Pre GE2025 Ushauri: Abdul aende mahakamani kumshtaki Lissu ili kujisafisha na tuhuma za RUSHWA zinazoelekezwa kwake

Pre GE2025 Ushauri: Abdul aende mahakamani kumshtaki Lissu ili kujisafisha na tuhuma za RUSHWA zinazoelekezwa kwake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Muacheni Abdul aende mahakamani yote yakajulikane huko.
Ofcoz, ni haki yake kwenda..

Lakini uhakika ni kuwa, HAWEZI HATA KUJARIBU TU KUFIKIRI KWENDA HUKO.!!

Mahakama ya ma - CCM siku zote imekuwa ni kutumia kikosi chao cha ujambazi a.k.a "wasiojulikana" cha kuteka, kutesa na kuua kila wanayemwona ni mtu tishio kwa maslahi yao na uovu wao..!
 
Sasa kufika nyumbani Si ushahidi wa RUSHWA, yaezakuwa alikuja kujadili mambo ya Simba na Yanga.

Cc: johnthebaptist
Yaweza kuwa alirekodiwa mpk sauti akieleza sababu za yeye kufika pale na kiasi cha fedha alichokusudia kumpa Lisu.

Kumbuka Abdul hakuanza kwa kumtafuta Lisu moja moja, alipitia watu wengine. Huko kote kuna pahala waliacha alama za hongo kwa Lisu.
 
kwa siasa za tanzania si abdul wala lissu ambaye ana uthubutu wa kumshitaki mwingine, rejea shauri la daktari silaa vs ridhiwan kikwete wakati ule.
 
Tundu lisu sio kichaa na wala sio mpumbavu kuzungumza yale. Yuko full nondo sana.
Naona anachokifanya abdul ni sahihi sana kukaa kimya, itamfanya tundu lisu akose njia au uelekeo.

Tundu lindu kuzungumza hivyo sio bure ni mkakati tu
 
Lissu ana matatizo.
Mtu anaenda kumpa hela anasema anataka kumpa rushwa.
Ni kama unampa paka chakula unamuona paka anatimua mbio.
Mi nadhani Lissu amtafute huyo Abdul. Labda huyo Abdul bado anataka kumpa hela Lissu.
 
Sasa RUSHWA Si ela, ni RUSHWA!!
 
Jana Lisu alisema NINA AKILI TIMAMU na alirudia sana hayo maneno kwa hiyo kile alichoongea kuhusiana na abduli ana uhakika nacho na ule ni mtego abduli akijaa tuu ameisha na atakua amem mponza mama yake
 
Inafikirisha,

Pesa ya kumuhonga Lissu iwekwe ndani ya bahasha🤔
 
Salaam, Shalom!!

TUNDU Antipas Lissu amekuwa akirudia sana kuwa mtu aitwaye Abdul,amewahi kumfuata na kutaka kumhonga na kushindwa kutimiza Nia hiyo Kwa Lissu.

Lissu amekuwa akirudia mara Kwa mara jambo hili, Jana tena amesema akihojiwa na Ndugu Odemba Star tv.

Sasa ni muhimu Ndugu Abdul aende court kupitia wanasheria wake Ili kujisafisha na tuhuma hizi kubwa dhidi yake.

NB: Ukimya nao ni jibu.

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿 Amen

Pia soma:Kuelekea 2025 - Tundu Lissu: Abdul (mtoto wa Rais Samia) alitaka tukutane kwenye hoteli moja Masaki anihonge, nikamwambia njoo kwangu
Hivi jambazi anaweza kwenda mahakamani kushtaki kwa sababu ameambiwa ni jambazi?
Kamwe, siamini kama anaweza kufanya hivyo.
 
Back
Top Bottom