Duduvwili
JF-Expert Member
- Jan 31, 2015
- 4,355
- 4,476
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa wewe[emoji23][emoji23]Delila hawezi kuwa mtuhumiwa wakati alikua kazini,, kazi ya kachero yeyote kunasa magaidi, samson alikua gaidi mmoja hatari sana, akiua watu ovyo ovyo tu,
Delila alikuwa undercover agent wa serikali ya wafilisti,, kipindi hicho waisrael hawakuwa na taifa lao, na waliishi katika nchi ya caanan, chini ya utawala wa wafilisti,,
Samsoni alikuwa kafanya ugaidi wa kuchoma moto mashamba ya watu, pamoja na kufanya mauaji mengi ili ajipatie magovi kwa ajili ya kulipia mahari au betting kama sikosei