Ushahidi: Video inayodaiwa ni ya Gwajima nilikuwa nayo kwenye simu yangu tangia 2018, siyo ya Gwajima

 
Mtoa post unapoteza muda wako bure, uma backdate simu yako then unataka kumtetea mzinzi mwenzako, wwwwoooooi woooooi
 
ukiitwa na mamlaka upo teyari kutoa ishahidi?
 
Jambo hili kwasasa limefanyika ili kufunika suala la kutekwa Mdude Nyagali.
 
Kamanda inaonekana unapenda sana pilau sasa muda wote huo umeifadhi kideo cha baba askofu au video ilirekodiwa kwa ajili ya masomo ya mafundisho ya ndoa, ilikua theory na practical ndio hiyo
 
Write your reply...Hapo unadanganya, hiyo Video kuna baazi ya simu ukiidownload inajionesha mwezi huo 2018 hata ukiidownload leo. Mm jana nilihangaika kuitafuta baada ya kudownload WhatsApp nikaja kuikuta ipo kwenye Gallery inaonesha Nov 15 2018 ingawa sikuelewa ni kwann na sikuwahi kudownload video kama hiyo kwenye simu yangu
 
Write your reply...Kwenye simu yangu upande wa Gallery inaonesha Nov 15 2018 ingawa nimeidownload leo. Kwahiyo mtoa mada unatudanganya
 
We ni kenge Hiyo 2018 umeandika Hapo blalifuu hatutaki ujinga wenu hapa
Usione wote ni wajinga kama hiyo misukule yako
 
Mimi.nimedownload jana ila kwenye gallary imeenda November last year..unataka na mimi niseme nilikuwa nayo...? Hebu acha kutetea upuuzi
 

Soma sana ujinga utakuua mkuu
 
Aisee mpo busy na damage control...Askofu wenu kaharibu big time...ndio.ukweli utakaobaki kwa umma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…