Ushahidi wa Boniface Mwangi unadhihirisha Tanzania haifuati utawala wa sheria

Ushahidi wa Boniface Mwangi unadhihirisha Tanzania haifuati utawala wa sheria

Kama mmeumia na huyo mkenya, hamieni huko muungane mkalilie huko..
Mliwahi kusikia kuwa mwanaharakati wa tz ameenda kufanya huo usenge huko kenya?
WALIFUATA NINI HUKU?
WALIDANGANYWA SANA..
HII NCHI SI SHAMBA LA MAHINDI KUWA KILA NYANI INAWEZA KUVUNA IKAONDOKA..
nimejifunza kitu, uhuru ukizidi useng huongezeka!
 
Nimetazama ushahidi wa Boniface Mwangi alioutoa kwenye vyombo vya habari vya Kenya akielezea unyama aliyofanyiwa na Polisi wa Tanzania. Natabiri kwamba kesi hii haitaishia kama wanavyowafanyia Watanzania. Tayari reaction ya Wakenya wengi wasema rais Samia asitie mguu Kenya.

Ninavyowajua Wakenya, hii kesi itakwenda mbali na huenda ikasababisha uhusiano baina ya nchi mbili kuzorota sana. Ni kweli, baadhi ya viongozi wa Kenya yaelekea wamekula njama na wa Tanzania, ili wawape msukosuko wanaharakati wo, ila unyama wa kupindukia waliofanyiwa raia wao hawataweza kukaa kimya, na nguvu ya umma itawafanya wachukue hatua.

Lakini turudie Jamii yetu ya Tanzania: kwa nini Jamii ya Tanzania inakubali unyama wa kishenzi na ukatili wa aina hii? Kutokana na ushahidi wa Mwangi, alinajisiwa, kupigwa nyayo za miguu na magoti, hata kushindwa kutembea. Tena wakati wa kufanyiwa ushetani huo alikuwa analazimishwa amsifu mama Samia!
Kwa wiki alikuwa akijisaidia damu tupu.
Ukisikiliza matamshi ya Wabunge wa Tanzania, nao pia wanaunga mkono unyama huu! Jamii ya Tanzania imeharibiwa kabisa na mfumo wa siasa za unyama na mateso tangu Uhuru; kiasi kwamba hivi sasa ushenzi, dhuluma, unyama, kupiga watu bure....yaonekana ni kawaida.
Rais asemaye 'kifo ni kifo tu' kuelezea kifo cha bw. Ali Kibao aliyeuawa na kumwagiwa tindi kali bila ya kosa linalostahiki hata robo ya mateso hayo, hatufai na ataitumbukiza nchi kwenye giza; maana dhuluma haifaulu hata kidogo.
Nilikuwa nastaajabu kuwa mauaji yote haya yanayoendelea Gaza, rais hata kutoa tamko tu la kulaaani hakufanya......sasa nimepata jawabu.
Kulingana na bandiko la Yericko Nyerere la leo nimegundua vitu vifuatavyo ambavyo naona wengi hawajavipata,kwanza sheria ya Usalama wa Taifa ya mwaka 2023 imemfanya Rais ndio incharge wa TISS directly,imewapa TISS uwezo wa kukagua na kukamata(Jeshi tayari) na imewapa KINGA ya kutoshtakiwa kwa JINAI!!!!!!!!!!!!!!!Ukiona kama sheria imetungwa hivyo ujue ndio baaaasi tena
 
Nimetazama ushahidi wa Boniface Mwangi alioutoa kwenye vyombo vya habari vya Kenya akielezea unyama aliyofanyiwa na Polisi wa Tanzania. Natabiri kwamba kesi hii haitaishia kama wanavyowafanyia Watanzania. Tayari reaction ya Wakenya wengi wasema rais Samia asitie mguu Kenya.

Ninavyowajua Wakenya, hii kesi itakwenda mbali na huenda ikasababisha uhusiano baina ya nchi mbili kuzorota sana. Ni kweli, baadhi ya viongozi wa Kenya yaelekea wamekula njama na wa Tanzania, ili wawape msukosuko wanaharakati wo, ila unyama wa kupindukia waliofanyiwa raia wao hawataweza kukaa kimya, na nguvu ya umma itawafanya wachukue hatua.

