Ushahidi huu hapa, hakukuwa na Tender kama Waziri Mbarawa alivyosema leo

Atutajie makampuni hayo aliyoyatumia na tenda ilitangazwa lini.
Hayo makampuni Atayatoa wapi Mkuu. Ukitaka kujua Ni hujuma na rushwa za kitoto.

Kwanini hili swala limeibuka mwaka huu wakati walisaini toka mwaka Jana mwezi wa kumi na ikifika wa kumi mwaka huu Ni mwaka? Kimya Cha karibu miezi 6 kilikuwa Chanini Kama walichokifanya Ni sahihi na Ni haki?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…