Volodimiri Zelensiki
JF-Expert Member
- Jan 3, 2015
- 1,154
- 3,417
Tena shipa legelege lililolala dolooo la kikizimkaziMpaka mshipa wakitaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena shipa legelege lililolala dolooo la kikizimkaziMpaka mshipa wakitaka
Kufika nyumbani kwa mtu au kuonekana mnazungumza hakuthibitishi rushwa.Huenda camera zilimnasa unajuaje?
Ila Lissu kiboko, pamoja na kuchangiwa ml 5 pale furahisha lakini Bado hanyamazi.Kisharekodiwa kuanzia unyayo hadi unywele
Salaam, Shalom!!
TUNDU Antipas Lissu amekuwa akirudia sana kuwa mtu aitwaye Abdul,amewahi kumfuata na kutaka kumhonga na kushindwa kutimiza Nia hiyo Kwa Lissu.
Lissu amekuwa akirudia mara Kwa mara jambo hili, Jana tena amesema akihojiwa na Ndugu Odemba Star tv.
Sasa ni muhimu Ndugu Abdul aende court kupitia wanasheria wake Ili kujisafisha na tuhuma hizi kubwa dhidi yake.
NB: Ukimya nao ni jibu.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿 Amen
Pia soma:Kuelekea 2025 - Tundu Lissu: Abdul (mtoto wa Rais Samia) alitaka tukutane kwenye hoteli moja Masaki anihonge, nikamwambia njoo kwangu
Kingine ni hiki, huyo Abdul ukiacha kuwa ni mtoto wa Rais lakini uwezo wake kichwani ni mdogo sana, siyo Intelijenti, amerekodiwa kwenye matukio mengi ya hovyo sana, ni kama hana mwongozo wowote.Ila Lissu kiboko, pamoja na kuchangiwa ml 5 pale furahisha lakini Bado hanyamazi.
Ama Kweli, Lisuu hajawahi kunyamazishwa!!
Sasa kukaa kimya ni kukubali tuhuma hizi nzito dhidi yake!!Hawezi atapoteza..
Muacheni Abdul aende mahakamani yote yakajulikane huko.Odemba, StarTV: "Mh. Tundu Lissu, wewe ni mwanasheria. Tuhuma zako zinapaswa kuwa na ushahidi. Kuna hata footage ya CCTV camera ingalau..?"
Tundu Lissu: ".......Wala!, hakuna CCTV camera nyumbani kwangu. Ndiyo, Mimi ni mwanasheria. Na katika sheria ya ushahidi inasema ushahidi bora ni ule wa shahidi kuona mwenyewe au kusikia au kunusa mwenyewe. Mimi mwenyewe niliona na kusikia yote haya..."
✍️Mpaka hapo huyo Abdul asifikiri kabisa kuwa hakuwa recorded kwa sauti au kwa picha...!
✍️Msidanganyike, kwa Tundu kuna vichukua picha na sauti vya kutosha. Akirogwa tu kuingia huko mahakamani, atalambishwa mchanga asubuhi tu...!
##Mwisho nakupa homework. Tazama body language ya TL wakati anapojibu swali hilo utaelewa ni kwanini huyo jamaa ni very tricky...
Kwamba nawe unaamini Abdul ana pesa za kumhonga Lissu?
Kazitoa wapi hizo pesa?
Kwa vyovyote vile Lisu atakuwa ana ushahidi mzuri wa kuithibitishia mahakama kuwa Abdul alifika nyumbani kwake.Anaweza kuzitumia mahakama kumsafisha Kwa kudai fidia kama Ile ya Manji dhidi ya Mengi!!
Bora nusu shari, kuliko shari kamili..Sasa kukaa kimya ni kukubali tuhuma hizi nzito dhidi yake!!
Kwanini Lissu naye asiende kumshtaki Abdul kwa kutoa rushwa?Salaam, Shalom!!
TUNDU Antipas Lissu amekuwa akirudia sana kuwa mtu aitwaye Abdul,amewahi kumfuata na kutaka kumhonga na kushindwa kutimiza Nia hiyo Kwa Lissu.
Lissu amekuwa akirudia mara Kwa mara jambo hili, Jana tena amesema akihojiwa na Ndugu Odemba Star tv.
Sasa ni muhimu Ndugu Abdul aende court kupitia wanasheria wake Ili kujisafisha na tuhuma hizi kubwa dhidi yake.
NB: Ukimya nao ni jibu.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿 Amen
Pia soma:Kuelekea 2025 - Tundu Lissu: Abdul (mtoto wa Rais Samia) alitaka tukutane kwenye hoteli moja Masaki anihonge, nikamwambia njoo kwangu
Sasa kufika nyumbani Si ushahidi wa RUSHWA, yaezakuwa alikuja kujadili mambo ya Simba na Yanga.Kwa vyovyote vile Lisu atakuwa ana ushahidi mzuri wa kuithibitishia mahakama kuwa Abdul alifika nyumbani kwake.
Hiyo ni KAZI ya TAKUKURU.Kwanini Lissu naye asiende kumshtaki Abdul kwa kutoa rushwa?
Amtaje kwa majina yake yote Matatu. Bila hivyo, mahakamani atamruka!!!TUNDU Antipas Lissu amekuwa akirudia sana kuwa mtu aitwaye Abdul,
Ataweza maswali ya Kibatala au ndio tumbo la kuhara litaabza kama la Yule polisi?Salaam, Shalom!!
TUNDU Antipas Lissu amekuwa akirudia sana kuwa mtu aitwaye Abdul,amewahi kumfuata na kutaka kumhonga na kushindwa kutimiza Nia hiyo Kwa Lissu.
Lissu amekuwa akirudia mara Kwa mara jambo hili, Jana tena amesema akihojiwa na Ndugu Odemba Star tv.
Sasa ni muhimu Ndugu Abdul aende court kupitia wanasheria wake Ili kujisafisha na tuhuma hizi kubwa dhidi yake.
NB: Ukimya nao ni jibu.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿 Amen
Pia soma:Kuelekea 2025 - Tundu Lissu: Abdul (mtoto wa Rais Samia) alitaka tukutane kwenye hoteli moja Masaki anihonge, nikamwambia njoo kwangu
Lissu mjanja mjanja sana kwenye mambo haya ya Sheria.Amtaje kwa majina yake yote Matatu. Bila hivyo, mahakamani atamruka!!!