Ushauri: Amegundua mpenziwe ana akaunti nyingine JF zaidi ya ile anayoijua

Ushauri: Amegundua mpenziwe ana akaunti nyingine JF zaidi ya ile anayoijua

Alaaaah!

Kumbe mleta mada ni mwanadamu mwenye jinsi ya kike???

Ndio maana nilipouona huu uzi jana sikutaka poteza muda kutoa ushauri...

Wapambane na hali zao, utamu wapate wao, ushauri tutoe sisi...eboh!
Ukorofi huo
 
Wadada mliocomment kabla ya post # 45..Naomba nijue Mary ni nani..

Cc @evelynsalt
 
Back
Top Bottom