Hahaahaaaa afu kweli asee[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]Weeee jobless utakua ni we peke ako prisca, wengine wote humu tuna kazi nzuri, tumejenga, tuna magari, jitahidi upate kazi [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha dah![emoji23][emoji23][emoji23]mpwa wako huyo
Ukimuangalia kwa juu juu hana dogo huyo
Asije nivua nguo kwa kunifungulia sirediiii
No senkyu sire.
But you're not new to me!Okay, you're kinda new to me!
Kama alikua hatanii ndio! Kuna uzi kabisa aliutoa kwamba yeye ni muathirika wa HIV!Walikuambukiza eee?
Ooh SawaKama alikua hatanii ndio! Kuna uzi kabisa aliutoa kwamba yeye ni muathirika wa HIV!
Hahaha dah!
Umesoma PM yangu lakini?Acha tu mkuu
π kwahiyo wote hapa 'Me mtajifanya hamuingiagi PMs za wadada na kuomba meetingI thought we are only chatting in JF so some are playing behind our back by meeting to have sex?π€
Playing behind your back kivipi?? Yes we do!I thought we are only chatting in JF so some are playing behind our back by meeting to have sex?[emoji848]
He hehe[emoji23][emoji23][emoji23]mpwa wako huyo
Ukimuangalia kwa juu juu hana dogo huyo
Asije nivua nguo kwa kunifungulia sirediiii
No senkyu sire.
Umesoma PM yangu lakini?
He hehe
Msema "kweri" ni mpenzi wa Mungu. Naomba mniombee ndugu zangu. Hii vita ya PM haijawahi kuwa rahisi hata siku moja, na mimi nimedhamiria kweri kweri kupigana vita hivi, na tutashida tuPM gani tena jaman
Si tumekubaliana tutachat hapa hapa au nasema uongo ndugu yangu?
Msema "kweri" ni mpenzi wa Mungu. Naomba mniombee ndugu zangu. Hii vita ya PM haijawahi kuwa rahisi hata siku moja, na mimi nimedhamiria kweri kweri kupigana vita hivi, na tutashida tu
Naomba nije pm kwako [emoji6][emoji23] kwahiyo wote hapa 'Me mtajifanya hamuingiagi PMs za wadada na kuomba meeting
Ambazo msingi tu umekula mil 60+...πTuna nyumba kali
Karibu πππNaomba nije pm kwako [emoji6]