Ushauri: Amegundua mpenziwe ana akaunti nyingine JF zaidi ya ile anayoijua

Sasa unawapiga beat kwani si wamefuatwa kama wewe ulivyofuatwa? Tena kwa ID nyingine

Deal na mchumba ako, hana staha.

Hapa ndiyo tunapokosea wanawake, tunapoacha kudeal na mkosaji.
 
Wanawake tunajuaga kutia huruma. Umalaya wa bwana ake anaufumbia macho, yupo busy na waliotongozwa kama yeye, tena mtu hata hajakuoa. Asijisahau, anaweza kuishia kuwa baby mama, na hao kina Mary ndiyo wakaolewa.
Sasa unawapiga beat kwani si wamefuatwa kama wewe ulivyofuatwa? Tena kwa ID nyingine

Deal na mchumba ako, hana staha.

Hapa ndiyo tunapokosea wanawake, tunapoacha kudeal na mkosaji.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Yani watu ni matapeli, mtu anaweza kukutapeli pesa akakutapeli hadi uchi...
 
Wanawake tunajuaga kutia huruma. Umalaya wa bwana ake anaufumbia macho, yupo busy na waliotongozwa kama yeye, tena mtu hata hajakuoa. Asijisahau, anaweza kuishia kuwa baby mama, na hao kina Mary ndiyo wakaolewa.

Hajui kama anampa kichwa huyo mwanaume wake.

Yaani nilikua namuonea huruma huko juu, nilipokuja kusoma hiyo comment yake akanichosha.

Wakina Mary popote walipo wakaze wasimuache huyo mwanaume maana bidada hajielewi.
 
Wewe acha mara moja kumchunguza chunguza mumeo unachokitafuta utakipata..
 
Hajui kama anampa kichwa huyo mwanaume wake.

Yaani nilikua namuonea huruma huko juu, nilipokuja kusoma hiyo comment yake akanichosha.

Wakina Mary popote walipo wakaze wasimuache huyo mwanaume maana bidada hajielewi.
Dada una roho ngumu sana
 
Hapa umekosea aisee..! Pia unaeza leta varangati na ugomvi kwa wanaume walionao hao wanawake ulowataja kwa majina..
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€kwani shoga angu hii mada ni yako au ya mtu mwingine kama ulivyoandika kwenye uzi wako πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hao kina mary nao ndo wajuane sasa kuwa kuna prisca na mwingine keshazalishwa huko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…