mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Licha mm nlikulia stereo lkn mitaa hiyo naijua sana, ufipa,sekenke,wibu zamani ilikuwa balaaWatoto wa ufipa wengi wameharibikiwa tulio tuliza vichwa ni wachache maana ule mtaa kwa kipindi hiko hakukuwa wanaishi watu wa kawaida baada nyumba hukosi wadangaji au muuza ngada tapeli jambazi au mateja ndio mtaa South Africa ya bongo kuja hadi mtaa wa Togo kuelekea stendi ya magari ya mwananyamala posta stesheni mitaa hatari sana kwa malezi ya watoto
Unga ulikuwa unauzwa utafikiri watu wana leseni nayo naona baada nyumba kuuzwa kuja wageni hali hiyo ikapungua
Ova