Ushahidi wa Boniface Mwangi unadhihirisha Tanzania haifuati utawala wa sheria

Sijali

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2010
Posts
2,700
Reaction score
1,857
Nimetazama ushahidi wa Boniface Mwangi alioutoa kwenye vyombo vya habari vya Kenya akielezea unyama aliyofanyiwa na Polisi wa Tanzania. Natabiri kwamba kesi hii haitaishia kama wanavyowafanyia Watanzania. Tayari reaction ya Wakenya wengi wasema rais Samia asitie mguu Kenya.

Ninavyowajua Wakenya, hii kesi itakwenda mbali na huenda ikasababisha uhusiano baina ya nchi mbili kuzorota sana. Ni kweli, baadhi ya viongozi wa Kenya yaelekea wamekula njama na wa Tanzania, ili wawape msukosuko wanaharakati wo, ila unyama wa kupindukia waliofanyiwa raia wao hawataweza kukaa kimya, na nguvu ya umma itawafanya wachukue hatua.

Pia soma > Boniface Mwangi na Agatha wakielezea walivyofanyiwa udhalilishaji wa kingono na Polisi wa Tanzania

Lakini turudie Jamii yetu ya Tanzania: kwa nini Jamii ya Tanzania inakubali unyama wa kishenzi na ukatili wa aina hii? Kutokana na ushahidi wa Mwangi, alinajisiwa, kupigwa nyayo za miguu na magoti, hata kushindwa kutembea. Tena wakati wa kufanyiwa ushetani huo alikuwa analazimishwa amsifu mama Samia!
Kwa wiki alikuwa akijisaidia damu tupu.

Ukisikiliza matamshi ya Wabunge wa Tanzania, nao pia wanaunga mkono unyama huu! Jamii ya Tanzania imeharibiwa kabisa na mfumo wa siasa za unyama na mateso tangu Uhuru; kiasi kwamba hivi sasa ushenzi, dhuluma, unyama, kupiga watu bure....yaonekana ni kawaida.

Rais asemaye 'kifo ni kifo tu' kuelezea kifo cha bw. Ali Kibao aliyeuawa na kumwagiwa tindi kali bila ya kosa linalostahiki hata robo ya mateso hayo, hatufai na ataitumbukiza nchi kwenye giza; maana dhuluma haifaulu hata kidogo.

Nilikuwa nastaajabu kuwa mauaji yote haya yanayoendelea Gaza, rais hata kutoa tamko tu la kulaaani hakufanya......sasa nimepata jawabu.
 
Nimesikiliza press conference ya leo tarehe 02 June 2025 jijini Nairobi, hakika inatisha sana na kusikitisha.

Utawala umeleta aibu kubwa sana kwa taifa na vyombo vyetu vya dola (state apparatus).

Nchi hii yetu imefika kilele cha ukatili aliyozungumza Boniface Mwangi yanafanana na ya waliyozungumza Sativa na Mdude Nyangali.

Na Boniface Mwangi ameweza kuwataja kwa majina walewale wanaoshirikiana na kundi la wasiojulikana, magari yao, ndani ya usafiri kumejaa magongo ya kutesea n.k

Safari hii wasiojulikana sasa wamekwenda kimataifa, na waliyoyatenda kwa Boniface Mwangi na Agather yamesimuliwa na wahanga kwa kiEnglish, hakika watu wamepandwa na hasira kali.

Kenya ni vilio na makamasi vimetanda, hii hasira ya waTanzania wanaokandamizwa kutekwa, kupigwa, kudhalilishwa pamoja na ya ndugu zetu waKenya baada ya kufikiwa na wasiojulikana wanaotumwa na utawala wa Tanzania itayumbisha hali nchini Tanzania.

Hili serikali ya Tanzania sijui wataweza kulituliza vipi, maana Mdude Nyagali, Sativa na wengine walitoa simulizi kw kilLugha chetu kinachotumika na watawala kuficha uovu yaani kiLugha cha KiSwahili
 
Nimetazama ushahidi wa Boniface Mwangi alioutoa kwenye vyombo vya habari vya Kenya akielezea unyama aliyofanyiwa na Polisi wa Tanzania. Natabiri kwamba kesi hii haitaishia kama wanavyowafanyia Watanzania. Tayari reaction ya Wakenya wengi wasema rais Samia asitie mguu Kenya.

