Ushahidi CHADEMA inatumiwa na TICTS kukwamisha uboreshaji wa bandari

TICTS walipewa kazi ya kuendeleza, kuboresha, na kuendesha shughuli za upakuwaji na upakiaji wa makasha ya mizigo kwenye bandari ya Dar as salaam kuanzia mwaka 2000.

Walipewa magati 08,09,10 na 11 na bandari kavu za kurasini na Ubungo amabo ni 75% ya ukubwa wa biashara ya bandariya Dar es Salaam. TICTS kampuni tanzu ya kampuni ya Hutchison Port Holding Limited (HPH) ya Singapore na imesajiliwa British Virgin Islands Hutchison Port Holding Limited (HPH)nayo ni kampuni tanzu ya CK Hutchison Holdings Limited.

Mpaka sasa TICTS imewekeza USD 100 M kwa kununua kwa kuleta 11 RTGCs (Rubber-tyred Gantry Cranes), 4 Reach stackers, 2 Mobile Harbour Cranes, 17 terminal tractors and 2 empty handlers na ujenzi wa miiundo mbinu. Mh. Nazir Karamagi alikuwa mwenyekiti wa bodi ya TICTS hadi Mei, 2008 nafasi yake ilipochukuliwa na John Meredith.

Mwaka 2017 utendaji wa TICTS uliingizwa kwenye mpango mpya wa kupima ufanisi ili kuona kama unaendena na ushindani wa sasa katika biashara ya bandari. Upimaji ulikuwa wa miaka 5 na ilishindwa kukidhi vigezo na mkataba wake kutohuishwa mwaka 2022.

Wakati TICTS ikitathimiwa, TPA ilianza mchakato wa kupata mbadala na wake na akapatikana DP World. Kupoteza biashara kubwa kama ya kuendesha biashara, TICTS ilitafuta namna ya kuzuia kuja kwa mwendeshaji mwingine ukizingatia kuwa bado wanaendelea na biashara kwenye kipindi cha mpito. TICTS ikawaingiza CHADEMA kwenye vita yao kama askari mamluki.

Mazingiara haya yanaonyesha ndoa ya TICTS na CHADEMA. Kati kati ya mjadala wa DP World, Mdude Chadema na social network worriers wa CHADEMA walipost MEMO ya TICTS ambayo pamoja na kwamba ilikuwa inatoboa hoja yao ya upotoshaji kuwa WAARABU tayari wako bandari ya Dares Salaam, lakini ilikuwa inawasidia kuwaonyesha TICTS kuwa wako kazini wanapambana na kuhalaisha pesa walizolipwa.

View attachment 2689848
Tukio jingine ni kuhuishwa na kuboreshwa kwa +255 Kutoka KATIBA MPYA na kuwa KATIBA MPYA NA OKOA BANDARI ZETU.

Kampeni hii inakwenda kuzindukia Kagera ambako ndiko kwao mhusika wa TICTS anakotoka. +255 ilikuwa imesimama kwa kukosa pesa, tatizo hilo liletatuliwa na pesa za TICTS za kupinga DP World.
hoja mfu
 
Mkuu umesema vizuri na asante kwa kuleta vifungu vya biblia, inayogusa kote kote kama msumemo
Matthew 7:1-5
[1]Judge not, that ye be not judged.
Msihukumu, msije mkahukumiwa ninyi.

[2]Kwa kuwa hukumu ile mhukumuyo, ndiyo mtakayohukumiwa; na kipimo kile mpimiacho, ndicho mtakachopimiwa.

[3]
Basi, mbona wakitazama kibanzi kilicho ndani ya jicho la ndugu yako, na boriti iliyo ndani ya jicho lako mwenyewe huiangalii?

[4]Au utamwambiaje nduguyo, Niache nikitoe kibanzi katika jicho lako; na kumbe! Mna boriti ndani ya jicho lako mwenyewe?

