAARABU tayari wako bandari ya Dares Salaam, lakini ilikuwa inawasidia kuwaonyesha TICTS kuwa wako kazini wanapambana na kuhalaisha pesa walizolipwa.
View attachment 2689848
Tukio jingine ni kuhuishwa na kuboreshwa kwa +255 Kutoka KATIBA MPYA na kuwa KATIBA MPYA NA OKOA BANDARI ZETU.
Kampeni hii inakwenda kuzindukia Kagera ambako ndiko kwao mhusika wa TICTS anakotoka. +255 ilikuwa imesimama kwa kukosa pesa, tatizo hilo liletatuliwa na pesa za TICTS za kupinga DP World.
Kama kuna hoja imewaonyesha CHADEMA ni wajinga ni hii- mko weupeGood!! Na viongoz wa dini, wanasheria, Mzee WARIOBA, BUTIKU, Shivji wanatumiwa na nan? NB; Nitoe ushauri CCM wafanye vetting process ya kuleta watu weny akili na uelewa kuliko machawa majingajinga!!!
Hii ndo orodha ya Misukule inayoona umeandika Jambo la maana?TICTS walipewa kazi ya kuendeleza, kuboresha, na kuendesha shughuli za upakuwaji na upakiaji wa makasha ya mizigo kwenye bandari ya Dar as salaam kuanzia mwaka 2000.
Walipewa magati 08,09,10 na 11 na bandari kavu za kurasini na Ubungo amabo ni 75% ya ukubwa wa biashara ya bandariya Dar es Salaam. TICTS kampuni tanzu ya kampuni ya Hutchison Port Holding Limited (HPH) ya Singapore na imesajiliwa British Virgin Islands Hutchison Port Holding Limited (HPH)nayo ni kampuni tanzu ya CK Hutchison Holdings Limited.
Mpaka sasa TICTS imewekeza USD 100 M kwa kununua kwa kuleta 11 RTGCs (Rubber-tyred Gantry Cranes), 4 Reach stackers, 2 Mobile Harbour Cranes, 17 terminal tractors and 2 empty handlers na ujenzi wa miiundo mbinu. Mh. Nazir Karamagi alikuwa mwenyekiti wa bodi ya TICTS hadi Mei, 2008 nafasi yake ilipochukuliwa na John Meredith.
Mwaka 2017 utendaji wa TICTS uliingizwa kwenye mpango mpya wa kupima ufanisi ili kuona kama unaendena na ushindani wa sasa katika biashara ya bandari. Upimaji ulikuwa wa miaka 5 na ilishindwa kukidhi vigezo na mkataba wake kutohuishwa mwaka 2022.
Wakati TICTS ikitathimiwa, TPA ilianza mchakato wa kupata mbadala na wake na akapatikana DP World. Kupoteza biashara kubwa kama ya kuendesha biashara, TICTS ilitafuta namna ya kuzuia kuja kwa mwendeshaji mwingine ukizingatia kuwa bado wanaendelea na biashara kwenye kipindi cha mpito. TICTS ikawaingiza CHADEMA kwenye vita yao kama askari mamluki.
Mazingiara haya yanaonyesha ndoa ya TICTS na CHADEMA. Kati kati ya mjadala wa DP World, Mdude Chadema na social network worriers wa CHADEMA walipost MEMO ya TICTS ambayo pamoja na kwamba ilikuwa inatoboa hoja yao ya upotoshaji kuwa WAARABU tayari wako bandari ya Dares Salaam, lakini ilikuwa inawasidia kuwaonyesha TICTS kuwa wako kazini wanapambana na kuhalaisha pesa walizolipwa.
View attachment 2689848
Tukio jingine ni kuhuishwa na kuboreshwa kwa +255 Kutoka KATIBA MPYA na kuwa KATIBA MPYA NA OKOA BANDARI ZETU.
Kampeni hii inakwenda kuzindukia Kagera ambako ndiko kwao mhusika wa TICTS anakotoka. +255 ilikuwa imesimama kwa kukosa pesa, tatizo hilo liletatuliwa na pesa za TICTS za kupinga DP World.
Uongo mtupu ! kwani TICTS walipewa mkataba usio na kikomo , halafu walimilikishwa bandari zote kama huyo Mwarabu ?
Wanatosha kwa sababu ukweli ni miliki ya watu wachache, ila mstari wa waongo, wazushi ni mrefuHii ndo orodha ya Misukule inayoona umeandika Jambo la maana?View attachment 2690102
TPA takes chargeShughuli za TICTS hapo bandarini zinatekelezwa na taasisi gani kwasasa baada ya mkataba yao kukoma.
Hatari sana, TPA WILL NOW OPERATETPA takes charge
TPA will now operate berths 8 to 11 that have been under the private sector for over twenty (20) years so as to get the revenues forecasted to be collected from cargo handled at those respective berths.
