Ushahidi wa Boniface Mwangi unadhihirisha Tanzania haifuati utawala wa sheria

Huyo mgeni hakuwa na shida kaja kama Mpenzi mtizamaji tu hana silaha yeyote lakini Polisiccm ambao wengi ni division zero hawafanyi kazi kwa mujibu wa sheria bali kwa mujibu Amri haramu za kishetani toka kwa Bishungwa, IGP, makala na chawaccm wake
 
Upumbavu wa Polisiccm kumfurahisha Ibirisi mama umetia Doa Taifa, Hasara waliyokula kwa uonevu wao ni kubwa sana, kwanza wakenya wamedukua mitandao yao wamewaiibia mabilion wakawavua nguo na kuwaacha Uchi ni Aibu kubwa, na kama siyo Polisiccm kufanya matendo haramu ya kishetani wasingekuwa wamefanyiwa hayo yote na kulitia hasara na Aibu Taifa
 
Kwani wewe ulimkamata kwa kosa gani? Kuja kusikiliza kesi zenu za magumashi ni kosa? Mmejipendekeza kwa ibirisi mama kumtesa lakini mmepata hasara kubwa kwa kudukuliwa kuibiwa pesa, Polisiccm ni wa hovyo sana
Ulikuwepo wakati anafanyiwa hivyo?,jibu swali
 
Mtesi mafwele siyo Raia wa Tanzania ni mganda sijui kawezaje kuwa na vyeo mpaka leo ibirisi mashetani wa ccm hawajamshitukia
 
Tapeli huyo, ametoa medical report?
Kama jambo hujafuatilia au hujui undani nyamaza unajitia aibu.
Boniface ktk taarifa ile ameshatoa maelezo kuhusu medical report. Report imeshasambazwa mitandaoni na vyombo vya habari.
Mimi kuhusu hili nawalaumu sana waliomshauri Mh.Samia atoe tamko kuhusu wanaharakati waliotoka nje ya nchi.
Sababu hii imemu-implicate moja kwa moja na tukio hili dhidi ya hawa wageni.
Angekaa kimya kwa muda zaidi kidogo angekwepa mtego huu.
Disclaimer: Siungi mkono utekaji na ulaani vibaya.
 
Na alaaniwe
Tanganyika idai uhuru toka kwa mkoloni kaburu mzanzibar kwanza maana huyo ibirisi atawaliza watanganyika kwa kafara kupitia utekaji wa Polisiccm ya mafwele ambaye siyo Raia wa Tanzania alijipenyeza polisi kienyeji pasipo kujulikana
 
Huko ccm na Polisiccm mashetani wamegundua mama ni ibirisi mkubwa na anaupenda Udikiteta mno, wanachofanya sasa ni kumchochea anafanya maamuzi ya hovyo, kisha wanaomba bilion 16 kazi maalum kutuliza joto la siasa kuidhoofisha chadema, ni wizi mpya kwa kivuli cha chadema, wezi wote wanamtumia mama kupiga pesa pasipo mama kujijua
 
Bishungwa, mafwele, IGP na chawaccm, ndani ya hizi week Lisu yupo jela na uonevu kwa binti wa Uganda na kenya, wameiba pesa nyingi kwa kisingizio cha kutuliza joto la kisiasa, wizi mpya kupitia kuwatesa kuwateka kuwaua watu, Uonevu ni madili kwa chawaccm
 
Hasara iliyosababishwa na ushamba wa Polisiccm ni kubwa sana, kwani wakenya wamemtukana matusi makubwa ibirisi mama, wamedukua mitandao ya Serikali wameiba pesa nyingi sana ni Aibu kubwa, vyote hivyo vimesababishwa na upumbavu wa Polisiccm kwenda kuwakamata kuwapiga kuwalawiti wageni ambao ni wapenzi watizamaji hawana silaha, huko kujipendekeza kwa kishamba shamba kumeigharimu Taifa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…