[5]Mnafiki wewe, itoe kwanza ile boriti katika jicho lako mwenyewe; ndipo utakapoona vema kukitoa kile kibanzi katika jicho la ndugu yako. Kutweza Kitakatifu
 
Huwa wanasoma vitabu vya dini na kuvielewa hao zaidi ya kuvinajisi wanapoapa hadharani kuwa walaghai na wezi?
Shoka ipo chini ya mti.[emoji123][emoji106]
IMEANDIKWA!
[emoji116][emoji116]
Matthew 3:8-10
[8]Basi zaeni matunda yapasayo toba;

[9]wala msiwaze mioyoni mwenu kwamba, Tunaye baba, ndiye Ibrahimu; kwa maana nawaambia ya kwamba Mungu aweza katika mawe haya kumwinulia Ibrahimu watoto.

[10]Na shoka limekwisha kuwekwa penye mashina ya miti; basi kila mti usiozaa matunda mazuri hukatwa na kutupwa motoni.
 
wananchi wamefuata upepo, ila tunaanza kutoboa tanga kama hivi
Tuo neutral na huu mchezo tutafaidi, sema serkali imekataa kutumia vyombo kujua ukweli.
Mfano.
1. Hili la TICTIS na CDM lingemlikwa ili siasa isiingie kwenye vitu muhimu na huu ni UHAINI
2. DP WORLD issue yake ni terms za Mkataba sio kuwa hawahitajiki au mtu asiwekeze. Wananchi wanaangalia maslahi ya mkataba sio uaraabu wa uhindi. Na watetezi wa mkataba kila mmoja anaibuka na aina yake ya kutetea. Hili linaleta wasiwasi. Kwanini swali moka majibu tofauti kutoka source moja ya wasemaji?
3. Vyama vya siasa ccm na cdm wasidhani hili ni kalata yao ya kujipatia umaarufu, mfano cdm tinawajua wameluwa wapingaji wa kila awamu wala hakuna walipongeza , zaidi walishangaza kusema tukivunja mikataba tunashitakiwa MIGA na hawakuona bora tushtakiwe kuliko kunyonywa. Ma ccm wao wanadhani wana hati miliki ya rasilimali za taifa na hata raia wote kitendo cha UCHAWA ni dalili ya kujitoa ufahamu wala reasoning imewatoka hao si WAZALENDO KABISA.
Mwisho ule mkataba uwe wazi na win win, na wanasiasa wasitufanye sisi wajinga, wanajikaanga kwa mafuta yao
 
Point[emoji4][emoji106]
 
Sijui kwa wengine, lakini mie nimechoshwa na makala hizi za kipumbavu zinazoletwa kila uchao ambazo hazijibu hoja bali propaganda na hisia tuu za kijinga.
Hivi nani kakataa wawekezaji wa bandari? Watu wanahoji mkataba huu nyie mnajizima data.
Ndio maana Kenya hawakubaliani na serikali yao inayojifanya haitaki kusikia watu wanataka nini, na tetesi zilizopo Nairobi na miji mikuu mingine ni kuwa kama hali itaendelea basi jeshi laweza kuingilia kati.
Jee hawa CCM wanataka tufike huko? Na jee tukifika huko na wakajikuta hawako madarakani watauweza mtiti wa sheria zitakazo wabana kwa makosa yao?
Maana hivi ni nani katika CCM anaweza kujikuta hana hatia ya rushwa, matumizi mabaya ya madaraka, ubadhilifu au ufisadi?
Nafikiri tunafikia hapo mwishoni.
 
Nani aliwatuma msaini mkataba fyongo?
Kila mkiharibu mnajificha kwenye kichaka Cha chadema wanatumiwa, jibuni hoja zilizoko mezani la hamwezi nyamazeni au muachane na DPW. Maana hata mjinga akikaa kimya huonekana ana busara.
 
TICTS walipewa kazi ya kuendeleza, kuboresha, na kuendesha shughuli za upakuwaji na upakiaji wa makasha ya mizigo kwenye bandari ya Dar as salaam kuanzia mwaka 2000.

Walipewa magati 08,09,10 na 11 na bandari kavu za kurasini na Ubungo amabo ni 75% ya ukubwa wa biashara ya bandariya Dar es Salaam. TICTS kampuni tanzu ya kampuni ya Hutchison Port Holding Limited (HPH) ya Singapore na imesajiliwa British Virgin Islands Hutchison Port Holding Limited (HPH)nayo ni kampuni tanzu ya CK Hutchison Holdings Limited.

