Pre GE2025 Ushahidi wa Mzee Mbowe akisema Msigwa ndiye aliyeshika chupa ya damu wakati wa kumsafirisha Lissu Nairobi huu hapa

Pre GE2025 Ushahidi wa Mzee Mbowe akisema Msigwa ndiye aliyeshika chupa ya damu wakati wa kumsafirisha Lissu Nairobi huu hapa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwani Kanisani hawasemi wanapochangia .... mbona Majuzi tulisikia Mama ADUL kachangia 150 Million kwenye Kanisa la Mbowe ...!!
Kama vile panya anauma na kupuliza. Baada ya kuzitafuna kodi zetu kwa mabilioni kiasi kidogo kinatolewa kama msaada, eti kuchangia Kanisa la Mbowe!

Likiongozi linatafuna matrilioni halafu linatoa tumilioni kama msaada huku vilaza vikipiga vigelegele. Si afadhali hata hako kapanya kanakouma padogo tu.
 
Tundu Lissu ni Kiongozi

Freeman Mbowe ni Kiongozi-Baba James

Mchungaji Msigwa, vilevile ni kiongozi

Na ukweli ni kwamba hao juu ni Viongozi wa CHADEMA, maneno na matamshi yao.

Na kwa maana hiyo haya tunayoyasikia na kuyaona, pia ni "reflection" ya Uongozi wao.
UNLESS you understand your role in society, you can never make any meaningful contribution.

According to the Greeks there are three types of people on earth,
  • the idiots ,
  • the tribesmen , and
  • the citizens .

Studies show only 10% of Africans are citizens.

The remaining 90% are either tribesmen or idiots .

1. WHEN the Greeks used the word idiot, they did not use it as a curse word.

Idiots are people who just don’t care.
If they write exams, they will cheat.

If they are in government they will steal.

An idiot does not care at all, if he eats bananas he throws the peels anywhere instead of putting them in a trash bin.

IDIOTS won't attend monthly neighborhood meetings. They won't pay security dues.

They won't contribute to community development.

Even when they see or know about something that will harm others in the community they won't report it . When they see/know/have something that will benefit their community they won't share. Infact, Idiots don't care to register for or vote in an election yet they complain the most. If they register to vote, IDIOTS will sell their votes for peanuts.

According to the Greeks, some societies have more idiots than tribesmen and citizens .

2. The next set of people are tribesmen , these are people that look at everything from the point of view of their tribe.

These are people that believe in you only if you are part of their tribe.

It can be terrible to have a tribesman as a leader, he will alienate the rest.

When the Greeks talk about tribes, it’s not just about ethnicity, they also consider religion, gang membership, group membership, party membership and even cult membership as a tribe.

A great percentage of Africans are tribesmen , because they view everything from the point of view of their tribes.
They trust only their tribesmen .

3. The last group are citizens.
These are people that like to do things the right way.

They will respect traffic light rules even if no one is watching them.

They drive within speed limits.

They respect the laws, won’t cheat in examinations.
In government they won’t steal.

They are compassionate and give to others to promote their wellbeing.

Citizens often promote projects that benefit everyone.

The Greeks called this group the citizens .

Some countries have more citizens than tribesmen and idiots .
Others have so many idiots .

A tribesman can become a citizen through orientation.
And an idiot can become a citizen by training and constant enforcement of the law.

But things fall apart if you elect an idiot or tribesman to lead you if he has not been reformed.

WHERE DO YOU BELONG AS AN INDIVIDUAL?

THERE ARE MANY IDIOTS AND TRIBESMEN, VERY FEW CITIZENS IN OUR POLITICAL ARENA.

Individual Assessment!
 
Lisu na Msigwa wanataka kuvuruga Chadema kuwashauri tu hawawezi Msigwa na Lisu kwanza makabila yao hayako nchi Nzima kama Wachaga walioko Chadema walioko mijini na vijijini nchi Nzima

Pili Chadema wamejaa walutheri kidini Cha Msigwa Tanzania ni kidogo mno na hakijulikani Kwa wanachama Wengi wa Chadema

Lisu Mkatoliki Wakatoliki Wengi CCM wakati Chadema asilimia kubwa Walutheri dini ya Mbowe

God bless Lema kidini chake Cha kidogo sio rahiai kupindua Mlutheri Mbowe

Hawana uwezi huo hata wafurukute vipi
Upuuzi mtupu
 
I hope and pray that am wrong! weka uzi na bandiko hili vizuri
Erythrocyte !

Je nilichosema hakijatokea?
Kuna tatizo na nimelesema muda mrefu sana. Uongozi wa CDM unatakiwa ubadilishwe
Mbowe anatambua madhara ya chaguzi lakini alikubali kukaa kimya! madhara yake yanaanza kuonekana

Kwa maana moja, amewapa 'microphone' hata wasio na sababu!
 
Back
Top Bottom