Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari sana nchi ipo kwenye mapito mazito wakati wanasiasa nchi nyingine wanatoa hoja na kutangaza sera huko bongo land wanabishana nani alishika chupa ya damu wakati wahusika wapo utoto utoto aina hii nchi lazima ipige mark time na kuzalisha majizi na walevi kwa wingi!
Hatari sana upinzani nao unajikuta unaangukia kwenye hoja dhaifu na nyepesi nyepesi!..tatizo ni ukilaza wa Maza Abduli.
..viongozi wana influence kubwa sana kwa wanaowaongoza.
..hizi siasa zinazoendelea ni reflection ya uwezo wa kiongozi wetu.
..Maza Abduli anatumia watu wa hovyo kumfanyia propaganda.
..Mbowe huyu hapa akieleza kilichotokea wakati wa kumsafirisha Lissu kwenda Nairobi kwa matibabu.
View: https://www.youtube.com/watch?v=fyDrDx9HHAQ
Hatari sana upinzani nao unajikuta unaangukia kwenye hoja dhaifu na nyepesi nyepesi!
Tundu Lissu ni Kiongozi..tatizo ni ukilaza wa Maza Abduli.
..viongozi wana influence kubwa sana kwa wanaowaongoza.
..hizi siasa zinazoendelea ni reflection ya uwezo wa kiongozi wetu.
Hivi ukimsaidia mtu ni lazima ujitokeze hadharani kujinasibu?
Basi hata kanisani wawe wanasema wametoa sadaka kiasi gani
🤣🤣🤣🤣Hatari sana nchi ipo kwenye mapito mazito wakati wanasiasa nchi nyingine wanatoa hoja na kutangaza sera huko bongo land wanabishana nani alishika chupa ya damu wakati wahusika wapo utoto utoto aina hii nchi lazima ipige mark time na kuzalisha majizi na walevi kwa wingi!
..Maza Abduli anatumia watu wa hovyo kumfanyia propaganda.
..Mbowe huyu hapa akieleza kilichotokea wakati wa kumsafirisha Lissu kwenda Nairobi kwa matibabu.
View: https://www.youtube.com/watch?v=fyDrDx9HHAQ
Tundu Lissu ni Kiongozi
Freeman Mbowe ni Kiongozi-Baba James
Mchungaji Msigwa, vilevile ni kiongozi
Na ukweli ni kwamba hao juu ni Viongozi wa CHADEMA, maneno na matamshi yao.
Na kwa maana hiyo haya tunayoyasikia na kuyaona, pia ni "reflection" ya Uongozi wao.
mkuu hukuwa na haja ya kuweka hii, hawa Wajinga tulipanga wakusanyike wote na nyuzi zao za kulipwa ili tuwamalize kwa mkupuo
Na wewe una respond kwa kumwita Mkuu wa Nchi Kilaza!..Chadema wana-respond kwa propaganda za chawa wa Mama Abdul.
Lisu na Msigwa wanataka kuvuruga Chadema kuwashauri tu hawawezi Msigwa na Lisu kwanza makabila yao hayako nchi Nzima kama Wachaga walioko Chadema walioko mijini na vijijini nchi NzimaTundu Lissu ni Kiongozi
Freeman Mbowe ni Kiongozi-Baba James
Mchungaji Msigwa, vilevile ni kiongozi
Na ukweli ni kwamba hao juu ni Viongozi wa CHADEMA, maneno na matamshi yao.
Na kwa maana hiyo haya tunayoyasikia na kuyaona, pia ni "reflection" ya Uongozi wao.
Na wewe una respond kwa kumwita Mkuu wa Nchi Kilaza!
CHADEMA mtafika kweli.
Hebu nitajie ni nyuzi ngapi zimeanzishwa na nyie wafuasi, wanachama na machawa wa CHADEMA kuhusu sera zenu?
CHADEMA itafanya nini au ina sera gani za Kilimo?
Je, kuna uzi hata mmoja unaotueleza sisi Wananchi mtakuja kufanya nini...swali hili ni endelevu.
CHADEMA itafanya nini au ina sera gani za Uchumi?
Kutwa, Mama Abdul, Kutwa Makonda, Kutwa Magufuli(R.I.P)
Hivi hamna sera Wananchi wawasikilize. Sasa usije kuniambia Katiba mpya ni Sera.
Thanks
Kama zipi hizo?..sera za Cdm zipo na wakati mwingine Ccm huwa mnazikosoa.
Sawa, hiyo ilikuwa 2020. Tuko 2024 miezi michache kabla ya chaguzi...mna sera moja tu ya Afya. Mtafika kweli? Muda utaongea..kwa mfano, wakati wa kampeni za 2020 mgombea wa Cdm aliahidi bima ya afya kwa wote, na kulikuwa na mjadala mkubwa sana kuhusu hoja hiyo.
JK, kwa hiyo unatueleza kwamba CHADEMA itakuja kuuza sera zake baada ya Uchaguzi?..kwa sasa hivi kampeni za uchaguzi hazijaanza hivyo hakuna ILANI ya kuizungumzia.