Gordian Anduru
JF-Expert Member
- Apr 16, 2021
- 369
- 747
mwanajamvi jionee mwenyewe haya mambo yalikotokea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuhudhuria hizo sherehe kunahusiana vipi na Kuingilia soka?
Dadavua kwa kina ...!!
Hapa usikute hata alianza kutoa maelekezo kama kochaView attachment 3158718
Sherehe Gani hii
Dah! BASHITE bhana!!mwanajamvi jionee mwenyewe haya mambo yalikotokea
View attachment 3158705
Hakika aliewaita utopwinyo aliwaza mbali sanaMakonda Ali muumiza Sana Manji mpaka aka kimbia Nchi na Yanga ikapitia Magumu sana.
Sasa Mungu ameleta Kheri pale Yanga, Nina uhakika Simba wata toa Kila aina ya mlio kufidia ushenzi alio fanya Makonda dhidi ya Yanga akiwa Mkuu wa mkoa na Mshauri wa MO Dewji.