Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Mwigulu Nchemba ana ushetani mwingi sana. Hana utu hata kidogo,ana kiburi na mjivuni sana. Suala la kuwakata watu pesa zao zikiwa bank na wanapotoa huu watu wameuchukulia kama ni Unyang'anyi wa Serikali yako kwa wananchi maskini.
Yaani mmeshindwa kukusanya kodi sasa mnachukua kwenye accounts za watu. Na aliyekushauri alikushauri makusudi akuharibie. Wananchi wanajawa na chuki na hasira. Then yeye atakuja kukuruka hapo baadaye.
Mwigulu hana ubinadamu kabisa. Sababu anatumia pesa zetu hana uchungu kuangalia namna ya kusaidia wananchi. Mnapata wapi ujasiri wa kuwapora pesa zao wananchi maskini?
Hili linaleta chuki sana kwa serikali.