Kutokana na malalamiko mengi leo pale kanisani, nimelazimika kutoa ushahidi wa talaka 3 nilizompa mtajwa hapo juu.
Ndoa yangu na Lady doctor ni Jumamosi ijayo imeahirishwa kama uchaguzi wa madiwani wa Arusha.
Talaka
[h=3]TALAKA 3 kwa Mamndenyi.[/h] mimisa, Kaizer, Mamndenyi et al angalieni na mjue ilikuwa tarehe ngapi mwezi gani na mwaka gani.
NITARUDI KWA USHAHIDI WA MADAME B.
Arushaone nimeona kitu kimpoja tu kwamba kama tulivyotabiri, leo hakuna ndoa kati yako na Lady doctor......
na makucha yakepamekucha...!
Yaani uwape woote mpenzi, ili wapunguze kelele tena tatu haziwatoshi, waandikie hata 50 50
umeona eeh Arabela....leo siye tuendelee na yetu...hujambo lakini?
me mzima hofu kwako Kaizer... Nimemmiss Mzee wa Rula