The next JPM
Member
- Feb 22, 2023
- 22
- 46
- Thread starter
- #61
Nimekupata kaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa wote
Pole na hongera kwa uvumilivu.Habar wakuu,
Mimi ni Kijana wa 23 nipo chuo kikuu kimoja hapa Tanzania.
Nilikuwa na mahusiano na binti mmoja kiukweli nilimpenda sana, ilikuwa ngumu kwa yeye kunikubali lakini baadaye alikubali, tumekaa kwenye mahusiano kwa miezi sita tu lakini kwangu ilikuwa ni uchungu kwani nilitumia nguvu sana kulinda mahusiano yetu.
Yeye alikuwa kama hajali kuhusu mimi, ilipofika mwezi wa kumi na moja mwaka jana akasema tuachane na ananichukulia kama kaka yake.
Kiukweli nilliumia sana, nikambembeleza sana lakini hakutaka, na mimi sikuwa na kosa na sijui kwanini aliamua hivyo.
Wakuu shida yangu ni hii, toka aniache nahisi maumivu makali moyoni mwangu kila nikimkumbuka.
Kila siku huwa namuomba turudi kama zamani lakini hataki kabisa. Mimi sijawahi kupenda before, ukweli sina nafasi kwake lakini moyo wangu unasema bado nina nafasi kwake.
Nahisi sitopendatena, pia najihisi kuwa sitapata kama yeye, japokuwa sikuwahi kufanya nae mapenzi maana mimi nimeokoka.
Naombeni ushauri, najihisi nipo isolated, najihisi maumivu mabaya sana.
Mungu atakupa wakwako,piga kitabu huo ndio mkomboz wako,elimu haiwez ikakugeuka ila mwanadam huyuu ni kichaa atakuchakaz
Kaka nimeelewa ila sasa Kuna shida moja kidogo inaniumiza, Yan nahis zile sifa ambazo nazihitaji sitazipata kwa binti mwingine kakaPole na hongera kwa uvumilivu.
Usirudie vitu hivi;
- Kumuomba mwanamke penzi.
-Usikubali urafiki/ ukaka udada na mwanamke unayemtaka, kataa mwambie "hilo sitoweza" kisha achana naye.
-Kumpenda mwanamke ambaye hajakidhi/ kufikia viwango vyako.
-Usipende mwanamke asiyeonesha juhudi.
-Usimbembeleze mwanamke kurudiana.
-Usimlazimishe mwanamke kuwa naye, asipokukubali mwache kwa kuwa amepishana na dhahabu.
Cha kufanya;
-Piga kitabu.
- Anza kuringia uanaume wako, jikubali.
- Achana naye.
-Chombeza wanawake wengine.
- Ongeza thamani yako kama mwanaume, soma "Vitu 6 Vya Muhimu Kuzingatia Kuwa Mwanaume Wa Thamani Zaidi Kwenye Jamii Inayokuzunguka"
Tambua unaweza penda usipopendwa hivyo hilo jambo lisikuhangaishe, we songa na maisha. Ukiona unapata shida kumshawishi mwanamke ujue hastahili muda wako.
Ako ka maumivu we kafurahie tu, kaone ni kama sehemu ya elimu ya mapenzi unayopata (iyo ndo ada ya mapenzi).Kaka nimeelewa ila sasa Kuna shida moja kidogo inaniumiza, Yan nahis zile sifa ambazo nazihitaji sitazipata kwa binti mwingine kaka
Habar wakuu,
Mimi ni Kijana wa 23 nipo chuo kikuu kimoja hapa Tanzania.
Nilikuwa na mahusiano na binti mmoja kiukweli nilimpenda sana, ilikuwa ngumu kwa yeye kunikubali lakini baadaye alikubali, tumekaa kwenye mahusiano kwa miezi sita tu lakini kwangu ilikuwa ni uchungu kwani nilitumia nguvu sana kulinda mahusiano yetu.
Yeye alikuwa kama hajali kuhusu mimi, ilipofika mwezi wa kumi na moja mwaka jana akasema tuachane na ananichukulia kama kaka yake.