Lakini turudie Jamii yetu ya Tanzania: kwa nini Jamii ya Tanzania inakubali unyama wa kishenzi na ukatili wa aina hii? Kutokana na ushahidi wa Mwangi, alinajisiwa, kupigwa nyayo za miguu na magoti, hata kushindwa kutembea. Tena wakati wa kufanyiwa ushetani huo alikuwa analazimishwa amsifu mama Samia!
Kwa wiki alikuwa akijisaidia damu tupu.
Ukisikiliza matamshi ya Wabunge wa Tanzania, nao pia wanaunga mkono unyama huu! Jamii ya Tanzania imeharibiwa kabisa na mfumo wa siasa za unyama na mateso tangu Uhuru; kiasi kwamba hivi sasa ushenzi, dhuluma, unyama, kupiga watu bure....yaonekana ni kawaida.
Rais asemaye 'kifo ni kifo tu' kuelezea kifo cha bw. Ali Kibao aliyeuawa na kumwagiwa tindi kali bila ya kosa linalostahiki hata robo ya mateso hayo, hatufai na ataitumbukiza nchi kwenye giza; maana dhuluma haifaulu hata kidogo.
Nilikuwa nastaajabu kuwa mauaji yote haya yanayoendelea Gaza, rais hata kutoa tamko tu la kulaaani hakufanya......sasa nimepata jawabu.
 
Kama mmeumia na huyo mkenya, hamieni huko muungane mkalilie huko..
Mliwahi kusikia kuwa mwanaharakati wa tz ameenda kufanya huo usenge huko kenya?
WALIFUATA NINI HUKU?
WALIDANGANYWA SANA..
HII NCHI SI SHAMBA LA MAHINDI KUWA KILA NYANI INAWEZA KUVUNA IKAONDOKA..
nimejifunza kitu, uhuru ukizidi useng huongezeka!

Chief, inamaana walichofanya watu wetu ndio hatua ya mwisho kabisa waliyopaswa kuifanya? Ipi ingekuwa athari kama hao Wakenya wangeachwa tu waingie wasikilize kesi na kuondoa zao?

Pale Airport kuna passport Control, pale passport control wangechana tu bio pages na kuwadeport Kwa maelezo passport zinashida nini kingetoke?.
Wangewakamata na kuwadeport baada tu yakutua kwa taarifa tu yakienyeji kuhatarisha amani ya nchi nini kingetokea?

Tunapima kweli matendo yetu kabla yakuyafanya? Watu tunaowatuma hizi kazi wako under control kweli?
 
Kituo kikubwa tajwa cha televisheni Citizen TV Kenya kinachoheshimika, kimetoa habari za kusikitsha sana, kituo hicho cha Citizen TV Kenya kimejitahidi kutotoa kila kitu hewani kutunza utu wa waathirika, ingawa online TV zingine zimetoa ushuhuda mzima na hazikuacha hata tone moja ya kile Boniface Mwangi na Agather Atuhaire walichoeleza ktk press conference ya leo.

02 June 2025
Nairobi, Kenya

Mwangi & Agather Atuhaire detail harrowing ordeal in detention

View: https://m.youtube.com/watch?v=XE3eZIJnVz8
Kenyan activist Boniface Mwangi and his Ugandan counterpart Agather Atuhaire have revealed disturbing details of their detention in Tanzania, claiming they were sexually tortured by operatives they believe were working for the state.The two say they were abducted, held illegally for days in torture chambers, and eventually dumped at the border...

Source : Citizen TV Kenya

02 June 2025
Nairobi, Kenya

Passaris: Justice must be served for Mwangi, Atuhaire​

789b2978-2f0d-4eb4-bcbc-879024f9499d.jpg
Nairobi Woman Representative Esther Passaris /FILE

In a statement on X, Passaris described the incident as a violation of human rights.

"Their unlawful arrest, inhumane treatment, and violent deportation from Tanzania are not just a violation of their rights," she said.

"They are a stain on our region’s collective conscience."
She said she was deeply disturbed by reports of abuse suffered by the two.

77934c8e-9fd1-4fb5-90c8-dcf6fe3dd6b8.jpg
Activists Boniface Mwangi and Agather Atuhaire /ESTHER PASSARIS/X

"As a mother, a legislator, and a defender of human rights, I am deeply disturbed by the accounts of torture, sexual abuse, and humiliation they endured," said Passaris.

"These are not the values that define our continent, our leadership, or our future."

