Kichaa anachekesha kama hatoki kwenuTapeli huyo, ametoa medical report?
Eti wahuni wamemla tigo, dah sio poa?
Kalaghabaho! Wote wawili wameeleza kinagaubaga yale ambayo wa kwetu hawakuwa na ujasiri wa kueleza na ushahidi wamedai wanao.Tapeli huyo, ametoa medical report?
huyo si mtu wa drama inafahamika gentleman 🐒Nimetazama ushahidi wa Boniface Mwangi alioutoa kwenye vyombo vya habari vya Kenya akielezea unyama aliyofanyiwa na Polisi wa Tanzania. Natabiri kwamba kesi hii haitaishia kama wanavyowafanyia Watanzania. Tayari reaction ya Wakenya wengi wasema rais Samia asitie mguu Kenya.
Ninavyowajua Wakenya, hii kesi itakwenda mbali na huenda ikasababisha uhusiano baina ya nchi mbili kuzorota sana. Ni kweli, baadhi ya viongozi wa Kenya yaelekea wamekula njama na wa Tanzania, ili wawape msukosuko wanaharakati wo, ila unyama wa kupindukia waliofanyiwa raia wao hawataweza kukaa kimya, na nguvu ya umma itawafanya wachukue hatua.
Lakini turudie Jamii yetu ya Tanzania: kwa nini Jamii ya Tanzania inakubali unyama wa kishenzi na ukatili wa aina hii? Kutokana na ushahidi wa Mwangi, alinajisiwa, kupigwa nyayo za miguu na magoti, hata kushindwa kutembea. Tena wakati wa kufanyiwa ushetani huo alikuwa analazimishwa amsifu mama Samia!
Kwa wiki alikuwa akijisaidia damu tupu.
Ukisikiliza matamshi ya Wabunge wa Tanzania, nao pia wanaunga mkono unyama huu! Jamii ya Tanzania imeharibiwa kabisa na mfumo wa siasa za unyama na mateso tangu Uhuru; kiasi kwamba hivi sasa ushenzi, dhuluma, unyama, kupiga watu bure....yaonekana ni kawaida.
Rais asemaye 'kifo ni kifo tu' kuelezea kifo cha bw. Ali Kibao aliyeuawa na kumwagiwa tindi kali bila ya kosa linalostahiki hata robo ya mateso hayo, hatufai na ataitumbukiza nchi kwenye giza; maana dhuluma haifaulu hata kidogo.
Nilikuwa nastaajabu kuwa mauaji yote haya yanayoendelea Gaza, rais hata kutoa tamko tu la kulaaani hakufanya......sasa nimepata jawabu.
Huyu kiongozi wa WAFIRAJI Samia amevuka mipaka, hakuna anachohofia kwasasa. Amefanya uovu mkuu zaidi ya ule wa SODOMA & GOMORA, hakika Mungu atamuangamiza na kufutilia mbali utawala wake wa KIFEDHULI.Nimetazama ushahidi wa Boniface Mwangi alioutoa kwenye vyombo vya habari vya Kenya akielezea unyama aliyofanyiwa na Polisi wa Tanzania. Natabiri kwamba kesi hii haitaishia kama wanavyowafanyia Watanzania. Tayari reaction ya Wakenya wengi wasema rais Samia asitie mguu Kenya.
Ninavyowajua Wakenya, hii kesi itakwenda mbali na huenda ikasababisha uhusiano baina ya nchi mbili kuzorota sana. Ni kweli, baadhi ya viongozi wa Kenya yaelekea wamekula njama na wa Tanzania, ili wawape msukosuko wanaharakati wo, ila unyama wa kupindukia waliofanyiwa raia wao hawataweza kukaa kimya, na nguvu ya umma itawafanya wachukue hatua.
Lakini turudie Jamii yetu ya Tanzania: kwa nini Jamii ya Tanzania inakubali unyama wa kishenzi na ukatili wa aina hii? Kutokana na ushahidi wa Mwangi, alinajisiwa, kupigwa nyayo za miguu na magoti, hata kushindwa kutembea. Tena wakati wa kufanyiwa ushetani huo alikuwa analazimishwa amsifu mama Samia!
Kwa wiki alikuwa akijisaidia damu tupu.
Ukisikiliza matamshi ya Wabunge wa Tanzania, nao pia wanaunga mkono unyama huu! Jamii ya Tanzania imeharibiwa kabisa na mfumo wa siasa za unyama na mateso tangu Uhuru; kiasi kwamba hivi sasa ushenzi, dhuluma, unyama, kupiga watu bure....yaonekana ni kawaida.
Rais asemaye 'kifo ni kifo tu' kuelezea kifo cha bw. Ali Kibao aliyeuawa na kumwagiwa tindi kali bila ya kosa linalostahiki hata robo ya mateso hayo, hatufai na ataitumbukiza nchi kwenye giza; maana dhuluma haifaulu hata kidogo.
Nilikuwa nastaajabu kuwa mauaji yote haya yanayoendelea Gaza, rais hata kutoa tamko tu la kulaaani hakufanya......sasa nimepata jawabu.
Halafu wewe ng'ombe unajiona mjanja sana kuwasababishia watu BAN kupitia huu upuuzi wako.Tapeli huyo, ametoa medical report?
