Mimi ningekuwa ndiyo Rais, kiukweli huyu jmaa ningemhamishia Wizara ya Mazingira na Muungano! Huko nadhani kungemfaa.
Halafu kwenye Wizara ya Fedha, Uchumi na Mipango ningemtafuta mtaalamu aliyebobea kweli ili kuleta maajabu ambayo hayatawaumiza kabisa wananchi wa hali ya chini.