Ninavyowajua Wakenya, hii kesi itakwenda mbali na huenda ikasababisha uhusiano baina ya nchi mbili kuzorota sana. Ni kweli, baadhi ya viongozi wa Kenya yaelekea wamekula njama na wa Tanzania, ili wawape msukosuko wanaharakati wo, ila unyama wa kupindukia waliofanyiwa raia wao hawataweza kukaa kimya, na nguvu ya umma itawafanya wachukue hatua.

Lakini turudie Jamii yetu ya Tanzania: kwa nini Jamii ya Tanzania inakubali unyama wa kishenzi na ukatili wa aina hii? Kutokana na ushahidi wa Mwangi, alinajisiwa, kupigwa nyayo za miguu na magoti, hata kushindwa kutembea. Tena wakati wa kufanyiwa ushetani huo alikuwa analazimishwa amsifu mama Samia!
Kwa wiki alikuwa akijisaidia damu tupu.
Ukisikiliza matamshi ya Wabunge wa Tanzania, nao pia wanaunga mkono unyama huu! Jamii ya Tanzania imeharibiwa kabisa na mfumo wa siasa za unyama na mateso tangu Uhuru; kiasi kwamba hivi sasa ushenzi, dhuluma, unyama, kupiga watu bure....yaonekana ni kawaida.
Rais asemaye 'kifo ni kifo tu' kuelezea kifo cha bw. Ali Kibao aliyeuawa na kumwagiwa tindi kali bila ya kosa linalostahiki hata robo ya mateso hayo, hatufai na ataitumbukiza nchi kwenye giza; maana dhuluma haifaulu hata kidogo.
Nilikuwa nastaajabu kuwa mauaji yote haya yanayoendelea Gaza, rais hata kutoa tamko tu la kulaaani hakufanya......sasa nimepata jawabu.
huyo si mtu wa drama inafahamika gentleman 🐒
 
Huyu kiongozi wa WAFIRAJI Samia amevuka mipaka, hakuna anachohofia kwasasa. Amefanya uovu mkuu zaidi ya ule wa SODOMA & GOMORA, hakika Mungu atamuangamiza na kufutilia mbali utawala wake wa KIFEDHULI.
 
Nimetazama ushahidi wa Boniface Mwangi alioutoa kwenye vyombo vya habari vya Kenya akielezea unyama aliyofanyiwa na Polisi wa Tanzania. Natabiri kwamba kesi hii haitaishia kama wanavyowafanyia Watanzania. Tayari reaction ya Wakenya wengi wasema rais Samia asitie mguu Kenya.

Ninavyowajua Wakenya, hii kesi itakwenda mbali na huenda ikasababisha uhusiano baina ya nchi mbili kuzorota sana. Ni kweli, baadhi ya viongozi wa Kenya yaelekea wamekula njama na wa Tanzania, ili wawape msukosuko wanaharakati wo, ila unyama wa kupindukia waliofanyiwa raia wao hawataweza kukaa kimya, na nguvu ya umma itawafanya wachukue hatua.

Lakini turudie Jamii yetu ya Tanzania: kwa nini Jamii ya Tanzania inakubali unyama wa kishenzi na ukatili wa aina hii? Kutokana na ushahidi wa Mwangi, alinajisiwa, kupigwa nyayo za miguu na magoti, hata kushindwa kutembea. Tena wakati wa kufanyiwa ushetani huo alikuwa analazimishwa amsifu mama Samia!
Kwa wiki alikuwa akijisaidia damu tupu.
Ukisikiliza matamshi ya Wabunge wa Tanzania, nao pia wanaunga mkono unyama huu! Jamii ya Tanzania imeharibiwa kabisa na mfumo wa siasa za unyama na mateso tangu Uhuru; kiasi kwamba hivi sasa ushenzi, dhuluma, unyama, kupiga watu bure....yaonekana ni kawaida.
Rais asemaye 'kifo ni kifo tu' kuelezea kifo cha bw. Ali Kibao aliyeuawa na kumwagiwa tindi kali bila ya kosa linalostahiki hata robo ya mateso hayo, hatufai na ataitumbukiza nchi kwenye giza; maana dhuluma haifaulu hata kidogo.
Nilikuwa nastaajabu kuwa mauaji yote haya yanayoendelea Gaza, rais hata kutoa tamko tu la kulaaani hakufanya......sasa nimepata jawabu.
Inasikitisha sana.

