Licha mm nlikulia stereo lkn mitaa hiyo naijua sana, ufipa,sekenke,wibu zamani ilikuwa balaaWatoto wa ufipa wengi wameharibikiwa tulio tuliza vichwa ni wachache maana ule mtaa kwa kipindi hiko hakukuwa wanaishi watu wa kawaida baada nyumba hukosi wadangaji au muuza ngada tapeli jambazi au mateja ndio mtaa South Africa ya bongo kuja hadi mtaa wa Togo kuelekea stendi ya magari ya mwananyamala posta stesheni mitaa hatari sana kwa malezi ya watoto
Licha mm nlikulia stereo lkn mitaa hiyo naijua sana, ufipa,sekenke,wibu zamani ilikuwa balaa
Unga ulikuwa unauzwa utafikiri watu wana leseni nayo naona baada nyumba kuuzwa kuja wageni hali hiyo ikapungua
Ova
Licha mm nlikulia stereo lkn mitaa hiyo naijua sana, ufipa,sekenke,wibu zamani ilikuwa balaa
Unga ulikuwa unauzwa utafikiri watu wana leseni nayo naona baada nyumba kuuzwa kuja wageni hali hiyo ikapungua
Ova
Jamuhuri ni nchi yenye mamlaka na na serikali ni chombo cha kuiongoza iyo jamuhuri ivyo serikali ndo chombo kinachoilinda katiba ya jamuhuri nadhani umenielewa jamuhuri ni ni kichwa serikali ni macho katika kichwaNini tofauti kati Jamhuri na Serikali?
Huyu dogo maemba ana usela wa kuigaKweli mkuu huja kosea sasa hv kidogo kuna mabadiliko ila kwa miaka ya tisini hadi elfu mbili na kitu mitaaa hiyo na ambayo mm nimeitaja haikuwa salama kwa malezi ya watoto maana mm mwenyewe ndio mitaa niliyo kulia na washkaji ambao nimekuwa nao kwa hivi sasa hawana dira yeyote ya maisha wengi wamekuwa mateja kwa kuendekeza usela wa kifala sasa kama maemba alikuwa mtoto wa mama fulani tena boya leo hii eti anajidai kumkazia harmorapa
Huyu dogo maemba ana usela wa kuiga
Ule umarekani zile movie za kiniga zinawachanganya
Yah kweli ufipa sahvi imetia,miaka ya 90 na kitu mpk 2000 hali ilikuwa mbaya
Kuna sehemu ufipa mkunguni pale sijui bado kupo,ilikuwa wanaja mateja kama 200 hivi wako asubuhi mpk usiku kuna watu walikuwa wanawauzia,purukushani na polisi kila mara
Ilibidi kitengo wapige kambi pale mwez mzima ili kuua ile kijiwe
Ova
Kweli Mkuu Karibu a na nyumba ya mheshimiwa chenge daah kitambo sana maeneo hayo alikuwa kapanga dada mmoja Alizaa na Ali choki
Kasome tena uraia darasa la sabaJamuhuri ni nchi yenye mamlaka na na serikali ni chombo cha kuiongoza iyo jamuhuri ivyo serikali ndo chombo kinachoilinda katiba ya jamuhuri nadhani umenielewa jamuhuri ni ni kichwa serikali ni macho katika kichwa
Ule mtaa ulikuwa soo kwa mgeni ilikuwa lazima aogope kupitaKweli Mkuu Karibu a na nyumba ya mheshimiwa chenge daah kitambo sana maeneo hayo alikuwa kapanga dada mmoja Alizaa na Ali choki
Namkubal sana chocho kwa chocho anazijua aiseeMrangi Ni born town mtoto wa mjini .
Watu wa.chato mtulie[emoji1787]
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Asante tunashukuruWatoto wa kinondon ni wachumba tu
Watoto wa kinondon ni wachumba tu
Ule mtaa ulikuwa soo kwa mgeni ilikuwa lazima aogope kupita
Sahvi umetulia aise,hata pale American chips
Zamani duka la maimartha palikuwa soo
Kuna mtu anakuambia anakwenda ofisi anaingia adubuhi,mchana,jioni [emoji23][emoji23]
Anawabana
Ova