Kiukweli nilliumia sana, nikambembeleza sana lakini hakutaka, na mimi sikuwa na kosa na sijui kwanini aliamua hivyo.
Wakuu shida yangu ni hii, toka aniache nahisi maumivu makali moyoni mwangu kila nikimkumbuka.
Kila siku huwa namuomba turudi kama zamani lakini hataki kabisa. Mimi sijawahi kupenda before, ukweli sina nafasi kwake lakini moyo wangu unasema bado nina nafasi kwake.
Nahisi sitopendatena, pia najihisi kuwa sitapata kama yeye, japokuwa sikuwahi kufanya nae mapenzi maana mimi nimeokoka.
Naombeni ushauri, najihisi nipo isolated, najihisi maumivu mabaya sana.
Kwani umeshakula hata trip moja?Habar wakuu,

Na unajiita next JPM emu maliza kwanza shule ndo ujue sifa za mwanamke unayemuhitaji,hakupendi ulitakaje?Kaka nimeelewa ila sasa Kuna shida moja kidogo inaniumiza, Yan nahis zile sifa ambazo nazihitaji sitazipata kwa binti mwingine kaka
Unaona shida,ikiwa hivyo ni bora kwani dada na kaka hawa komoani,watasaidiana katika shida na raha,tofauti na michepuko au wale wa tuma na yakutolea🤔Habar wakuu,
Mimi ni Kijana wa 23 nipo chuo kikuu kimoja hapa Tanzania.
Nilikuwa na mahusiano na binti mmoja kiukweli nilimpenda sana, ilikuwa ngumu kwa yeye kunikubali lakini baadaye alikubali, tumekaa kwenye mahusiano kwa miezi sita tu lakini kwangu ilikuwa ni uchungu kwani nilitumia nguvu sana kulinda mahusiano yetu.
Yeye alikuwa kama hajali kuhusu mimi, ilipofika mwezi wa kumi na moja mwaka jana akasema tuachane na ananichukulia kama kaka yake.
Kiukweli nilliumia sana, nikambembeleza sana lakini hakutaka, na mimi sikuwa na kosa na sijui kwanini aliamua hivyo.
Wakuu shida yangu ni hii, toka aniache nahisi maumivu makali moyoni mwangu kila nikimkumbuka.
Kila siku huwa namuomba turudi kama zamani lakini hataki kabisa. Mimi sijawahi kupenda before, ukweli sina nafasi kwake lakini moyo wangu unasema bado nina nafasi kwake.
Nahisi sitopendatena, pia najihisi kuwa sitapata kama yeye, japokuwa sikuwahi kufanya nae mapenzi maana mimi nimeokoka.
Naombeni ushauri, najihisi nipo isolated, najihisi maumivu mabaya sana.
Kosa lako liko hapo uliposema bado hujapiga mbususu kwa kudai umeokoka.Mchawi ni wewe mwenyewe over and out!Ndio upo kwenye stage ya ukuaji mdogo wangu.
Vumilia yatapita,taratibu utamsahau tu.
Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
Big up comment yk iwekwe muhuri w moto ata mm Nilikuwa kama uyo Dogo Apo juu ila nilivyo fikiri ukomo nikapotezea sasaivi yy ndio unitafutaDogo sikiliza;
Wewe bado mdogo sana kukata tamaa eti hutopata mwingine kama yete.
Wewe ni wa kiume huna la kupoteza.
Kwa kawaida wanaume mwanzoni tunaumizwa sana na akina dada kwani tunakuwa hatuko stable kiuchumi na wenzetu wanaangalia sana uchumi.
Huyo anagongwa na lizee lenye pesa chafu achana naye kwani huna la kupoteza kwani hutashika mimba wala nyonyo hazitalaka kama lapa bali yeye ana ukomo wa muda wa kusumbua.
Soma
Tafuta pesa
Vitoto vizuri vinakua utajichagulia kama nguo kwa Vunja bei.
Wazo katili hili