Ushahidi wa Boniface Mwangi unadhihirisha Tanzania haifuati utawala wa sheria

Ushahidi wa Boniface Mwangi unadhihirisha Tanzania haifuati utawala wa sheria

Tuna polc waajabu sana wasio na maadili na tuna system isiyofaa hata kidogo ktk uongozi wao
 
Kama mmeumia na huyo mkenya, hamieni huko muungane mkalilie huko..
Mliwahi kusikia kuwa mwanaharakati wa tz ameenda kufanya huo usenge huko kenya?
WALIFUATA NINI HUKU?
WALIDANGANYWA SANA..
HII NCHI SI SHAMBA LA MAHINDI KUWA KILA NYANI INAWEZA KUVUNA IKAONDOKA..
nimejifunza kitu, uhuru ukizidi useng huongezeka!
Polisiccm hawafanyi kazi kwa mujibu wa sheria bali ni kwa Amri haramu toka kwa mwenyekiti wa ccm
 
Next time atarudi na minba
Unaonesha kiwango kikubwa cha ujinga, roho chafu, uuaji, ufedhuli na ushetani!!
Ombea sn isikutokee wewe ama wafamilia Yako maana mambo maovu/mema huenda na kukurudia nahiyo nisheria ya dunia
 
Tuna polc waajabu sana wasio naaadili na system isiyosafo hata kidogo
Mafwele ni mganda na Bashungwa ni mganda na mama iddy Amin dada ni mzanzibar hawana uchungu na watanganyika ndiyo maana tunataka Tanganyika idai uhuru kisha wahamiaji haramu wote wafukuzwe
 
Unaonesha kiwango kikubwa cha ujinga, roho chafu, uuaji, ufedhuli na ushetani!!
Ombea sn isikutokee wewe ama wafamilia Yako maana mambo maovu/mema huenda na kukurudia nahiyo nisheria ya dunia
ccm itakuwa chama cha upinzani kama KANU ya kenya mda si mrefu
 
Tanganyika idai uhuru toka kwa mkoloni kaburu ibirisi toka Zanzibar
 
Polisiccm ndiyo polisi wa hovyo kuliko polisi wote Duniani
 
Washauri wakatili wakiongozwa na waganga ambao wanadai sadaka za ukatili ndio wamefikisha watu hapa.Mganga anasema leteni kichwa cha kijana wa kabla fulani kinapelekwa.Nendeni mkamwingilie mtu wanaenda.Hii ni hatari kwa sisi wale tunaoenda huko au wanaoenda huko kibiashara.Walifanya huo ukatili ili iweje!! Kama sio maagizo na ndio maana ukikemea wanachukia mitutu.
 
Kulingana na bandiko la Yericko Nyerere la leo nimegundua vitu vifuatavyo ambavyo naona wengi hawajavipata,kwanza sheria ya Usalama wa Taifa ya mwaka 2023 imemfanya Rais ndio incharge wa TISS directly,imewapa TISS uwezo wa kukagua na kukamata(Jeshi tayari) na imewapa KINGA ya kutoshtakiwa kwa JINAI!!!!!!!!!!!!!!!Ukiona kama sheria imetungwa hivyo ujue ndio baaaasi tena
Sasa kama nchi tumeweka Sheria ya namna hii basi mwenye kubeba dhamana ya uvunjifu huu wa haki za Binadamu ni sirikali
 
Nimetazama ushahidi wa Boniface Mwangi alioutoa kwenye vyombo vya habari vya Kenya akielezea unyama aliyofanyiwa na Polisi wa Tanzania. Natabiri kwamba kesi hii haitaishia kama wanavyowafanyia Watanzania. Tayari reaction ya Wakenya wengi wasema rais Samia asitie mguu Kenya.

Ninavyowajua Wakenya, hii kesi itakwenda mbali na huenda ikasababisha uhusiano baina ya nchi mbili kuzorota sana. Ni kweli, baadhi ya viongozi wa Kenya yaelekea wamekula njama na wa Tanzania, ili wawape msukosuko wanaharakati wo, ila unyama wa kupindukia waliofanyiwa raia wao hawataweza kukaa kimya, na nguvu ya umma itawafanya wachukue hatua.

