Ushauri: Ameniacha anataka tuwe dada na kaka

Mimi sina mengi. Ni hivi....
Unapoamua kumtumikia Mungu katika roho na kweli Maisha yako yanakuwa mikononi mwake. Uzuri Mungu anaona ambavyo kibinadamu wewe huvioni. Kuna watu ambao kwako ni toxic lakini wewe kibinadamu unaweza usione hilo hadi Mungu atakapoamua kukufunulia Kwa wakati na Kwa Namna yake.

Niamini Mimi huyo binti ni miongoni mwa watu hatari maishani mwako nakushangaa unasikitika eti Kwa sababu amekuacha. Nakushauri furahi na kushangilia.Hujasikia watu wanafuga nyoka tena Kwa Upendo kabisa,lakini hao nyoka wanawageukia na kuwagonga kisha kuwaua?.

Mungu Kwa jinsi anavyowapenda watoto wake,hawezi kuruhusu nyoka waingie kwenye circle ya maisha yao. Kama utaamua kulazimisha kuwakaribisha na kuwafuga ni wewe at your own risk lakini Mungu atafanya Kila linalowezekana kukutenga(kukuepusha) nao.




Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
 
Ipo hivi mwanzo wa maumivu makali ndio mwanzo wa kuwa na nguvu moyoni.
Kama ipo hivo itakuchukua muda mrefu kumsahau bado utaendelea kupitia maumivu hayo.

Wakati utakao kua na kusema sasa naweza kufanya mapenzi na mwanamke utakae kua nae kweny mahusiano itabid uwe na chaguzi jema na ufikilie sana.
 
Nashukuru sana kwa ushauri mzuri Mungu akubarik sana
 
Hakuna ushauri soma kwanza
Kwa hili hakuna ushauri, zaidi ya kusema kubali ukweli kuwa amekuacha. Rejection is bitter, but it is part of life. Utapata mwingine atakayekupenda huenda zaidi. Hakuna kitu kibaya kung'ang'ania mtui asiyekupenda. Jitulize na tafuta mwingine. Huenda Mungu hakukuandikia huyu bali mwingine.
 
Ila nyie nyie, hivi mnakujaga kutuchekesha humu au ni vipi khaaaa. Kwamba umeokoka?
 
Shenz kabisa!! JPM gan analilia mapenz,ushaskia wap dictator analilia mapenz🤣🙌
 
Ushauri huu hapa mzuri....ukimtanguliza MUNGU nae hutengeneza njia pasipo njia usikate tamaaa kijana ,Fanya lililokupeleka chuo
Usilazimishe upendo..upendo haulazimishwi
 
Hata Hicho cheo chukua hakipo mbali nae sana,kesho atarudi
 
We unasumbuliwa na uteja wa mapenzi,yaani kuweka tumaini lako kwa mwanadamu badala ya Mungu,
 
We ninkenge eti umeokoka 😂😂😂😂 dem kaona hamuendani ndio maana kakutema. Ungepiga hata roho isingeuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…