Hapo vip!!
Kwa hizi tuhima zinazomkabili mkuu wa mkoa wa mwanza kwa serikali sikivu sio za kuvumilika,apaswa ichukue hatua dhidi yake.
Ni aibu kwa kiongozi anayemuwakilisha rais kufanya vitendo vya kihuni na vya kitoto kama zile anazotuhumiwa nazo na club ya Simba.
Ameikosea sana uongozi wa mama Samia wakati tunaelekea kwenye mbio za uchaguzi,tukumbuke club ya Simba inawashabiki wangi sana Tanzania,Afrika mashariki na kati,inawashabiki zaidi ya millioni 40 ndani ya nchi hii,na hizi ni takwimu za nyuma sana.
Juzi mtandao wa The Africa facts zone imetoa takwimu yakwamba Simba ni club namba tatu Afrika kwa kuwa na mashabiki wengi.
Tukumbuke hawa mashabiki ndio wananchi wapiga kura,na ushabiki wa mpira ni kama imani ya dini.
Hivyo unapoifanyia club ya Simba vutendo vya chuki na kibaguzi kumbuka uwafanyie wale wachezaji tu ila ni mamilioni ya wahabiki walionyuma a club yao