USHAHIDI WA PICHA: Wakuu wa Mikoa kuingilia soka Tanzania

USHAHIDI WA PICHA: Wakuu wa Mikoa kuingilia soka Tanzania

Gordian Anduru

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2021
Posts
369
Reaction score
747
mwanajamvi jionee mwenyewe haya mambo yalikotokea
IMG_20241122_132625.jpg
 
Makonda Ali muumiza Sana Manji mpaka aka kimbia Nchi na Yanga ikapitia Magumu sana.

Sasa Mungu ameleta Kheri pale Yanga, Nina uhakika Simba wata toa Kila aina ya mlio kufidia ushenzi alio fanya Makonda dhidi ya Yanga akiwa Mkuu wa mkoa na Mshauri wa MO Dewji.
 
Hapo vip!!

Kwa hizi tuhima zinazomkabili mkuu wa mkoa wa mwanza kwa serikali sikivu sio za kuvumilika,apaswa ichukue hatua dhidi yake.

Ni aibu kwa kiongozi anayemuwakilisha rais kufanya vitendo vya kihuni na vya kitoto kama zile anazotuhumiwa nazo na club ya Simba.

Ameikosea sana uongozi wa mama Samia wakati tunaelekea kwenye mbio za uchaguzi,tukumbuke club ya Simba inawashabiki wangi sana Tanzania,Afrika mashariki na kati,inawashabiki zaidi ya millioni 40 ndani ya nchi hii,na hizi ni takwimu za nyuma sana.

Juzi mtandao wa The Africa facts zone imetoa takwimu yakwamba Simba ni club namba tatu Afrika kwa kuwa na mashabiki wengi.

Tukumbuke hawa mashabiki ndio wananchi wapiga kura,na ushabiki wa mpira ni kama imani ya dini.

Hivyo unapoifanyia club ya Simba vutendo vya chuki na kibaguzi kumbuka uwafanyie wale wachezaji tu ila ni mamilioni ya wahabiki walionyuma a club yao
 
Makonda Ali muumiza Sana Manji mpaka aka kimbia Nchi na Yanga ikapitia Magumu sana.

Sasa Mungu ameleta Kheri pale Yanga, Nina uhakika Simba wata toa Kila aina ya mlio kufidia ushenzi alio fanya Makonda dhidi ya Yanga akiwa Mkuu wa mkoa na Mshauri wa MO Dewji.
Hakika aliewaita utopwinyo aliwaza mbali sana
 
Mazuzu...utopolo ya Bemba..mwenye clip ya makonda akisema lolote kwny mechi za Simba kuhusu timu pinzani atupitie...
Mwaka huu mtakua vichaa
 
Back
Top Bottom