Inasikitisha sana.Nimetazama ushahidi wa Boniface Mwangi alioutoa kwenye vyombo vya habari vya Kenya akielezea unyama aliyofanyiwa na Polisi wa Tanzania. Natabiri kwamba kesi hii haitaishia kama wanavyowafanyia Watanzania. Tayari reaction ya Wakenya wengi wasema rais Samia asitie mguu Kenya.
Ninavyowajua Wakenya, hii kesi itakwenda mbali na huenda ikasababisha uhusiano baina ya nchi mbili kuzorota sana. Ni kweli, baadhi ya viongozi wa Kenya yaelekea wamekula njama na wa Tanzania, ili wawape msukosuko wanaharakati wo, ila unyama wa kupindukia waliofanyiwa raia wao hawataweza kukaa kimya, na nguvu ya umma itawafanya wachukue hatua.
Lakini turudie Jamii yetu ya Tanzania: kwa nini Jamii ya Tanzania inakubali unyama wa kishenzi na ukatili wa aina hii? Kutokana na ushahidi wa Mwangi, alinajisiwa, kupigwa nyayo za miguu na magoti, hata kushindwa kutembea. Tena wakati wa kufanyiwa ushetani huo alikuwa analazimishwa amsifu mama Samia!
Kwa wiki alikuwa akijisaidia damu tupu.
Ukisikiliza matamshi ya Wabunge wa Tanzania, nao pia wanaunga mkono unyama huu! Jamii ya Tanzania imeharibiwa kabisa na mfumo wa siasa za unyama na mateso tangu Uhuru; kiasi kwamba hivi sasa ushenzi, dhuluma, unyama, kupiga watu bure....yaonekana ni kawaida.
Rais asemaye 'kifo ni kifo tu' kuelezea kifo cha bw. Ali Kibao aliyeuawa na kumwagiwa tindi kali bila ya kosa linalostahiki hata robo ya mateso hayo, hatufai na ataitumbukiza nchi kwenye giza; maana dhuluma haifaulu hata kidogo.
Nilikuwa nastaajabu kuwa mauaji yote haya yanayoendelea Gaza, rais hata kutoa tamko tu la kulaaani hakufanya......sasa nimepata jawabu.
Nimetazama ushahidi wa Boniface Mwangi alioutoa kwenye vyombo vya habari vya Kenya akielezea unyama aliyofanyiwa na Polisi wa Tanzania. Natabiri kwamba kesi hii haitaishia kama wanavyowafanyia Watanzania. Tayari reaction ya Wakenya wengi wasema rais Samia asitie mguu Kenya.
Ninavyowajua Wakenya, hii kesi itakwenda mbali na huenda ikasababisha uhusiano baina ya nchi mbili kuzorota sana. Ni kweli, baadhi ya viongozi wa Kenya yaelekea wamekula njama na wa Tanzania, ili wawape msukosuko wanaharakati wo, ila unyama wa kupindukia waliofanyiwa raia wao hawataweza kukaa kimya, na nguvu ya umma itawafanya wachukue hatua.
Lakini turudie Jamii yetu ya Tanzania: kwa nini Jamii ya Tanzania inakubali unyama wa kishenzi na ukatili wa aina hii? Kutokana na ushahidi wa Mwangi, alinajisiwa, kupigwa nyayo za miguu na magoti, hata kushindwa kutembea. Tena wakati wa kufanyiwa ushetani huo alikuwa analazimishwa amsifu mama Samia!
Kwa wiki alikuwa akijisaidia damu tupu.
Ukisikiliza matamshi ya Wabunge wa Tanzania, nao pia wanaunga mkono unyama huu! Jamii ya Tanzania imeharibiwa kabisa na mfumo wa siasa za unyama na mateso tangu Uhuru; kiasi kwamba hivi sasa ushenzi, dhuluma, unyama, kupiga watu bure....yaonekana ni kawaida.
Rais asemaye 'kifo ni kifo tu' kuelezea kifo cha bw. Ali Kibao aliyeuawa na kumwagiwa tindi kali bila ya kosa linalostahiki hata robo ya mateso hayo, hatufai na ataitumbukiza nchi kwenye giza; maana dhuluma haifaulu hata kidogo.
Nilikuwa nastaajabu kuwa mauaji yote haya yanayoendelea Gaza, rais hata kutoa tamko tu la kulaaani hakufanya......sasa nimepata jawabu.
Inasikitisha sana.
Wanaharakati wakitekwa ni lazima waliwe KIBOGA.
Rejea kwa MO alivalishwa Kanga.
Mkato hataki hata kuzungumzia.
Yule Mchungaji aliyetekwa Arusha naye 100% walimla KIBOGA.
Wanawapiga picha huku wakilawitiwa na wanaambiwa mkiendelea kuisema SIRIKALI tunaachia video na picha watu wazione.
IBILISI Samia anapaswa kupingwa kwa nguvu zote. Tabia za kufirana za Wazanzibari amezihamishia kwenye serikali yake kama tool ya kudhalilisha wanaompinga. Huyu FEDHULI hapaswi kuendelea kupewa nafasi ya kuonga nchi kwa gharama yoyote ile.Naunga mkono vikatuni vya gen z wa kenya waendelee kumvua nguo , hadi ajidharau