Mpaka sasa TICTS imewekeza USD 100 M kwa kununua kwa kuleta 11 RTGCs (Rubber-tyred Gantry Cranes), 4 Reach stackers, 2 Mobile Harbour Cranes, 17 terminal tractors and 2 empty handlers na ujenzi wa miiundo mbinu. Mh. Nazir Karamagi alikuwa mwenyekiti wa bodi ya TICTS hadi Mei, 2008 nafasi yake ilipochukuliwa na John Meredith.

Mwaka 2017 utendaji wa TICTS uliingizwa kwenye mpango mpya wa kupima ufanisi ili kuona kama unaendena na ushindani wa sasa katika biashara ya bandari. Upimaji ulikuwa wa miaka 5 na ilishindwa kukidhi vigezo na mkataba wake kutohuishwa mwaka 2022.

Wakati TICTS ikitathimiwa, TPA ilianza mchakato wa kupata mbadala na wake na akapatikana DP World. Kupoteza biashara kubwa kama ya kuendesha biashara, TICTS ilitafuta namna ya kuzuia kuja kwa mwendeshaji mwingine ukizingatia kuwa bado wanaendelea na biashara kwenye kipindi cha mpito. TICTS ikawaingiza CHADEMA kwenye vita yao kama askari mamluki.

Mazingiara haya yanaonyesha ndoa ya TICTS na CHADEMA. Kati kati ya mjadala wa DP World, Mdude Chadema na social network worriers wa CHADEMA walipost MEMO ya TICTS ambayo pamoja na kwamba ilikuwa inatoboa hoja yao ya upotoshaji kuwa WAARABU tayari wako bandari ya Dares Salaam, lakini ilikuwa inawasidia kuwaonyesha TICTS kuwa wako kazini wanapambana na kuhalaisha pesa walizolipwa.

View attachment 2689848
Tukio jingine ni kuhuishwa na kuboreshwa kwa +255 Kutoka KATIBA MPYA na kuwa KATIBA MPYA NA OKOA BANDARI ZETU.

Kampeni hii inakwenda kuzindukia Kagera ambako ndiko kwao mhusika wa TICTS anakotoka. +255 ilikuwa imesimama kwa kukosa pesa, tatizo hilo liletatuliwa na pesa za TICTS za kupinga DP World.
Una risiti ya deposit za pesa kwenda upinzani kutoka TICTS? Kama huna. tuaminije bandiko lako?
 
Tuo neutral na huu mchezo tutafaidi, sema serkali imekataa kutumia vyombo kujua ukweli.
Mfano.
1. Hili la TICTIS na CDM lingemlikwa ili siasa isiingie kwenye vitu muhimu na huu ni UHAINI
2. DP WORLD issue yake ni terms za Mkataba sio kuwa hawahitajiki au mtu asiwekeze. Wananchi wanaangalia maslahi ya mkataba sio uaraabu wa uhindi. Na watetezi wa mkataba kila mmoja anaibuka na aina yake ya kutetea. Hili linaleta wasiwasi. Kwanini swali moka majibu tofauti kutoka source moja ya wasemaji?
3. Vyama vya siasa ccm na cdm wasidhani hili ni kalata yao ya kujipatia umaarufu, mfano cdm tinawajua wameluwa wapingaji wa kila awamu wala hakuna walipongeza , zaidi walishangaza kusema tukivunja mikataba tunashitakiwa MIGA na hawakuona bora tushtakiwe kuliko kunyonywa. Ma ccm wao wanadhani wana hati miliki ya rasilimali za taifa na hata raia wote kitendo cha UCHAWA ni dalili ya kujitoa ufahamu wala reasoning imewatoka hao si WAZALENDO KABISA.
Mwisho ule mkataba uwe wazi na win win, na wanasiasa wasitufanye sisi wajinga, wanajikaanga kwa mafuta yao
Mserekali huyu[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji106]
 
TICTS walipewa kazi ya kuendeleza, kuboresha, na kuendesha shughuli za upakuwaji na upakiaji wa makasha ya mizigo kwenye bandari ya Dar as salaam kuanzia mwaka 2000.

