Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona wanarukaruka tu kama popcorn
najiuliza, kama mkataba usingevujishwa ungepelekwaje Bungeni kupitishwa? si ni lazima ulikuwa uwe hadharani kwa vyovyote vile?Kassim na Mbarawa Kila Mmoja na lake!!!
Aliyevujisha mkataba, apongezwe kwakweli.
CCM ni majizi tunajiuliza, kama mkataba usingevujishwa ungepelekwaje Bungeni kupitishwa? si ni lazima ulikuwa uwe hadharani kwa vyovyote vile?
JESUS IS CHRIST
Umesahau wachawi na wanga.Kabla ya Mkataba huu niliamini Wazanzibar wote ni wacha Mungu na Wana hofu ya Allah, kumbe Nilikuwa najidanganya. Wapo waongo, Wanafiki, Wazandiki na hata Wazushi.
Mwakabusi ameshasema tusiwasikilize,kina diblo dibala,ni waongo,shetani mwenyewe anawaogopa🙏UONGO, UONGO UONGO wa serikali yangu ,I hate UONGO
Uko sahihi kaa nao mbali hao watu🙏🙏Umesahau wachawi na wanga.
Ogopa Sana MTU mwenye sijida, masjid Mara tano kwa siku, kumbe anakwenda kusugua uso.
Huo mchakato ulifanyika lini? Na ulifanyikia wapi? Nani walioshiriki kwenye huo mchakato?
Mtaweweseka sana.Uislam inaitwa Taqiya.. yaani Danganya tu ili mambo yaende Allah asema
Wanajua kwamba mkataba umewafunga sasa anatafuta njia zote za kujinasua wanashindwa. Uongo si mzuri kabisa. Wanapata shida sana hawa jamaa. Wanashindwa kujitoa tu kwenye hili dudeWaswahili wanasema, Kwa enzi hizi, Muogope MUNGU na Teknolojia. Naomba msome kipende AView attachment 2687881
Njia ya muongo ni fupi sanaWaswahili wanasema, Kwa enzi hizi, Muogope MUNGU na Teknolojia. Naomba msome kipende AView attachment 2687881
Nakumiss sana Rafiki yangu, naanza safari ya Pwani leohaya , kwaheri.
HahahahaaaaaWaswahili wanasema, Kwa enzi hizi, Muogope MUNGU na Teknolojia. Naomba msome kipende AView attachment 2687881