Wanaharakati wakitekwa ni lazima waliwe KIBOGA.

Rejea kwa MO alivalishwa Kanga.

Mkato hataki hata kuzungumzia.

Yule Mchungaji aliyetekwa Arusha naye 100% walimla KIBOGA.

Wanawapiga picha huku wakilawitiwa na wanaambiwa mkiendelea kuisema SIRIKALI tunaachia video na picha watu wazione.
 
IMG_1743.jpeg
IMG_1748.jpeg

Nchi ya Tanzania ni ya kipumbavu sana, binadamu anateswa, ananajisiwa lakini kwa sababu viongozi wa serikali na chama tawala ndiyo watoa maagizo na wanufaika wa huo unyama hapo chawa(wafuasi) wao wanaona ni sawa. Hili tatizo sidhani kama ni illiteracy na lack of exposure peke yake bali ni roho chafu na za kikatili zilizowajaa viongozi pamoja na wafuasi(chawa) wao.
Ukimsikiliza Bonface ndipo utajua ukatili na ubaradhuli wa Samia pamoja na henchmen wake wakiongozwa na Mafwele, Mafwele imejulikana sasa openly baada ya Bonface kumtaja kwa Nina kuwa ni rapist/sodomist pamoja na timu yake yote. Wanamnajisi mtu huku wakimrekodi then wanamtisha eti ukisema tutavujisha clips kwenye social media mke wako na watoto wako wazione.
Hii ndiyo aina ya viongozi na polisi pamoja na wale wa kitengo tulionao katika nchi yetu.
 
Inasikitisha sana.

Wanaharakati wakitekwa ni lazima waliwe KIBOGA.

Rejea kwa MO alivalishwa Kanga.

Mkato hataki hata kuzungumzia.

Yule Mchungaji aliyetekwa Arusha naye 100% walimla KIBOGA.

Wanawapiga picha huku wakilawitiwa na wanaambiwa mkiendelea kuisema SIRIKALI tunaachia video na picha watu wazione.

..wanatisha tu watu kwasababu wakiachia hizo video na wao watakamatwa kirahisi sana.

..Nampongeza huyo Mkenya kwa kuwa na ujasiri wa kueleza unyama aliofanyiwa,na kuwataja wahusika.
 
Kituo kikubwa tajwa cha televisheni Citizen TV Kenya kinachoheshimika, kimetoa habari za kusikitsha sana, kituo hicho cha Citizen TV Kenya kimejitahidi kutotoa kila kitu hewani kutunza utu wa waathirika, ingawa online TV zingine zimetoa ushuhuda mzima na hazikuacha hata tone moja ya kile Boniface Mwangi na Agather Atuhaire walichoeleza ktk press conference ya leo.

02 June 2025
Nairobi, Kenya

Mwangi & Agather Atuhaire detail harrowing ordeal in detention

View: https://m.youtube.com/watch?v=XE3eZIJnVz8
Kenyan activist Boniface Mwangi and his Ugandan counterpart Agather Atuhaire have revealed disturbing details of their detention in Tanzania, claiming they were sexually tortured by operatives they believe were working for the state.The two say they were abducted, held illegally for days in torture chambers, and eventually dumped at the border...

Source : Citizen TV Kenya
 
Naunga mkono vikatuni vya gen z wa kenya waendelee kumvua nguo , hadi ajidharau
IBILISI Samia anapaswa kupingwa kwa nguvu zote. Tabia za kufirana za Wazanzibari amezihamishia kwenye serikali yake kama tool ya kudhalilisha wanaompinga. Huyu FEDHULI hapaswi kuendelea kupewa nafasi ya kuonga nchi kwa gharama yoyote ile.
 
Back
Top Bottom