Ushauri: Amegundua mpenziwe ana akaunti nyingine JF zaidi ya ile anayoijua

Ah mambo mengine kushauri ni kaz sana,yaache yawe hivyohivyo
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ngoja nilale zikitumwa fanya kusevu for further reference [emoji23][emoji23]! Ila nahisi soon muvi jingine litakuja humu nahisi tu.
Wameanza wenyewe kwa wenyewe sasa mimi yangu macho tu!!!! Have a good night guys!!
[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]
 
Seriously mpaka sasa bilabila??? [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Mary bonge la mwanamke ana mwili unashawishi balaaaa!! Ana hilo trako linaonekana lainiii afu limenonaaaa[emoji12][emoji12]
Muhanga nambari wani [emoji23][emoji23]hebi fanya connection basi
 
Kuna watu wanatongozana humu na ID hizi fake?wanakubaliana?na wanakulana?

Humu napo wajinga wengi japo watumiaji huu mtandao wanajiita wenye akili na maarifa...

95% ya watu wanaotumia huu mtandao kwa ID fake sio watu wa kuwaamini kwenye kila jambo kabisa si KE wala ME.
 
eti atawafanya kitu kibaya daah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi mtu wa kutishia tishia huwa ananiboa sana.
mpaka anakuja kulia lia JF ina maana hadi hapo keshafeli hiyo Battle
Mimi kutishiwa ndio huwa siogopi kabisa tena kwa nature ya Hawa wanaume wetu teeina
 
Nakutafuta pm sikupati..hebu angalia pm yako latest news kwanza au ina jumbe nyingi???
Afu zamu yako mi nalala ukeshe hapa ids zikitumwa fanya kusevu kesho asubuhi unikonect!
Ahahaa, acha niingie lindo sasa[emoji23][emoji23],we kapumzike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…