She called on Tanzanian President Samia Suluhu Hassan to take action.
"President Suluhu Samia has broken many glass ceilings, and her leadership has inspired countless women across Africa," she said.

"But no vision for progress can coexist with the abuse of power and the silencing of activists." "I call on her, not just as a Head of State, but as a mother and a champion for change, to ensure that such atrocities are never repeated and that justice is served."

"We pray for healing, strength, and justice for Boniface and Agather," she said.

"May their courage continue to light the way toward a freer, fairer, and more humane Africa."

On June 2, 2025 Boniface Mwangi vowed to press on with his advocacy work, declaring that neither he nor his colleagues will be silenced.

In his first interview since being released from detention in Tanzania, Mwangi recounted the harrowing ordeal at the hands of his abductors and criticised the Kenyan government for abandoning him during the crisis.

"My government let me down. It sided with Suluhu's government and claimed we were interfering with Tanzanian politics," he said.

"We were not, and we did not hide the reasons for our visit." Mwangi asserted that his visit to Tanzania, like many others to countries across Africa, was in solidarity with fellow human rights defenders

"I have been to Tanzania before to visit another political prisoner. I was in Uganda when Bobi Wine was under house arrest. I have done that in many African countries because I am an African and I belong to this continent. Africa is home," he stated.
 
Tapeli huyo, ametoa medical report?
Kuna nyakati nyingine uwe na kipimo cha kujuwa kama kweli mchango wako unafaa au haufai.
Hivi mtu kama wewe, kinachokupa msukumo wa kuwa shabiki mkubwa wa unyama huu ni kitu gani?

Hata kama unalipwa kwa kazi hii, huwezi kutuliza kichwa na kutoa utetezi ambao mtu anaweza kuusoma na kujihoji kama unafaa au haufai?
Wewe ni kubwatuka tu, wala huongezi thamani yoyote katika mijadala yote unayoingia. Wewe ni mtu wa tabia za namna gani wewe?
Kwako Samia na Genge lake hawawezi kufanya makosa hata siku moja? Hiyo dini ni ya namna gani hiyo inayokupofusha macho na moyo kiasi hiki!
 
Inawezekana ni mmoja wa watekaji, watesaji, wauaji na mengine mabaya wanayofanyia watu ndiyo sababu anatuona tunaokemea hayo ni wajinga tu.
 
IBILISI Samia anapaswa kupingwa kwa nguvu zote. Tabia za kufirana za Wazanzibari amezihamishia kwenye serikali yake kama tool ya kudhalilisha wanaompinga. Huyu FEDHULI hapaswi kuendelea kupewa nafasi ya kuonga nchi kwa gharama yoyote
Acha Prejudices Mzee.. wazanzibari walikufira nn.. unaongelea experience
 
Nilisikiliza na kuona hiyo press ya Boni mwangi na Agather, ni ya aibu san kwa nchi na itaibua hasira kali kwa wakenya. Hivi picha ya wakenya kwa Samia itakuwaje siku samia akienda kenya kwa vikao vya jumuia ya Afrika mashariki cku wakikutana kenya. Juzi Rais wao kapigwa kiatu adhalani, demokrasia yao ikoo juu sana. Na mwamba aliyempiga kiatu Ruto yuko ndani anasubili haki yake ya kisheria, angekuwa ni Dar karusha kiatu vile angeuliwa pale pale kwa wenzetu ni tofauti.
 
Inasikitisha sana.

Wanaharakati wakitekwa ni lazima waliwe KIBOGA.

Rejea kwa MO alivalishwa Kanga.

Mkato hataki hata kuzungumzia.

Yule Mchungaji aliyetekwa Arusha naye 100% walimla KIBOGA.

Wanawapiga picha huku wakilawitiwa na wanaambiwa mkiendelea kuisema SIRIKALI tunaachia video na picha watu wazione.

Nduguyangu Roma Mkatoliki alisalimika kweli?
 
Kwa style hii Roma Mkatoliki alinusurika kweli kupakwa mafuta?
 
..wanatisha tu watu kwasababu wakiachia hizo video na wao watakamatwa kirahisi sana.

..Nampongeza huyo Mkenya kwa kuwa na ujasiri wa kueleza unyama aliofanyiwa,na kuwataja wahusika.
Nasikia MAFUEL rafiki yake CANIBAS SATIVA ametajwa ,ni kweli?
 
Back
Top Bottom