Pia soma > Boniface Mwangi na Agatha wakielezea walivyofanyiwa udhalilishaji wa kingono na Polisi wa Tanzania

Lakini turudie Jamii yetu ya Tanzania: kwa nini Jamii ya Tanzania inakubali unyama wa kishenzi na ukatili wa aina hii? Kutokana na ushahidi wa Mwangi, alinajisiwa, kupigwa nyayo za miguu na magoti, hata kushindwa kutembea. Tena wakati wa kufanyiwa ushetani huo alikuwa analazimishwa amsifu mama Samia!
Kwa wiki alikuwa akijisaidia damu tupu.

Ukisikiliza matamshi ya Wabunge wa Tanzania, nao pia wanaunga mkono unyama huu! Jamii ya Tanzania imeharibiwa kabisa na mfumo wa siasa za unyama na mateso tangu Uhuru; kiasi kwamba hivi sasa ushenzi, dhuluma, unyama, kupiga watu bure....yaonekana ni kawaida.

Rais asemaye 'kifo ni kifo tu' kuelezea kifo cha bw. Ali Kibao aliyeuawa na kumwagiwa tindi kali bila ya kosa linalostahiki hata robo ya mateso hayo, hatufai na ataitumbukiza nchi kwenye giza; maana dhuluma haifaulu hata kidogo.

Nilikuwa nastaajabu kuwa mauaji yote haya yanayoendelea Gaza, rais hata kutoa tamko tu la kulaaani hakufanya......sasa nimepata jawabu.
Hii ishu inatakiwa imulikwe zaidi, hii brutality ambayo inafichwa na wahusika wanatetewa inatakiwa kuchukuliwa na ushahid ile nje wajue nini kinaendelea
 
Inasikitisha sana.

Wanaharakati wakitekwa ni lazima waliwe KIBOGA.

Rejea kwa MO alivalishwa Kanga.

Mkato hataki hata kuzungumzia.

Yule Mchungaji aliyetekwa Arusha naye 100% walimla KIBOGA.

Wanawapiga picha huku wakilawitiwa na wanaambiwa mkiendelea kuisema SIRIKALI tunaachia video na picha watu wazione.
ni bora kuisema tu waiachie dunia ipige kelele na imtenge kwa kuinajisi nchi kwa ulawiti. Hivi mtu unaajiriwa kwa kazi ya kulawiti mateka, akili ziko sawa? Unamlawiti mwanaume mwenzako huku ukirekodiwa kwa kuwa upo kwenye kikundi cha utesaji, hayo ni maisha ya namna gani kama si kutumikishwa kwa shughuli za kiovu? Na mwisho wake ni kuuliwa tu ili usije ukatoa siri maishani kuwa mlikuwa mnalawiti mateka
 
Kazi zingine za kuajiriwa ni mbaya sana maishani, utauliwa tu usije ukatoa siri. Kazi kama hii ya kulawiti mateka hawawezi kukuacha uishi muda mrefu baada ya kukutumia kama zana ya kufanyia uhalifu wa kivita kwa mateka
 
ni bora kuisema tu waiachie dunia ipige kelele na imtenge kwa kuinajisi nchi kwa ulawiti. Hivi mtu unaajiriwa kwa kazi ya kulawiti mateka, akili ziko sawa? Unamlawiti mwanaume mwenzako huku ukirekodiwa kwa kuwa upo kwenye kikundi cha utesaji, hayo ni maisha ya namna gani kama si kutumikishwa kwa shughuli za kiovu? Na mwisho wake ni kuuliwa tu ili usije ukatoa siri maishani kuwa mlikuwa mnalawiti mateka

Yes hao wanaofanya kazi ya ulawiti lazima MAFUEL mwishoni awadedishe wasije wakatoa siri mbeleni maana kwa mujibu wa waliolawitiwa wale majaa niyo maaskari maana kimuonekano ni kama masela MAVI.
 
jinai hazishughulikiwi mitandaoni kama anayo haki kisheria aje afungue shauri hapa nchini jeshi la polisi lifanyie kazi, mtu yuko kenya uganda marekani ufaransa tuvalu alalamikie vyombo vya usalama itakuwa ngumu kushughulika nalo, ni kama inavyotuwia vigumu kushughulika na wakenya wanaomtusi raisi wetu ni hivyo pia inakuwa ngumu kushughulika na madai ya mitandaoni, ili shauri lishughulikiwe lazima pawe na mlalamikaji
 
Back
Top Bottom