Walipewa magati 08,09,10 na 11 na bandari kavu za kurasini na Ubungo amabo ni 75% ya ukubwa wa biashara ya bandariya Dar es Salaam. TICTS kampuni tanzu ya kampuni ya Hutchison Port Holding Limited (HPH) ya Singapore na imesajiliwa British Virgin Islands Hutchison Port Holding Limited (HPH)nayo ni kampuni tanzu ya CK Hutchison Holdings Limited.

Mpaka sasa TICTS imewekeza USD 100 M kwa kununua kwa kuleta 11 RTGCs (Rubber-tyred Gantry Cranes), 4 Reach stackers, 2 Mobile Harbour Cranes, 17 terminal tractors and 2 empty handlers na ujenzi wa miiundo mbinu. Mh. Nazir Karamagi alikuwa mwenyekiti wa bodi ya TICTS hadi Mei, 2008 nafasi yake ilipochukuliwa na John Meredith.

Mwaka 2017 utendaji wa TICTS uliingizwa kwenye mpango mpya wa kupima ufanisi ili kuona kama unaendena na ushindani wa sasa katika biashara ya bandari. Upimaji ulikuwa wa miaka 5 na ilishindwa kukidhi vigezo na mkataba wake kutohuishwa mwaka 2022.

Wakati TICTS ikitathimiwa, TPA ilianza mchakato wa kupata mbadala na wake na akapatikana DP World. Kupoteza biashara kubwa kama ya kuendesha biashara, TICTS ilitafuta namna ya kuzuia kuja kwa mwendeshaji mwingine ukizingatia kuwa bado wanaendelea na biashara kwenye kipindi cha mpito. TICTS ikawaingiza CHADEMA kwenye vita yao kama askari mamluki.

Mazingiara haya yanaonyesha ndoa ya TICTS na CHADEMA. Kati kati ya mjadala wa DP World, Mdude Chadema na social network worriers wa CHADEMA walipost MEMO ya TICTS ambayo pamoja na kwamba ilikuwa inatoboa hoja yao ya upotoshaji kuwa WAARABU tayari wako bandari ya Dares Salaam, lakini ilikuwa inawasidia kuwaonyesha TICTS kuwa wako kazini wanapambana na kuhalaisha pesa walizolipwa.

View attachment 2689848
Tukio jingine ni kuhuishwa na kuboreshwa kwa +255 Kutoka KATIBA MPYA na kuwa KATIBA MPYA NA OKOA BANDARI ZETU.

Kampeni hii inakwenda kuzindukia Kagera ambako ndiko kwao mhusika wa TICTS anakotoka. +255 ilikuwa imesimama kwa kukosa pesa, tatizo hilo liletatuliwa na pesa za TICTS za kupinga DP World.
Huku mnazunguka tu, hoja zijibiwe kama ifuatavyo: Mkataba huu ukomo wake lini? Mkataba huu kama ni mzuri kwa Nini bandari za Zanzibar hazimo? Mkataba huu ni wa bandari ya Dar es Salaam tu au bandari zote za baharini, maziwa na nchi kavu? IBARA 4 (2) inayosema iwapo Tanzania inapotaka kuweka mwekezaji mwingine maeneo mengine ya bandari inatakiwa iende Dubai kuomba ridhaa, Dubai wakikataa kutoa idhini ndio basi, je, nchi huru ikaombe ridhaa Dubai Tena kwa mali zake? Jibuni maswali yenye utata, msizunguke.
 
Ni hatari jamani naomba serikali isiogope kututumia vijana:
Mfano soma hapa:
uboreshwa kwa +255 Kutoka KATIBA MPAYA na kuwa KATIBA MPAYA NA OKOA BANDARI ZETU

Umenikumbusha mkurugenzi wa wilaya fulani nayeye alipost twitter mwandiko haueleweki ila ni mkurugenzi wa wilaya. Kiukweli ni huzuni.
Wanaanza kuumbuka.
 
Back
Top Bottom