- Thread starter
- #61
Yawezakuwa Abdul anayeongelewa ni yule Nondo wa ACT, cc: johnthebaptistAtaweza maswali ya Kibatala au ndio tumbo la kuhara litaabza kama la Yule polisi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yawezakuwa Abdul anayeongelewa ni yule Nondo wa ACT, cc: johnthebaptistAtaweza maswali ya Kibatala au ndio tumbo la kuhara litaabza kama la Yule polisi?
Kutuhumiwa kupanga Kutoa RUSHWA Kwa kiongozi mkubwa wa Upinzani.amshitaki kwa kosa gani? kwamba alimpa lissu hela akakataa?
kabisa au Abdul Magoma yule wa kesi ya yangaYawezakuwa Abdul anayeongelewa ni yule Nondo wa ACT, cc: johnthebaptist
Ofcoz, ni haki yake kwenda..Muacheni Abdul aende mahakamani yote yakajulikane huko.
Yaweza kuwa alirekodiwa mpk sauti akieleza sababu za yeye kufika pale na kiasi cha fedha alichokusudia kumpa Lisu.Sasa kufika nyumbani Si ushahidi wa RUSHWA, yaezakuwa alikuja kujadili mambo ya Simba na Yanga.
Cc: johnthebaptist
Msamehe amepanic baada ya kijana wake kutuhumiwa Kwa RUSHWA.Wakati mwingine ni bora kukaa kimya kuficha upumbavu wako. Wewe shangingi la kipemba!
Ndio maana nimeshauri jambo hili liende court kuondoa huo utata wa positive na negative!!We mnafiku Sana. Too negative
Lissu kasema mwenyewe nyumba yake haina camera kwa hiyo ushahidi wa picha hautakuwepo.Ataumbuka zaidi maana nyumba ya TL inalindwa na makamera na mitambo ya kisasa sana kiasi kwamba Abdul hataonekana yeye tu hata boxer aliovaa itaonekana.
Atakuwa amezingua "big tyme" auchune tu lipite hili kimya kimta.Ataumbuka zaidi maana nyumba ya TL inalindwa na makamera na mitambo ya kisasa sana kiasi kwamba Abdul hataonekana yeye tu hata boxer aliovaa itaonekana.
Sasa RUSHWA Si ela, ni RUSHWA!!Lissu ana matatizo.
Mtu anaenda kumpa hela anasema anataka kumpa rushwa.
Ni kama unampa paka chakula unamuona paka anatimua mbio.
Mi nadhani Lissu amtafute huyo Abdul. Labda huyo Abdul bado anataka kumpa hela Lissu.
Inafikirisha,Jana Lisu alisema NINA AKILI TIMAMU na alirudia sana hayo maneno kwa hiyo kile alichoongea kuhusiana na abduli ana uhakika nacho na ule ni mtego abduli akijaa tuu ameisha na atakua amem mponza mama yake
Kwamba ulimsikia Lisu alisema pesa ililetwa kwenye bahasha 🤔Inafikirisha,
Pesa ya kumuhonga Lissu iwekwe ndani ya bahasha🤔
Hivi jambazi anaweza kwenda mahakamani kushtaki kwa sababu ameambiwa ni jambazi?Salaam, Shalom!!
TUNDU Antipas Lissu amekuwa akirudia sana kuwa mtu aitwaye Abdul,amewahi kumfuata na kutaka kumhonga na kushindwa kutimiza Nia hiyo Kwa Lissu.
Lissu amekuwa akirudia mara Kwa mara jambo hili, Jana tena amesema akihojiwa na Ndugu Odemba Star tv.
Sasa ni muhimu Ndugu Abdul aende court kupitia wanasheria wake Ili kujisafisha na tuhuma hizi kubwa dhidi yake.
NB: Ukimya nao ni jibu.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿 Amen
Pia soma:Kuelekea 2025 - Tundu Lissu: Abdul (mtoto wa Rais Samia) alitaka tukutane kwenye hoteli moja Masaki anihonge, nikamwambia njoo kwangu