![]()
Ticts’ 22-year era over as TPA ends contract
TPA will now operate berths 8 to 11 that have been under the private sector for over two decadeswww.thecitizen.co.tz
Kweli kama ni kiongozi wa chama basi si ajabu kwa madudu haya tunayayaona yakitetewa na wanaccmDuh..
Na ukute wewe ni kiongoz wa Chama mkubwa kabisa😂
Acha kuapa ujinaga, usilitaje jina la Bwana Mungu wako bure.Mkuu HAKI YA MUNGU ni kweli tu hiki nilicholeta hapa
Hujajib swali langu wala siwatetei hao chadema bali ulipaswa kunijib hao wengine wamehongwa na nan?Kama kuna hoja imewaonyesha CHADEMA ni wajinga ni hii- mko weupe
soma hii
Intergovernmental agreements
Authors: Daryl R Williams
Abstract
Intergovernmental agreements are made by a variety of parties and in differing ways, take a wide range of forms, deal with many different subject-matters, and are entered into for differing purposes. While the essential feature of an intergovernmental agreement is cooperative action by different jurisdictions, the purposes sought to be achieved by the different parties may be quite different. Most intergovernmental agreements are not justiciable, since the political nature of the agreement and, sometimes, the lack of precision in its terms, negate an intention to create legal relations. The most direct source of power to make intergovernmental agreements is section 61 of the Commonwealth Constitution. Two recent cases in the High Court of Australia have regenerated interest in intergovernmental agreement
Naomba ufafanuzi wa hayo malengo waliyopewa TICTS, wapi wamefeli na wapi wamefanikiwa. Vinginevyo naona ni kama porojo za kutungwaTICTS walipewa kazi ya kuendeleza, kuboresha, na kuendesha shughuli za upakuwaji na upakiaji wa makasha ya mizigo kwenye bandari ya Dar as salaam kuanzia mwaka 2000.
Walipewa magati 08,09,10 na 11 na bandari kavu za kurasini na Ubungo amabo ni 75% ya ukubwa wa biashara ya bandariya Dar es Salaam. TICTS kampuni tanzu ya kampuni ya Hutchison Port Holding Limited (HPH) ya Singapore na imesajiliwa British Virgin Islands Hutchison Port Holding Limited (HPH)nayo ni kampuni tanzu ya CK Hutchison Holdings Limited.
Mpaka sasa TICTS imewekeza USD 100 M kwa kununua kwa kuleta 11 RTGCs (Rubber-tyred Gantry Cranes), 4 Reach stackers, 2 Mobile Harbour Cranes, 17 terminal tractors and 2 empty handlers na ujenzi wa miiundo mbinu. Mh. Nazir Karamagi alikuwa mwenyekiti wa bodi ya TICTS hadi Mei, 2008 nafasi yake ilipochukuliwa na John Meredith.
Mwaka 2017 utendaji wa TICTS uliingizwa kwenye mpango mpya wa kupima ufanisi ili kuona kama unaendena na ushindani wa sasa katika biashara ya bandari. Upimaji ulikuwa wa miaka 5 na ilishindwa kukidhi vigezo na mkataba wake kutohuishwa mwaka 2022.
Wakati TICTS ikitathimiwa, TPA ilianza mchakato wa kupata mbadala na wake na akapatikana DP World. Kupoteza biashara kubwa kama ya kuendesha biashara, TICTS ilitafuta namna ya kuzuia kuja kwa mwendeshaji mwingine ukizingatia kuwa bado wanaendelea na biashara kwenye kipindi cha mpito. TICTS ikawaingiza CHADEMA kwenye vita yao kama askari mamluki.
Mazingiara haya yanaonyesha ndoa ya TICTS na CHADEMA. Kati kati ya mjadala wa DP World, Mdude Chadema na social network worriers wa CHADEMA walipost MEMO ya TICTS ambayo pamoja na kwamba ilikuwa inatoboa hoja yao ya upotoshaji kuwa WAARABU tayari wako bandari ya Dares Salaam, lakini ilikuwa inawasidia kuwaonyesha TICTS kuwa wako kazini wanapambana na kuhalaisha pesa walizolipwa.
View attachment 2689848
Tukio jingine ni kuhuishwa na kuboreshwa kwa +255 Kutoka KATIBA MPYA na kuwa KATIBA MPYA NA OKOA BANDARI ZETU.
Kampeni hii inakwenda kuzindukia Kagera ambako ndiko kwao mhusika wa TICTS anakotoka. +255 ilikuwa imesimama kwa kukosa pesa, tatizo hilo liletatuliwa na pesa za TICTS za kupinga DP World.
Ila wameshindwa kuiendeleza miaka 20?Uongo mtupu ! kwani TICTS walipewa mkataba usio na kikomo , halafu walimilikishwa bandari zote kama huyo Mwarabu ?
Kuna ushahidi upi hapo? Hivi huu ujinga huwa mnafundishwa na nani hapo Lumumba?unataka ushahidi gani zaidi ya huo mkuu? mkishikwa pambaya mnaanda kuwa nit pickers