Ushahidi: Delila hakumnyoa Samsoni bali alisingiziwa

Biblia Inasema Samsoni Alikuwa DredRock Rejea Huo Mstali Wa 13; Ni Black Man Pekee Ambae Nywele Zake Zinaweza Kujisokota, Sio Mzungu Wala Mwarabu Sasa Hiyo Picha Apo Ya Huyo Mzungu Ni Ya Nani?
Nazani Ni Mwendelezo Wa Dramma Zile Zile Za Kuuficha Ukweli;
Hata pichani Samsoni si mzungu ukijaribu kuangalia rangi ya Delila na Samsoni ni tofauti kabisa
 
Kwa usingizi wa kawaida c rahisi kunyolewa usihisi chochote. Itakua alipewa unga.
 
Samsoni hakunyolewa na Delila bali Delila amekaa kusingiziwaView attachment 2040992
Imekuwa ikienea kuwa mwanamke kwa jina la Delila ndiye alimunyoa Samsoni kitu ambacho si kweli. Wengi hufikiri kuwa Samsoni alinyolewa na Delila.

Ushahidi unaonyesha katika biblia takatifu Delila yeye alihusika katika kumdanganya Samsoni na kujua siri zilizo zificha katika Nywele zake na Delila yeye alihusika pia wakati Samsoni ananyolewa lakini Delila binafsi yeye hakumunyoa Samsoni kitu ambacho Delila amekaa kusingiziwa.

Ushahidi katika biblia ukisoma Waamuzi 16:19
Imeandikwa "Waamuzi 16:19
[19]Naye akamlaza usingizi magotini pake. Kisha akamwita mtu akavinyoa vile vishungi saba vya nywele za kichwa chake; akaanza kumsumbua, nguvu zake zikamtoka.

Hivyo ukirejea ushahidi wa biblia Samsoni alinyolewa na mtu mwingine ambaye hakutajwa na wakati huo Samsoni alikuwa magotini mwa Delila.
Maadui zake Wafilisti ndo walikuwa wakimlia "timing" Samson kiasi cha kuamua kumtuma Delila ili amlaghai.

Delila ndie alieamuru kijakazi kuzikata nywele hizo.
 
Samsoni hakunyolewa na Delila bali Delila amekaa kusingiziwaView attachment 2040992
Imekuwa ikienea kuwa mwanamke kwa jina la Delila ndiye alimunyoa Samsoni kitu ambacho si kweli. Wengi hufikiri kuwa Samsoni alinyolewa na Delila.

Ushahidi unaonyesha katika biblia takatifu Delila yeye alihusika katika kumdanganya Samsoni na kujua siri zilizo zificha katika Nywele zake na Delila yeye alihusika pia wakati Samsoni ananyolewa lakini Delila binafsi yeye hakumunyoa Samsoni kitu ambacho Delila amekaa kusingiziwa.

Ushahidi katika biblia ukisoma Waamuzi 16:19
Imeandikwa "Waamuzi 16:19
[19]Naye akamlaza usingizi magotini pake. Kisha akamwita mtu akavinyoa vile vishungi saba vya nywele za kichwa chake; akaanza kumsumbua, nguvu zake zikamtoka.

Hivyo ukirejea ushahidi wa biblia Samsoni alinyolewa na mtu mwingine ambaye hakutajwa na wakati huo Samsoni alikuwa magotini mwa Delila.
Mkuu hivi mkeo akiwapa funguo za nyumba yako wezi ,
Wakasafisha kila kitu cha ndani yeye ahusiki na wizi?
 
Luanda Magere the rock,the iron, the unbeaten and all hard names referred to Him.
 
Delila ni primary suspect...
Samsoni hakunyolewa na Delila bali Delila amekaa kusingiziwaView attachment 2040992
Imekuwa ikienea kuwa mwanamke kwa jina la Delila ndiye alimunyoa Samsoni kitu ambacho si kweli. Wengi hufikiri kuwa Samsoni alinyolewa na Delila.

Ushahidi unaonyesha katika biblia takatifu Delila yeye alihusika katika kumdanganya Samsoni na kujua siri zilizo zificha katika Nywele zake na Delila yeye alihusika pia wakati Samsoni ananyolewa lakini Delila binafsi yeye hakumunyoa Samsoni kitu ambacho Delila amekaa kusingiziwa.

Ushahidi katika biblia ukisoma Waamuzi 16:19
Imeandikwa "Waamuzi 16:19
[19]Naye akamlaza usingizi magotini pake. Kisha akamwita mtu akavinyoa vile vishungi saba vya nywele za kichwa chake; akaanza kumsumbua, nguvu zake zikamtoka.

Hivyo ukirejea ushahidi wa biblia Samsoni alinyolewa na mtu mwingine ambaye hakutajwa na wakati huo Samsoni alikuwa magotini mwa Delila.
 
Hapa alifeli sana maana Delila nae alimuingiza kwenye mtego na maneno juu mara unashindwa kuniambia siri unipendae nae sam kaingia mazima
Ndo kauli za wanawake wengi tulokua nao huku,
"Kama utaki kunitajia password ya ATM card hunipendi"

Ingia kichwa kichwa Sasa[emoji2]
 
Samsoni hakunyolewa na Delila bali Delila amekaa kusingiziwaView attachment 2040992
Imekuwa ikienea kuwa mwanamke kwa jina la Delila ndiye alimunyoa Samsoni kitu ambacho si kweli. Wengi hufikiri kuwa Samsoni alinyolewa na Delila.

Ushahidi unaonyesha katika biblia takatifu Delila yeye alihusika katika kumdanganya Samsoni na kujua siri zilizo zificha katika Nywele zake na Delila yeye alihusika pia wakati Samsoni ananyolewa lakini Delila binafsi yeye hakumunyoa Samsoni kitu ambacho Delila amekaa kusingiziwa.

Ushahidi katika biblia ukisoma Waamuzi 16:19
Imeandikwa "Waamuzi 16:19
[19]Naye akamlaza usingizi magotini pake. Kisha akamwita mtu akavinyoa vile vishungi saba vya nywele za kichwa chake; akaanza kumsumbua, nguvu zake zikamtoka.

Hivyo ukirejea ushahidi wa biblia Samsoni alinyolewa na mtu mwingine ambaye hakutajwa na wakati huo Samsoni alikuwa magotini mwa Delila.
Kwani wewe ulikuwa hujui
 
Back
Top Bottom