Ushauri: Amegundua mpenziwe ana akaunti nyingine JF zaidi ya ile anayoijua

Ushauri: Amegundua mpenziwe ana akaunti nyingine JF zaidi ya ile anayoijua

Kwani ukisema ni wewe kuna ubaya gani?

Weka wazi ili baraza la wazee wa jf tukae kikao cha dharura kumuweka sawa huyo jamaa yetu.

Jf ni reputable platform anatakikana aendane nayo, kama mmekutana humu jf msituangushe bwana.

View attachment 1998461

Alaaaah!

Kumbe mleta mada ni mwanadamu mwenye jinsi ya kike???

Ndio maana nilipouona huu uzi jana sikutaka poteza muda kutoa ushauri...

Wapambane na hali zao, utamu wapate wao, ushauri tutoe sisi...eboh!
 
Sio rahisi kabisa nahivi ana ujauzito masikini!!! Huruma sana pia inaonesha waziwazi hawezi kumuacha huyo mwanaume baba kijacho!
Yy hawezi kumuacha ila yy ataachwa...u get the point?
 
Back
Top Bottom