Ushauri: Amegundua mpenziwe ana akaunti nyingine JF zaidi ya ile anayoijua

Ushauri: Amegundua mpenziwe ana akaunti nyingine JF zaidi ya ile anayoijua

Nmegundua Huu uzi umejaa wachangiaji wengi ni Ke, poleni sana aisee maana inaonekana mnatanua sana hayo mapaja yenu kwa vijana wa jf[emoji2]
sasa mnachokitafuta kwenye hiyo id ya Kiume mtakipata maana mkiipata mtajikuta wote mshampanulia mapaja[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ngoja nilale zikitumwa fanya kusevu for further reference [emoji23][emoji23]! Ila nahisi soon muvi jingine litakuja humu nahisi tu.
Wameanza wenyewe kwa wenyewe sasa mimi yangu macho tu!!!! Have a good night guys!!
[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]
😁😁😁 unakonekti au unaniacha hewani
 
Sio rahisi kabisa nahivi ana ujauzito masikini!!! Huruma sana pia inaonesha waziwazi hawezi kumuacha huyo mwanaume baba kijacho!
Kwanini amuache sasa kisa kutmba kina Marry??? Hiyo sio sababu ya kumuacha mwanaume yani namshauri akomaeeee hakuna kumuacha
 
Back
Top Bottom