SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Hivi hakuna sheria za kubadilisha Kabila? Sheria za kubadilisha Majina, zipo za kubadilisha Nchi(uraia) zipo...ila hakuna za Kubafilisha Kabila.Lisu na Msigwa wanataka kuvuruga Chadema kuwashauri tu hawawezi Msigwa na Lisu kwanza makabila yao hayako nchi Nzima kama Wachaga walioko Chadema walioko mijini na vijijini nchi Nzima
Anywho, ni hatari sana kama mvurugano ndani ya CHADEMA ni wa Kikabila
...hata na Dini🙌🏾Pili Chadema wamejaa walutheri kidini Cha Msigwa Tanzania ni kidogo mno na hakijulikani Kwa wanachama Wengi wa Chadema
...sio dini tu, hata madhehebu yao😭😅Lisu Mkatoliki Wakatoliki Wengi CCM wakati Chadema asilimia kubwa Walutheri dini ya Mbowe
God bless Lema kidini chake Cha kidogo sio rahiai kupindua Mlutheri Mbowe
Hawana uwezi huo hata wafurukute vipi
CHADEMA imatisha sana mkuu.